MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wao wako afadhali maana wanatumia Kifaransa na kwa kweli ni lugha unayoweza tumia tokea chekechea hadi chuoni bila kuchakachua na Kingereza, ila Kiswahili kina mapungufu kiasi kwamba umaarufu wake umebakia kutumika na wajasiria mali kule Uswahilini. Hata hivyo ulimwengu uko mbioni kutumia Kingereza na kote, labda hii taarifa itakusaidia Evelyn Leopold: Does French Stand a Chance Against a Global English-language Tsunami?Kwa akili yako potofu watoto wa huko (kwa mfano) Senegal au Ivory Coast hawana akili kwa sababu hawajui Kiingereza?
Kingereza kimefanya uchumi wetu ubaki kuongoza EAC yote, kampuni nyingi multi-nationals zimeweka makao yake makuu Nairobi. Watalii wanatujia kwa mamilioni ila hatuna mbuga nyingi kama nyie.