Nimewahi kuwa na mijadala na Wabongo, lakini huyu kiboko kweli. Lazima awe mzee fulani mwenye itikadi kali sana na kama ana watoto, jameni lazima wawe wanapitia majanga. Ulimwengu wa sasa lazima uwe mjanja wa lugha kadhaa na haswa zilizostawi.
Bwamdogo acha kujidanganya. Sitishiki na hivyo vijimaneno vyako. Hii ni dalili ya kushindwa hoja!mwenyewe hajakomaa kabisa sasa wamuita mzee?
Haya mambo yanageuka sasa maana serikali ya Tanzania inaanza mikakati ya kuhakikisha Kingereza kinatumika hata shule za msingi. Yaani hii ni hatua muhimu sana kiuchumi. Hii hatua itahakikisha Watanzania wa kesho watakua wenye kujiamini vikao vya kimataifa na hata biashara za kimataifa. Soma zaidi allAfrica.com: Tanzania: New Education Policy Eyes English-Medium SchoolsHaha ha haa. Wewe mkenya ni kituko!
Wewe mtumwa wa fikra bado upo? Nilidhani umeishajikomboa kumbe nilikuwa nimekosea. Duh!Haya mambo yanageuka sasa maana serikali ya Tanzania inaanza mikakati ya kuhakikisha Kingereza kinatumika hata shule za msingi. Yaani hii ni hatua muhimu sana kiuchumi. Hii hatua itahakikisha Watanzania wa kesho watakua wenye kujiamini vikao vya kimataifa na hata biashara za kimataifa. Soma zaidi allAfrica.com: Tanzania: New Education Policy Eyes English-Medium Schools
Hehehe!! nitapumulia shingoni mwako hadi ukubali mabadiliko kwa ajili ya vizazi vya kesho.Wewe mtumwa wa fikra bado upo? Nilidhani umeishajikomboa kumbe nilikuwa nimekosea. Duh!
Hauna lolote, kijana!Hehehe!! nitapumulia shingoni mwako hadi ukubali mabadiliko kwa ajili ya vizazi vya kesho.