KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

duh hii hatari
kwenye sinema ya ANDHA KANOON (SHERIA KIPOFU) mwigizaji. mkuu Amita Bachan alitumikia kifungo chake miaka 20, akiwa huru mitaani akakutana na aliyesemekana kuuawa hadi kupelekea kufungwa; mzee wa watu yuko jukwaani anaomba kura kuiongoza serikali ya mtaa. ghafla macho yakakutana na sura ya mtuhumiwa aliyemfanyia figisu na kutiwa ndani. mzee wa watu alishikwa tumbo la kuhara na kukimbia lkn haikusaidia. bahati nzuri kakimbilia majengo ya mahakamani akakuta hakimu yule yule aliyetoa hukumu yuko anaendelea na makukumu yake. kilichofuata ni Amita kumwaga damu mbele ya mahakama. mahakama kuhamaki tu, wanagundua kosa lililomtia jamaa ndani kuwa aliua lilikuwa feki na sasa ndio kaua kweli. wala haihitaji ushahidi sijui wa kuambiwa huu ni wa kuona.

sinema inaishia hapo sijui km alihukumiwa upyam hapo ndio nakubali wasanii wanaona mbali sana. sijui mzee wa Kenya huyo anajisikiaje akiwaza mkutano wake wa kwanza na mke au binti.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Hivi kweli hapo utahukumiwa kwa kuua mtu ambae ulishawahi kumuua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu kumsamehe aliyekuwa mkeo, kama mume na mwanadamu asiye mkamilifu...ungemsamehe??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asili ya wanawake ni Roho Mbaya,Ukatili,unafki uliopitiliza na Ubinafsi 96/%
Wanamchango mkubwa sana ktk vifo vya wanaume au kuwajeruhi kiroho na kimwili.
Pia wana mchango kidogo kwenye Maendeleo ya Mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…