Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapambe matapeli wa mjini wapo wengi sana duani kote na mashirika wao wakubwa ni wanasiasa hasa watawala.Ni kashfa nyingine mbaya inayowahusisha wazito serikalini na wanasiasa maarufu.. That's why I still hate POLITIK.. [emoji34][emoji34][emoji34]... The diplomatic relationship over the two nations has gone viral... What's wrong with our African politicians? Used n been used for gruesome deals? View attachment 1104052View attachment 1104055
Tuna wanasiasa njaa ingekuwa China wote hao ingekuwa muda huu tutaongea mengine... Wavimba macho hawarembiWapambe matapeli wa mjini wapo wengi sana duani kote na mashirika wao wakubwa ni wanasiasa hasa watawala.
Hata kwetu wapo.
Hujaona wakuu wakiwa wanatembelea Ndinga kama hiyo Lexus bila kutuambia wamezitoa wapi wakati hatujawapa?
Hao ma TP ndio wanaoweza kutoa mikwanja ya kuanda tafrija za kukutana na viongozi wa taasisi nyingine bila kutumia bajeti ya serikali.
Tuwe wavumilivu tu mana wanasiasa ni watu waliofanikowa kugeuza tamaa zao na interest zao na kuzifanya kuwa ni za kitaifa.