Kengold FC wavaa jezi yenye udhamini tofauti juu Puma chini Nike

Kengold FC wavaa jezi yenye udhamini tofauti juu Puma chini Nike

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
701
Reaction score
1,522
Wakuu tujadili kidogo huu udhamini upoje ndani ya timu inayoshiriki kwenye ligi nambari 6 kwa ubora Barani Africa, juu PUMA dhahabu chini NIKE kijani.
1726081693382.jpg
 
Bora wangeshonesha pensi kwa fundi cherehani🤣
Picha linaanza juu jezi ni imetawaliwa na rangi ya dhahabu na michirizi myeusi kwenye mikono na PUMA kama mzalishaji ,
Picha linaendelea chini kuna pensi ya kijani na mstari mweupe kwa pembeni na NIKE kama mzalishaji ,
Halafu chini kabisa kuna Soksi za njano .
RANGI HAZIENDANI KABISA , it is better pensi zingekuwa black au gold tu
 
Maendeleo ni hatua ila vile wameanzia championship hadi kuwa mabingwa walipaswa kuwa na brand yao hata ndogo TU ya kujiuzia jersey
Ukweli nilifurahi sana juzi tunacheza na Guinea na Uzi wa sandaland huku guinea wakiwa na puma na wetu bado kuonekana mzuri zaidi na Hawa wanaweza muomba sandaland au GSM awazalishie jersey
 
Back
Top Bottom