Kenya at 50 - Celebrating Kenya's 50th birthday and the many faces of Kenya

Kenya at 50 - Celebrating Kenya's 50th birthday and the many faces of Kenya

Nimewahi kuwa na mijadala na Wabongo, lakini huyu kiboko kweli. Lazima awe mzee fulani mwenye itikadi kali sana na kama ana watoto, jameni lazima wawe wanapitia majanga. Ulimwengu wa sasa lazima uwe mjanja wa lugha kadhaa na haswa zilizostawi.

mwenyewe hajakomaa kabisa sasa wamuita mzee?
 
Wewe mtumwa wa fikra bado upo? Nilidhani umeishajikomboa kumbe nilikuwa nimekosea. Duh!
Hehehe!! nitapumulia shingoni mwako hadi ukubali mabadiliko kwa ajili ya vizazi vya kesho.
 
Back
Top Bottom