Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaongopa ww??
TPDF ikimbie??
Bro punguza miraa.
Yawezekana hujui kuwa Somalia kuna majeshi ya Uganda, Burundi na Kenya! Hata hivyo, KDF ndio imerambishwa sakafu mara nyingi zaidi na Alshabab. Alshabaab walifanikiwa kuingia University ya Garissa na kushambulia kwa masaa kadhaa na kuua wanafunzi wengi wakati KDF na vikosi vya usalama wakichikua muda mrefu kuji-mobilize. Kama kwamba haitoshi, shambulio la Alshabaab hotelini Nairobi mwaka huu, ilibidi vikosi vya Uingereza visaidie kuokoa jahazi. Tanzania TPDF tosha, hawahitaji msaada wa mamluki.
Vv
Nishakupa ushahidi kuwa wanabaka wanawake kule kongo Hadi u hunguzi ukaanza kufanywa.Mbona hueleweki unaloongea??
Ebu ongea ueleweke km Kuhusu ushahidi ushapewa sana ila ushahidi wako ww sijui unatoleaga wapi?
Wanaingia Hadi ikulu...Jeshi lenu Ni ovyo Sana wako Kama wanamgambo Kiana hivi kazi wanayoweza Ni kubangua Korosho na kufunga bureau za kubadilisha fedha za kigeni.They wont dare, wataishia mpakani Horiri, Horohoro na Namanga.
Vv
Nishakupa ushahidi kuwa wanabaka wanawake kule kongo Hadi u hunguzi ukaanza kufanywa.
Wanaingia Hadi ikulu...Jeshi lenu Ni ovyo Sana wako Kama wanamgambo Kiana hivi kazi wanayoweza Ni kubangua Korosho na kufunga bureau za kubadilisha fedha za kigeni.
Duh!!mbna hamuelewagi vitu, mada yangu ilkua ni kuhusu misaada...
Ndio nikauliza mbona mozambique mlikimbia mbio mbio kutoa misaada wakati kagera sijui ndo wapi hawakuonekana hilo jeshi la wananchi...
Anyway, am off
Nionyeshe waliokamilisha bila usaidizi wa Nchi zingine...tag me bila upuzi.Mbona wamekamilisha millitary missions nyingi tu ninyi hamna mlokamilisha?
Ndani ya Kenya hiij![]()
![]()
![]()
![]()
Jubaland somalia
africa.cgtn.com
Nionyeshe waliokamilisha bila usaidizi wa Nchi zingine...tag me bila upuzi.
Kdf ndio jeshi pekee ulimwenguni kupoteza askari wengi kwenye kaambush uchwara pia ndio jeshi pekee ambalo askari wake ni wezi
Pia kenya ndio nchi pekee duniani ambayo iliwekwa chini ya ulinzi kwa siku tatu na magaidi 3 wa Al shabab
Khaa unaelewa kiswahili mwasiti??
Kasaidiwa na nani?
Unajua maana ya usaidizi?
TPDF ndio imetoa usaidizi kwasababu hata Congo yalianza peace keeping troops zingine yakashindwa kukamilisha ndio TPDF akaitwa mathalan M23 yalianza kuja majeshi ya Africa magharib lakini alokuja kukamilisha kaz na kuongoza brigade ni TPDF.
Usipoelewa hapo kweli wewe Mwasiti.
Juzi kati wabunge was Kenya walikua wanaongea kiswahili bungeni kwao , nilicheka sana hawajui kiswahili hawa wakenyaKhaa unaelewa kiswahili mwasiti??
Kasaidiwa na nani?
Unajua maana ya usaidizi?
TPDF ndio imetoa usaidizi kwasababu hata Congo yalianza peace keeping troops zingine yakashindwa kukamilisha ndio TPDF akaitwa mathalan M23 yalianza kuja majeshi ya Africa magharib lakini alokuja kukamilisha kaz na kuongoza brigade ni TPDF.
Usipoelewa hapo kweli wewe Mwasiti.