Kenya again

Kenya again

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni kashfa nyingine mbaya inayowahusisha wazito serikalini na wanasiasa maarufu.. That's why I still hate POLITIK.. [emoji34][emoji34][emoji34]... The diplomatic relationship over the two nations has gone viral... What's wrong with our African politicians? Used n been used for gruesome deals? View attachment 1104052
IMG-20190521-WA0108.jpeg
 
Nyuzi za kuhusu dhahabu ya huyu Mwarabu mumezifungua hadi mnakera, mbona msije na uzi mmoja tujadili wote humo.

Mngekua na bidii kama hii kuzuia madini ya Tanzania kuibiwa hiyo nchi yenu ingekua tajiri sana.
Halafu bado narudia kusema huyu Mwarabu ni mpumbavu, aliwe tu, unafanyaje muamala wa hela nyingi hivyo kwa kutegemea mawasiliano ya simu tu na makajanja wa mjini, hakua na mwakilishi.
 
Kwani unateseka?
 
Acha kutetea ujinga .mlichofanya ni kukosa uaminifu na kuamua kuwa matapeli tena viongozi. Kuwasiliana kwa simu haihalalalishi utapeli wenu. Sasa hivi mnawafukuzia wapopo kwa utapeli hapa duniani.
 
Afadhali Kenya mara Mia moja, Tz inaibiwa madini kila siku na hakuna was kuteta...Gesi ya mtwara, Tanzanite, dhahabu, pembe za ndovu afu ongeza miradi hewa na isiokamilika bila kusahau umasikini, utapia mlo, njaa na incompetent education = LDC.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji25]
 
Afadhali Kenya mara Mia moja, Tz inaibiwa madini kila siku na hakuna was kuteta...Gesi ya mtwara, Tanzanite, dhahabu, pembe za ndovu afu ongeza miradi hewa na isiokamilika bila kusahau umasikini, utapia mlo, njaa na incompetent education = LDC.
Nimeshangaa hadi Rais wenu ni mwizii
 
Wakenya ndio wamemuuzia mwarabu dhahabu fake sio vice versa.

Mwarabu kapigwa pesa ndeefu kabisa
 
Nimeshangaa hadi Rais wenu ni mwizii
Unamaanisha Kenyan top officials wako na hili deal na limepata Govt blessing na inamaanisha hii deal ni govt documented na inaingia kwa govt income na ku circulate kwa matumizi ya nchi? Iko budgeted kwenye SGR, Education na miradi mingine? Kwa hiyo fake Gold, fake doc, fake ofdicials, fake comminication and even fake prez.
 
Yaani kwa ufupi Kenyans are living fake life
 
Ooops!!! Inamanisha wako kwa simulation, fake economic Report , Mashirika ya UN yanapta fake data, mbele fake leaders, fake citizen etc kwa hiyo hata humu Jf ni fake member toka kenya wata comment eeh?
 
Tanzania intelligence iko vizuri ilishamshitukia huyo don bosco na inshamfunga kenyan government walivyo wajinga wanamwamini ndo madhala yake hayo sasa soon kenyan airways itakuwa marufuku kukanyaga UAE . Kama balozi karudishwa subirini hilo laja
 
Ooops!!! Inamanisha wako kwa simulation, fake economic Report , Mashirika ya UN yanapta fake data, mbele fake leaders, fake citizen etc kwa hiyo hata humu Jf ni fake member toka kenya wata comment eeh?
Fake GDP
Fake PPP
Fake fake fake
Wakenya kazi yao kuiba tuu...

Wametuibia mlima kilimanjaro wanasema wakwao, samatta wanamsema wakwao na naskia saivi wana mpango wa kumwiba JPM hahah
 
kenya mnakwama wap ?
nchi yenu transaction kama hizi zinafanywaje huku nyie mkiwa mnaangalia tu kodi ya madini,inspection ,aibu ......africa sidhani kama tutasonga mbele
 
Acha kutetea ujinga .mlichofanya ni kukosa uaminifu na kuamua kuwa matapeli tena viongozi. Kuwasiliana kwa simu haihalalalishi utapeli wenu. Sasa hivi mnawafukuzia wapopo kwa utapeli hapa duniani.
Matokeo yake wanampa taabu Rais wao manake hadi amelazimika kwenda kumpigia magoti Sheikh Mohammed!
Na yule jamaa asivyotaka ujinga, lazima waombe poo!!
 
Back
Top Bottom