KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

KATOKA KWA MZUNGKAENDA KWA MWARABU MAMBO NI YALE YALE TU!!! ANGEACHA DINI ZOTE AKAJA KWA KINJEKITILE NDIO INGEKUWA HABARI! WAPI PADRE MCHARO UMEPIGWA PINI NINI BONA KIMYA!!
Kinjekitile alikuwa muislam
 
Karibu sana utekeleze maagizo ya allah [emoji117]
c86654401cdee14d8055d30b18e18dd6.jpg
ili ufuzu ukazawadiwe mahulu 72 wenye makalio ft.40 ujiuji kiuno kama nyigu, macho kama vikombe...yalah [emoji8] [emoji39]
YESU MWENYEWE ALIKUWA NA UPANGA.KUNA MWANAUME ASIYEPENDA WANAWAKE? KAONA UJINGA ACHA AKAJICHUKULIE MABIKIRA.
b68e38e56fc4214daee6b01e003a7946.jpg

Soma Aya ya 34.
 
YESU MWENYEWE ALIKUWA NA UPANGA.KUNA MWANAUME ASIYEPENDA WANAWAKE? KAONA UJINGA ACHA AKAJICHUKULIE MABIKIRA.
b68e38e56fc4214daee6b01e003a7946.jpg

Soma Aya ya 34.
tumia akili yako vizuri [emoji15] Yesu Angewaamuru Wafuasi wake wawageuze kibla makafir kungekuwa hakuna kafir hata mmoja juu ya ardhi hii wangekuwa Hai kuleta bla bla...[emoji15] [emoji4] ukitaka ujue vita aliyo leta Yesu [emoji117]
2af6660d4389c83fb3a922c9af58d0a7.jpg
Vita hii [emoji117] leo hii kamwambie muongo aache uongo, mngese aache ungese, muongo mwizi...waache kitakacho kupata ulete mrejesho humu [emoji4] wewe kama nilivyo Jina lako humu...mjinga...malizia [emoji12]
 
tumia akili yako vizuri [emoji15] Yesu Angewaamuru Wafuasi wake wawageuze kibla makafir kungekuwa hakuna kafir hata mmoja juu ya ardhi hii wangekuwa Hai kuleta bla bla...[emoji15] [emoji4] ukitaka ujue vita aliyo leta Yesu [emoji117]
2af6660d4389c83fb3a922c9af58d0a7.jpg
Vita hii [emoji117] leo hii kamwambie muongo aache uongo, mngese aache ungese, muongo mwizi...waache kitakacho kupata ulete mrejesho humu [emoji4] wewe kama nilivyo Jina lako humu...mjinga...malizia [emoji12]
HUO UPANGA ALIOKUJA NAO WA NINI? WAKUKATIA VITUNGUU?
 
Kaama dini??
Mungu hakuwahii kuumba dini kuwa kigezo cha kuingia ktk Ufalme wa Mungu..nampenda Yesu kwasababu hakuwahi kuhubiri dini hata siku1,ila alihubiri Ufalme wa Mungu pekee,na Yesu(mfalme)hakuanzsha hiyo dini ya ukristu,ukristu n.k so sitishiki mtu akiwa mkristo alafu akaruhusu ushoga,au ndoa Za jinsia moja..najua uyo yupo ktk dini ila hayupo ktk Ufalme wa Mungu,so sitishiki na dini wala nini...Mungu alirejesha Ufalme wake hapa duniani ndomaana Bwana wetu Yesu hakuwahi kuhubiri dini Bali kila alipohubiri alihubiri Ufalme Ufalme...l
Mathayo 4:17
Mkuu neno mkristo/wakristo limetokana neno ukristo kwahiyo ukisema mungu hakuanzisha ukristo na wala Yesu hakuubiri ukristo basi pia nawe sio sahihi kujiita mkristo.
 
ASKOFU ASILIMU KENYA NA WAFUASI WAKE, AGEUZA KANISA LAKE KUWA MSIKITI

Habari zilizotufikia kutoka Kenya, Askofu Charles Okwany ambaye baada ya kuichagua dini ya Kiislamu kuwa mwongozo wake wa wokovu duniani na Akhera amechagua jina la Ismail Okwany.

Amesema amesilimu baada ya kufanya utafiti wa kina kuhusu Uislamu. Amesema baada ya kusilimu, kanisa alilokuwa akihurbiri, lililoko katika eneo la Nyalgosi kaunti ya Homa Bay magharibi mwak Kenya, ambalo lilijulikana kwa jina la God’s Call Church of East Africa sasa limegeuzwa jina na kuwa Msikiti wa Jamia wa Nyalgosi.

Katika mahojiano na Jarida la Nairobian, Ismail Okwany amesema, wakati alipokuwa muhubiri wa Kikristo alikuwa akisafiri katika miji mbali mbali ya Kenya na Tanzania hasa katika maeneo ya pwani na alipata fursa ya kufanya utafiti kuhusu maisha ya Waislamu. Ismail Okwany anaongeza kuwa aliweza kulinganisha Uislamu na Ukristo na akaamua kufuatia Uislamu.

Aidha anasema moja ya mambo yaliyokuwa yakimkera sana wakati akiwa muhubiri wa Ukristo ni tabia ya wanawake kuingia ndani ya kanisa wakiwa wamevaa sketi fupi katika hali ambayo wanawake Waislamu wanakuwa wamejisitiri kwa Hijabu wakati wa ibada msikitini na hata nje ya msikiti.

Okwany mwenye umri wa miaka 65 alisilimu tarehe 26 Septemba akiwa na wafuasi wengine 23 wa kanisa lake na sasa wako mbioni kusajili rasmi msikiti wao.

Anasema Allaah (Subhanahu wa Ta’ala):

“Nyinyi ndio Ummah bora kuliko Ummah zote zilizodhihirishiwa watu (ulimwenguni) mnaamrisha yaliyo mema na mnakataza yaliyo maovu, na mnamuamini Allaah.” Aal ‘Imraan: 110

“Sema hii ndio njia yangu, ninaita (ninalingania) kwa Allaah kwa ujuzi wa kweli, mimi (nafanya hivi) na (kila) wanaonifuata. Na Allaah Ametakasika na kila upungufu, wala mimi simo miongoni mwa wanaomshirikisha (Allaah).” Yuusuf: 108

UNGANA NASI :

Kwa matukio na uchambuzi wa habari mbalimbali za kiislam ulimwenguni usikose kutembelea account yetu ya facebook ya Habari Za Kiislamu na pia jiunge na group letu la facebook la Uislamu Sahihi ni Qur'an na Sunnah.

Wabillahi at-Tawfiyq
Karibu sana kwenye njia ya haq.
 
Back
Top Bottom