Kenya again

Weta ametapeli Waarabu dhahabu ya DRC, Nyinyi mnatapeliwa kila kitu na Foreigners pamoja na Serikali yenyu kwa "pesa zetu za ndani". Mmmh!
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848]
 
Wapambe matapeli wa mjini wapo wengi sana duani kote na mashirika wao wakubwa ni wanasiasa hasa watawala.
Hata kwetu wapo.
Hujaona wakuu wakiwa wanatembelea Ndinga kama hiyo Lexus bila kutuambia wamezitoa wapi wakati hatujawapa?

Hao ma TP ndio wanaoweza kutoa mikwanja ya kuanda tafrija za kukutana na viongozi wa taasisi nyingine bila kutumia bajeti ya serikali.
Tuwe wavumilivu tu mana wanasiasa ni watu waliofanikowa kugeuza tamaa zao na interest zao na kuzifanya kuwa ni za kitaifa.
 
Tuna wanasiasa njaa ingekuwa China wote hao ingekuwa muda huu tutaongea mengine... Wavimba macho hawarembi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…