Mama zenu na nani? Usituchanye na tamaa za mali za ki kikuyu.
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.
Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali
Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!
Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.
(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)
CHANZO: Citizen TV, Kenya
Aliomba kufanya DNA judge akamwambia ni expensive,akawambia atalipa judge akamjibu muda ushapita wa kufanya DNA
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikosa wakili wa kumsaidia kukata rufaa? Nimeumia sana kwa kweli, kuna watu wangapi hapa Duniani waliofungwa bila makosa?Aliomba kufanya DNA judge akamwambia ni expensive,akawambia atalipa judge akamjibu muda ushapita wa kufanya DNA
Sent using Jamii Forums mobile app
Una moyò wa huruma eti?anasema alimuomba Judge aende for DNÀ test eti akaambiwa muda wa kupima hayo makitu ushapita..mie jana had nililia...noma sana
nasikia judge alitunukiwa papuchi na yule bi mdash!Aliomba kufanya DNA judge akamwambia ni expensive,akawambia atalipa judge akamjibu muda ushapita wa kufanya DNA
Sent using Jamii Forums mobile app
fedheha ya huyo mama dorcas, utasemaje fedheha nyengine kwa mama zetu?!!!!, hamuamki tu kujua kuwa dunia ya leo kila mtu abebeshwe mslaba wake, kosa la huyo mama ni la huyo mama isiwe sababu ya wanawake woote wakose usingizi na wasijiamini kuwa wao ni watu wema
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.
Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali
Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!
Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.
(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)
CHANZO: Citizen TV, Kenya
Alifungwa kifungo cha maisha gerezaniMuacheni amalize kifungo....
Alifungwa miaka kumi na ameshatumikia miaka kumi
Mmacha....malizia na mliö wa mbuziHuyo mama kabila gani mkuu?
hiii! kosa la kumbaka mtoto hailazishi uwepo wa dna test, yani hata ukiwa haujapenetrate, ile kumshikashika tu mtoto kiubakaji bakaji unatupwa jela , haiitaji hata ukamilishe tendo lote chafuMahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mama alitengana na mume wake tena kwa ujinga wake Wa kutokutaka kumsamehe mume wake alipoomba kumsamehe baada ya mwanaume kumzushia kuwa analiwa na jirani,baada ya kuachana yule mwanamke akatamani mshahara Wa mumewe wakati na yeye alikuwa na mshahara akaenda kumsema kwa ofisin kuwa hatoi pesa za ada na matunzo kwa watoto ili apate nusu mshahara Wa mumeweKesi za wanawake kuwalisha sumu mbaya watoto wao kuhusu baba zao zipo sana,jirani yetu mmoja kipindi nakua mama yake alimwambia baba yake alishakufa kitambo tena alikufa hata hajazaliwa ila wapevu wakamsubiri akue kue wakamwambia ukweli nakumbuka jamaa alimchukia sana mama yake baada ya kulijua hili.
Mwanamke siyo kiumbe wa kumuamini hata mara moja anaweza kukutia kwenye janga ukajikuta maisha yako yote unajuta kumfahamu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hapana, alifungwa kifungo cha maisha na hadi sasa ameshatumikia miaka kumi. Kifungo cha maisha ni hadi utakapokufa labda kama kitapunguzwa kwa msamaha wa Raisi.Muacheni amalize kifungo....
Alifungwa miaka kumi na ameshatumikia miaka kumi
Unajua maana ya "fedheha"? Labda hujanielewafedheha ya huyo mama dorcas, utasemaje fedheha nyengine kwa mama zetu?!!!!, hamuamki tu kujua kuwa dunia ya leo kila mtu abebeshwe mslaba wake, kosa la huyo mama ni la huyo mama isiwe sababu ya wanawake woote wakose usingizi na wasijiamini kuwa wao ni watu wema
Sent using Jamii Forums mobile app