tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
We aggyjay hiyo avatar si mchezoHakuna kitu kinauma dunia hii kama kusingiziwa na hakuna wa kukusikiliza akakuamini...utabaki kulia na Mungu tu bila japo itachukua mda atakusikia.
Ndo mana hata amri kumi mojawapo inasema usimshuhudie jirani yako uongo..Mungu anayajua maumivu ya kusingiziwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jaji nahisi nae alikuwa ktk mgawanyo wa maliAliomba kufanya DNA judge akamwambia ni expensive,akawambia atalipa judge akamjibu muda ushapita wa kufanya DNA
Sent using Jamii Forums mobile app
Uikuwa na miaka mingapi mpaka ushangae DNA. 2008!?
Nilikuwa na miaka 9Uikuwa na miaka mingapi mpaka ushangae DNA. 2008!?
Ok, ilikuwepo ndugu
Baba mtu anasema mahakama ilikataa wito wa mtuhumiwa wa kupima DNA kwa kusema ni ghali sana, ingawa mtuhumiwa alisema atagharamia. Mahakama ikagoma na hivyo ikatoa maamuzi ya one-sidedMahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yupoMsichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.
Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali
Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!
Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.
(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)
(Citizen TV Kenya)
Nimeitoa kwa @milard ayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo nae ni mchaga?!
Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wa kenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]