KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Miaka 10 ndrichi kwa ushenzi wa mpumbavu mmoja hivi halafu anakuja kukuomba msamaha eeeeh!
 
1553057237965.png
 
Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mtu anasema mahakama ilikataa wito wa mtuhumiwa wa kupima DNA kwa kusema ni ghali sana, ingawa mtuhumiwa alisema atagharamia. Mahakama ikagoma na hivyo ikatoa maamuzi ya one-sided
 
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.

Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali

Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!

Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.

(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)

(Citizen TV Kenya)

Nimeitoa kwa @milard ayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yupo
 
Back
Top Bottom