Kenya: Alshabab yaua POLISI 7 wa Kenya, mmoja hajulikani alipo

Wewe unajua wazi kwamba haukua uamuzi wa busara KDF kwenda Somalia, juzi tu ulisema kama sababu ilikua ni kuzuia Alshabab kuteka watalii, ni bora mngepeleka KDF ili kuimarisha doria katika mpaka wa Somalia wakati mmkiendelea kujenga ukuta.

Sasa ninakuuliza swali, gharama ya kuwalinda watalii wasitekwe na Alshabab ni uhai wa wakenya wanaouliwa kila siku?. Kabla ya KDF kwenda Somalia na baada ya KDF kwenda Somalia, ni kipindi kipi Kenya ilikua na amani?.

Jaribu kukaa chini na kujichunguza jinsi mnavyofikia maamuzi yenu, msijisikie vibaya kukubali pale mnaposhauriwa, kuendelea na ukaidi kudhani kwamba hamkosei, ni kuendelea kulimbikiza ujinga.
Na hiyo ndio point wangelinda mpaka wao sio kwenda kuleta shobo kule wakati uwezo mdogo.. Haya majamaa yanaishi kwa denial duu
 
Aha aha aha Siku nzito kwa Wa Kenya! Mpaka sasa amejitokeza Mkenya Mmoja tu kuchangia umu! US bases are stationed in Kenya and Somalia still zinazouliwa sio US forces ila ni hizi Nyang'au za KDF zilizoingia Somalia sio kublock alshabab Bali kufanya business ya charcoal... Alshaba watawamaliza
 
Hivi Yale magari yaliyonunuliwa kwa wingi ili kuwakinga POLISI wa Kenya dhidi ya haya maharamia yapo wapi?,. Kenya mtatumia mbinu gani kupunguza mashambulizi ya namna hii kwasababu yanazidi kuongezeka. R.I.P.

Magari yalikuwa APC ila hayakuwa mine resistant (MRAPs)
 
Na hiyo ndio point wangelinda mpaka wao sio kwenda kuleta shobo kule wakati uwezo mdogo.. Haya majamaa yanaishi kwa denial duu
Even before kdf went to somalia.
North Eastern Kenya was not safe they had what was popularly known as shifta bandits that reigned terror on innocent Travellers.
 
Point ni kwamba, kwanini msinfeimarisha ulinzi katika hizo sehemu ambazo Alshabab walikua wakiwavamia?, ingekuwa cheap, effective and non bloody. Kitendo cha kupeleka KDF Somalia, kinawafaharimu ten times, ulikua ni uamuzi wa kukurupuka kama mlivyoamua kujenga SGR la zamani kwa bei ya juu, nalo linawagharimu pesa nyingi kuzilipa wakati sio profitable.
 
Alshabaab was at it's strongest and was gaining more territory and we had to uproot the problem from it's source
1129358
 
Ina maana wakati mnayanunua hamkujua tatizo la mines?. Ndio sababu tunasema ninyi huwa mnakurupuka Sana.
That's why we are investing more in air transport.
Alafu pia kumbuka MRAPS ziko ila they can't exhaust the needs for transport .
 
Alshabaab was at it's strongest and was gaining more territory and we had to uproot the problem from it's source
View attachment 1129358
Punguza theories wakati wakenya wengi wanaendelea kupoteza maisha. Mngeweka KDF mpakani ili wasivuke kuingia Kenya, maisha ya wakenya na gharama kubwa mbayoipata isinfetokea. Mambo ya ndani ya Somalia yanawahusu nini kama mngefanikiwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wenu na Somalia?. Sasa mumejiingiza katika vita bila kuwa na taarifa za kutosha, inawagharimu maisha na pesa nyingi.
 
Even before kdf went to somalia.
North Eastern Kenya was not safe they had what was popularly known as shifta bandits that reigned terror on innocent Travellers.
Huku Tanzania sehemu sumbufu zote zilizokua hazitulii tuliweka kuwa kanda maalum BT cjui ka unajua hiyo kanda maalum ni nn..
Kifupi wakenya tokeni somalia afu hilo eneo fungueni hata kambi ya jeshi ili patrol iwe endelevu na hata kufanya inteligencia inakua rahisi maana wanajeshi wanakua huko full time sa sijui mliwaza nn kwenda kuingia somalia asee nawaonea huruma
 
That's why we are investing more in air transport.
Alafu pia kumbuka MRAPS ziko ila they can't exhaust the needs for transport .
Tunachotaka ni kuona POLISI hawauliwi hovyo hovyo kiasi hiki, hayo Maneno ya air transport, au MRAPS hazitoshi, tumechoka kuyasikia, ni miaka nane sasa, wakenya wanaendelea kuuliwa,kila siku mnaleta Maneno tofauti.
 
