Kenya Army VS Tanzania Army

Duh!!mbna hamuelewagi vitu, mada yangu ilkua ni kuhusu misaada...
Ndio nikauliza mbona mozambique mlikimbia mbio mbio kutoa misaada wakati kagera sijui ndo wapi hawakuonekana hilo jeshi la wananchi...

Anyway, am off
Mbona unaongopa ww??
TPDF ikimbie??
Bro punguza miraa.
 
Vikosi vya uingereza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wivu mbaya jamani
 
Mbona hueleweki unaloongea??
Ebu ongea ueleweke km Kuhusu ushahidi ushapewa sana ila ushahidi wako ww sijui unatoleaga wapi?
Nishakupa ushahidi kuwa wanabaka wanawake kule kongo Hadi u hunguzi ukaanza kufanywa.
 
They wont dare, wataishia mpakani Horiri, Horohoro na Namanga.

Vv
Wanaingia Hadi ikulu...Jeshi lenu Ni ovyo Sana wako Kama wanamgambo Kiana hivi kazi wanayoweza Ni kubangua Korosho na kufunga bureau za kubadilisha fedha za kigeni.
 
Unajua maana ya ushahidi kamilifu!?
Habari ulizoniletea ww ni scam news.
Asa scam news habar kamili?
Mwasiti una vituko sana.
Nishakupa ushahidi kuwa wanabaka wanawake kule kongo Hadi u hunguzi ukaanza kufanywa.
 
Mbona wamekamilisha millitary missions nyingi tu ninyi hamna mlokamilisha?
Wanaingia Hadi ikulu...Jeshi lenu Ni ovyo Sana wako Kama wanamgambo Kiana hivi kazi wanayoweza Ni kubangua Korosho na kufunga bureau za kubadilisha fedha za kigeni.
 
Ahaa asa kaka hujaeleweka statement yako.
Umeongea kauli tata.
Anyway ndio hvyo.
Duh!!mbna hamuelewagi vitu, mada yangu ilkua ni kuhusu misaada...
Ndio nikauliza mbona mozambique mlikimbia mbio mbio kutoa misaada wakati kagera sijui ndo wapi hawakuonekana hilo jeshi la wananchi...

Anyway, am off
 
wakenya kwa kweli mnachekesha sana dunia ......na hilo jeshi lenu[emoji23][emoji23]
 
Kdf ndio jeshi pekee ulimwenguni kupoteza askari wengi kwenye kaambush uchwara pia ndio jeshi pekee ambalo askari wake ni wezi

Pia kenya ndio nchi pekee duniani ambayo iliwekwa chini ya ulinzi kwa siku tatu na magaidi 3 wa Al shabab
 
Khaa unaelewa kiswahili mwasiti??
Kasaidiwa na nani?
Unajua maana ya usaidizi?
TPDF ndio imetoa usaidizi kwasababu hata Congo yalianza peace keeping troops zingine yakashindwa kukamilisha ndio TPDF akaitwa mathalan M23 yalianza kuja majeshi ya Africa magharib lakini alokuja kukamilisha kaz na kuongoza brigade ni TPDF.
Usipoelewa hapo kweli wewe Mwasiti.
Nionyeshe waliokamilisha bila usaidizi wa Nchi zingine...tag me bila upuzi.
 
Na ndio nchi pekee katika ukanda huu kupasua watu vichwa
Kdf ndio jeshi pekee ulimwenguni kupoteza askari wengi kwenye kaambush uchwara pia ndio jeshi pekee ambalo askari wake ni wezi

Pia kenya ndio nchi pekee duniani ambayo iliwekwa chini ya ulinzi kwa siku tatu na magaidi 3 wa Al shabab
 
Vita mmeshinda ni kuumaliza upinzani tu
 
Juzi kati wabunge was Kenya walikua wanaongea kiswahili bungeni kwao , nilicheka sana hawajui kiswahili hawa wakenya
 
Hahhahahahahahahahhahahahhhaahaahhahahahhaahhahahahahhahahahahahahhah daah !!!
Wakijulie wapi bandugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…