Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie, marehemu Kaunda apumzike kwa amani Amuna.RAIS MSTAAFU WA ZAMBIA MZEE KENNETH KAUNDA AMEFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 97
Nimetamani kupaelewa hapa lakini nimeshindwa, Msaada tafadhaliWhen organisers attempted to usher him away from the podium after he ran over his allotted time, he drew laughs by saying they were "trying to control an old man who fought the Boers", or Afrikaners -- the white descendants of South Africa's first Dutch settlers.
Bila shaka ndio muasisi wa “Kaunda suits”Dah RİP dk Kaunda
Ooohh! Alilazwa juzi tu katika hospitali ya kijeshi mjini Lusaka. Bahati mbaya media za Tanzania hazifuatilii habari hizi na hasa ikizingatiwa mchango wa mzee Kaunda katika uhusiano wa Tanzania na Zambia. Tutazidi kumuombea.RAIS MSTAAFU WA ZAMBIA MZEE KENNETH KAUNDA AMEFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 97
[emoji3][emoji3][emoji28][emoji2][emoji2][emoji23]Dalili za uchawi.
Alikuwa wa kwnz kulivaa na kuja nchini wakati kina Nyerere, Kenyata na chiluba walikuwa wanavaa suti za mikono mirefu (British style)Hivi marehemu ana uhusiano gani na vazi la KAUNDA SUTI
Hahahaha eti mwendazake ni mmoja tu Afrika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji2]Kijana mwendazake ni mmoja tu Afrika hii.
Keneth Kaunda atabaki kuwa hayati kama akina Nyerere, Lumumba, Sankara, Mandela, nk