Alshabaab was at it's strongest and was gaining more territory and we had to uproot the problem from it's source
View attachment 1129358
Sawa mlitaka kuuproot ndio but y msingefanya upelelezi wa kutosha mjue huko somalia hao jamaa organizers wao kina nani???.. Saa nyie mnadhani kwa kuua hao wapiganaji bila kujua viongozi wao kuwa vita vtaisha??? Kaz mnayo asee ka na majenerali wenu ndio wanawaza ka nyie hum ndani aseee yajayo yanafurahisha
 
Pole sana wakenya inaumaa sana kila siku kusikia wananchi na askari wanakufa kupitia mikononi mwa hawa magaidi. hawo haramia kushindwa kwao ni vigumu kwasababu wanacheza mchezo wa paka na panya. ni waoga kabisa wanaua Kwa kutegesha mabomu njiani.suluhisho ni Kenya kutoa jeshi lake Somalia. kumbukeni hii vita ya wanaharamia hata USA na technology yao walishindwa.
 
Punguza theories wakati wakenya wengi wanaendelea kupoteza maisha. Mngeweka KDF mpakani ili wasivuke kuingia Kenya, maisha ya wakenya na gharama kubwa mbayoipata isinfetokea. Mambo ya ndani ya Somalia yanawahusu nini kama mngefanikiwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wenu na Somalia?. Sasa mumejiingiza katika vita bila kuwa na taarifa za kutosha, inawagharimu maisha na pesa nyingi.
Wewe ndo uko na Theories nyingi.
Unadhani hayo yote uliyo yasema hayakuwa possibilities?
Kwani unadhani Kdf hawakuwako ama hawako mipakani?..
 
Huku Tanzania sehemu sumbufu zote zilizokua hazitulii tuliweka kuwa kanda maalum BT cjui ka unajua hiyo kanda maalum ni nn..
Kifupi wakenya tokeni somalia afu hilo eneo fungueni hata kambi ya jeshi ili patrol iwe endelevu na hata kufanya inteligencia inakua rahisi maana wanajeshi wanakua huko full time sa sijui mliwaza nn kwenda kuingia somalia asee nawaonea huruma
Kwani unadahani hakuna kambi za Jeshi Mandera ama North Eastern?...ama hawako huko full time?
Here in Kenya we do what we call Dusk to Dawn curfew .
 
Sawa mlitaka kuuproot ndio but y msingefanya upelelezi wa kutosha mjue huko somalia hao jamaa organizers wao kina nani???.. Saa nyie mnadhani kwa kuua hao wapiganaji bila kujua viongozi wao kuwa vita vtaisha??? Kaz mnayo asee ka na majenerali wenu ndio wanawaza ka nyie hum ndani aseee yajayo yanafurahisha
Kufikia Sasa alshabaab viongozi wao karibu wote wameuwawa...waliobaki wamepoteza morale .

By 2021 alshabaab will be no more and that's when kdf will withdraw from somalia.
If we had allowed them to thrive in somalia, we would be dealing with a far more formidable force with so much influence.
 
Wewe ndo uko na Theories nyingi.
Unadhani hayo yote uliyo yasema hayakuwa possibilities?
Kwani unadhani Kdf hawakuwako ama hawako mipakani?..
Tunachotaka kuona na wananchi wakenya wakiishi kwa amani bila kuuliwa kama ilivyokua kabla ya KDF kwenda Somalia, hayo mengine hatuyahitaji.
 
Sawa mlitaka kuuproot ndio but y msingefanya upelelezi wa kutosha mjue huko somalia hao jamaa organizers wao kina nani???.. Saa nyie mnadhani kwa kuua hao wapiganaji bila kujua viongozi wao kuwa vita vtaisha??? Kaz mnayo asee ka na majenerali wenu ndio wanawaza ka nyie hum ndani aseee yajayo yanafurahisha
Alshabaab had grown so strong that they were on the verge of controlling Indian ocean sea routes.
Hijacking ships bound to various ports in East Africa was the order of the day.Only a fool will sit down and ignore the contribution of Kdf and Amisom in somalia .The loss we experience at times is a small price .We would have lost much more if we sat and ignored the looming danger in the neighbouring country.
 
Back
Top Bottom