Kwani unateseka?Nyuzi za kuhusu dhahabu ya huyu Mwarabu mumezifungua hadi mnakera, mbona msije na uzi mmoja tujadili wote humo.
Mngekua na bidii kama hii kuzuia madini ya Tanzania kuibiwa hiyo nchi yenu ingekua tajiri sana.
Halafu bado narudia kusema huyu Mwarabu ni mpumbavu, aliwe tu, unafanyaje muamala wa hela nyingi hivyo kwa kutegemea mawasiliano ya simu tu na makajanja wa mjini, hakua na mwakilishi.
Acha kutetea ujinga .mlichofanya ni kukosa uaminifu na kuamua kuwa matapeli tena viongozi. Kuwasiliana kwa simu haihalalalishi utapeli wenu. Sasa hivi mnawafukuzia wapopo kwa utapeli hapa duniani.Nyuzi za kuhusu dhahabu ya huyu Mwarabu mumezifungua hadi mnakera, mbona msije na uzi mmoja tujadili wote humo.
Mngekua na bidii kama hii kuzuia madini ya Tanzania kuibiwa hiyo nchi yenu ingekua tajiri sana.
Halafu bado narudia kusema huyu Mwarabu ni mpumbavu, aliwe tu, unafanyaje muamala wa hela nyingi hivyo kwa kutegemea mawasiliano ya simu tu na makajanja wa mjini, hakua na mwakilishi.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji25]Afadhali Kenya mara Mia moja, Tz inaibiwa madini kila siku na hakuna was kuteta...Gesi ya mtwara, Tanzanite, dhahabu, pembe za ndovu afu ongeza miradi hewa na isiokamilika bila kusahau umasikini, utapia mlo, njaa na incompetent education = LDC.
Nimeshangaa hadi Rais wenu ni mwiziiAfadhali Kenya mara Mia moja, Tz inaibiwa madini kila siku na hakuna was kuteta...Gesi ya mtwara, Tanzanite, dhahabu, pembe za ndovu afu ongeza miradi hewa na isiokamilika bila kusahau umasikini, utapia mlo, njaa na incompetent education = LDC.
Wakenya ndio wamemuuzia mwarabu dhahabu fake sio vice versa.Afadhali Kenya mara Mia moja, Tz inaibiwa madini kila siku na hakuna was kuteta...Gesi ya mtwara, Tanzanite, dhahabu, pembe za ndovu afu ongeza miradi hewa na isiokamilika bila kusahau umasikini, utapia mlo, njaa na incompetent education = LDC.
Unamaanisha Kenyan top officials wako na hili deal na limepata Govt blessing na inamaanisha hii deal ni govt documented na inaingia kwa govt income na ku circulate kwa matumizi ya nchi? Iko budgeted kwenye SGR, Education na miradi mingine? Kwa hiyo fake Gold, fake doc, fake ofdicials, fake comminication and even fake prez.Nimeshangaa hadi Rais wenu ni mwizii
Yaani kwa ufupi Kenyans are living fake lifeUnamaanisha Kenyan top officials wako na hili deal na limepata Govt blessing na inamaanisha hii deal ni govt documented na inaingia kwa govt income na ku circulate kwa matumizi ya nchi? Iko budgeted kwenye SGR, Education na miradi mingine? Kwa hiyo fake Gold, fake doc, fake ofdicials, fake comminication and even fake prez.
Ooops!!! Inamanisha wako kwa simulation, fake economic Report , Mashirika ya UN yanapta fake data, mbele fake leaders, fake citizen etc kwa hiyo hata humu Jf ni fake member toka kenya wata comment eeh?Yaani kwa ufupi Kenyans are living fake life
Fake GDPOoops!!! Inamanisha wako kwa simulation, fake economic Report , Mashirika ya UN yanapta fake data, mbele fake leaders, fake citizen etc kwa hiyo hata humu Jf ni fake member toka kenya wata comment eeh?
[emoji3]Fake GDP
Fake PPP
Fake fake fake
Wakenya kazi yao kuiba tuu...
Wametuibia mlima kilimanjaro wanasema wakwao, samatta wanamsema wakwao na naskia saivi wana mpango wa kumwiba JPM hahah
Matokeo yake wanampa taabu Rais wao manake hadi amelazimika kwenda kumpigia magoti Sheikh Mohammed!Acha kutetea ujinga .mlichofanya ni kukosa uaminifu na kuamua kuwa matapeli tena viongozi. Kuwasiliana kwa simu haihalalalishi utapeli wenu. Sasa hivi mnawafukuzia wapopo kwa utapeli hapa duniani.