Kenya again

Kenya again

Sasa hiyo siyo sifa nzuri kwa nchi yenu.hamjifunzi kwa wanaigeria mpaka wanazuiwa kuingia nchi zingine kwa sababu ya drugs na utapeli. Ameir wa falme za kiarabu atawafukuza wakenya huko dubai ndo mtaiona hasara yake.

Mlisema atafanya albadiri, afanye na sisi tufanye ya kienyeji tuone nani bingwa....
 
Mpaka unaona aibu hoja huna mkuu. Kubali mmefanya uhuni kitu ambacho kitawacost msipokuwa makini.

Hoja ipi unataka tujadili, wewe hapo kiunafiki unafiki unajifanya kuumwa, wacha aliwe, tena nikipata fursa ya hayo madini yenu nakwapua wacha mnavyoliwa na wahindi na waarabu hadi umaskini umetamalaki kwenu.
 
Mpaka unaona aibu hoja huna mkuu. Kubali mmefanya uhuni kitu ambacho kitawacost msipokuwa makini.
Kiuhalisia hii scam imeharibu image ya Kenya Kimataifa pamoja na viongozi wao wa kisiasa
 
Hehehe mtasubiri kama fisi anavyosubiri mkono udondoke, EU wamefungua ofisi yao ya pili duniani hapa Kenya, mashirika na makampuni ya kimataifa yanakanyagana yakija kufungua matawi Kenya huku wakiwapita nyie.
Dhahabu hatuna ila kwa kutumia akili Kenya ndio soko kuu.
Mfalme angetumia njia halali za kununua dhahabu hangepigwa, ukijifanya mjanja mjanja unakuta watu walikutangulia mjini.
 
Siyo sifa kujisifia wizi mkuu.
Hehehe mtasubiri kama fisi anavyosubiri mkono udondoke, EU wamefungua ofisi yao ya pili duniani hapa Kenya, mashirika na makampuni ya kimataifa yanakanyagana yakija kufungua matawi Kenya huku wakiwapita nyie.
Dhahabu hatuna ila kwa kutumia akili Kenya ndio soko kuu.
 
Hahahaha, sisi hapa Bongo hata hatujui 1.5 trillion ilienda wapi, yani tulinyamaza tu.

ATCL inaota kutu na bado tumenyamaza tu.

Barrick Gold walilipa zile fedha Kama walivyo agizwa na jiwe? Tumenyamaza tu madini yetu yakiibiwa. Kenya wako nafuu wanawaibia foreigners so Kama hapa Bongo tunaibiwa na Foreigners yani kweli ni shamba la Bibi.
Ndo mana mi sina shida na mtu anayeiba, nina shida na mtu anayeibiwa. Kwanini uibiwe.
 
Asante kwa kutokua mnafiki, unaisema kama ilivyo, yaani mtu ufanye muamala wa hela nyingi hivyo kwa kutumia simu, huna hata wawakilishi.
 
Mtu mzima anafanya biashara kitoto.
 
Tukiweza kusawazisha hii
1tsh=0.04ksh kuwa vice versa or equal
Nadhan tutaanziaa apo kulumbana
 
Hehehe mtasubiri kama fisi anavyosubiri mkono udondoke, EU wamefungua ofisi yao ya pili duniani hapa Kenya, mashirika na makampuni ya kimataifa yanakanyagana yakija kufungua matawi Kenya huku wakiwapita nyie.
Dhahabu hatuna ila kwa kutumia akili Kenya ndio soko kuu.
Mfalme angetumia njia halali za kununua dhahabu hangepigwa, ukijifanya mjanja mjanja unakuta watu walikutangulia mjini.
[emoji44][emoji848][emoji848][emoji848] tukiweka magijambo pembeni unataka kusema mwarabu hatasoma albadir? Na hata akifanya hivyo haitakuwa na madhara? Vipi Ba hao diplomats wanaorudishwa? Impact ikoje?
 
Yeye alifanya muamala na nani, maana Kenya wala serikali ya Kenya haikuhusika, pumbavu sana huyo.
- Alinunua dhahabu kupitia magendo DRC
- Alitumia Mkenya fulani kufanya huo muamala kwa njia ya simu
- Akaambiwa dhahabu imekamatwa Kenya maana haikupitia njia halali
- Serikali ya Kenya imesema hamna dhahabu kama hiyo imekamatwa

Hivyo yeye amfuate huyo alikua akimtegema kwa njia ya simu.
 
Huyu hapa
IMG-20190521-WA0107.jpeg
IMG-20190521-WA0105.jpeg
IMG-20190521-WA0109.jpeg
 
Naam huyo hapo ndiye wapambane naye, waache kutupigia makelele.
Lakini si unaona alivyofanya penetration kwenye high authorities? Sasa anawapaka kinyesi
IMG-20190521-WA0108.jpeg
 
Back
Top Bottom