MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Lakini si unaona alivyofanya penetration kwenye high authorities? Sasa anawapaka kinyesiView attachment 1104455
Utakua mgeni sana kwa haya mambo, kwenye nchi yoyote huwa kuna watu fulani fulani wenye connections to highest office of the land. Hata hapo Bongo kuna jamaa utakuta kwake nyumbani ametundika mapicha amepiga na Kikwete na Magufuli yaani mapicha kama hayo ndio mtaji, kwamba Mchina akitua anataka kuonana na uongozi wa nchi inabidi akutane na watu kama hao, anaonyeshwa hayo mapicha ya ikulu na kuingia mkenge.