The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Wakuu tujadili kidogo huu udhamini upoje ndani ya timu inayoshiriki kwenye ligi nambari 6 kwa ubora Barani Africa, juu PUMA dhahabu chini NIKE kijani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubora kati maamumaWakuu tujadili kidogo huu udhamini upoje ndani ya timu inayoshiriki kwenye ligi nambari 6 kwa ubora Barani Africa, juu PUMA dhahabu chini NIKE kijani . View attachment 3093564
Sio ajabu kukuta hapo hawaambulii hata mia kutoka Puma wala Nike ni wao tu wameamua kutafuta jezi chenye chata ya puma na nike
Taratibu mkuu 🤣🤣 , Ni takwimu zipo hivoUbora kati maamuma
Tabora Utd wao jezi zao hazina hata nembo ya mzalishaji sijui nawao itakuwa wamefanya kama hawaWameokota jezi mnadani na ku-print logo zao
Ndani ya ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika , vilabu vinaokoteza jezi. Shame on us TFF hawaoni hata hivi vitu vidogo vidogoSio ajabu kukuta hapo hawaambulii hata mia kutoka Puma wala Nike ni wao tu wameamua kutafuta jezi chenye chata ya puma na nike
Zoa zoaTabora Utd wao jezi zao hazina hata nembo ya mzalishaji sijui nawao itakuwa wamefanya kama hawa
Ligi yetu bado sana , Tuwashukuru tu Azam Simba na Yanga ila hii hype tunayojipa sio kabisaZoa zoa
Picha linaanza juu jezi ni imetawaliwa na rangi ya dhahabu na michirizi myeusi kwenye mikono na PUMA kama mzalishaji ,Bora wangeshonesha pensi kwa fundi cherehani🤣
Aisee we jamaa 😂Wameokota jezi mnadani na ku-print logo zao
Ni ligi ya mchongo mchongo tu, Uwekezaji hasa kwa timu ndogo bado sanaHakuna cha ligi bora wala nini.