KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

KATOKA KWA MZUNGKAENDA KWA MWARABU MAMBO NI YALE YALE TU!!! ANGEACHA DINI ZOTE AKAJA KWA KINJEKITILE NDIO INGEKUWA HABARI! WAPI PADRE MCHARO UMEPIGWA PINI NINI BONA KIMYA!!
Kinjekitile alikuwa muislam
 
Karibu sana utekeleze maagizo ya allah [emoji117] ili ufuzu ukazawadiwe mahulu 72 wenye makalio ft.40 ujiuji kiuno kama nyigu, macho kama vikombe...yalah [emoji8] [emoji39]
YESU MWENYEWE ALIKUWA NA UPANGA.KUNA MWANAUME ASIYEPENDA WANAWAKE? KAONA UJINGA ACHA AKAJICHUKULIE MABIKIRA.

Soma Aya ya 34.
 
YESU MWENYEWE ALIKUWA NA UPANGA.KUNA MWANAUME ASIYEPENDA WANAWAKE? KAONA UJINGA ACHA AKAJICHUKULIE MABIKIRA.

Soma Aya ya 34.
tumia akili yako vizuri [emoji15] Yesu Angewaamuru Wafuasi wake wawageuze kibla makafir kungekuwa hakuna kafir hata mmoja juu ya ardhi hii wangekuwa Hai kuleta bla bla...[emoji15] [emoji4] ukitaka ujue vita aliyo leta Yesu [emoji117] Vita hii [emoji117] leo hii kamwambie muongo aache uongo, mngese aache ungese, muongo mwizi...waache kitakacho kupata ulete mrejesho humu [emoji4] wewe kama nilivyo Jina lako humu...mjinga...malizia [emoji12]
 
HUO UPANGA ALIOKUJA NAO WA NINI? WAKUKATIA VITUNGUU?
 
Mkuu neno mkristo/wakristo limetokana neno ukristo kwahiyo ukisema mungu hakuanzisha ukristo na wala Yesu hakuubiri ukristo basi pia nawe sio sahihi kujiita mkristo.
 
Karibu sana kwenye njia ya haq.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…