ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Story ya huyo baba imenitoa machozi asubuhi,kama mwanamke na mama nimejiskia vibaya sana ila Mungu ni mwema na ana kusudi kumleta huyo binti kukiri na kusema ukweli kuwa baba yake hakumbaka,hopefully mzee atapata haki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
koma..nani kakuambia kwrtu Mbeya😏😏😏😏😏..ovyooo...Huko kwenu Mbeya si kuna mtaa flani wamejaa wama....e kibao wenye faranga za kutosha lkn 99% ni wajane[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
NOMachame hizi ni hadith za zamani sana. Sikuiz umerakani mwngi hixo tabia zilashakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliomba kufanya DNA judge akamwambia ni expensive,akawambia atalipa judge akamjibu muda ushapita wa kufanya DNA
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu mzee alikua ana maduka mengi ya spare hapa mjini...ndo hizo tamaa za mali... sasa huyo mama mdg akambonyeza huyu shogangu coz ni watu waloshibana...ali.chongea mchongo mumewe...sasa hv mama anaishi makongo juuu anahela had anaumwa
ila ww jamaa una shida kwenye ubongo wako..sio bure...kwan kuuliza amekosea??mxiewwww muda wote ww unahis maajbu maajabu tu...ovyooo
Umekurupuka. Ni kitu gani haswa ķimekufanya ujue nimemuamìni? Umeiona alama ya kiulizo hapo kwenye comment? Unajua kaź ya hiyo alamą?
Sahihi, kwa maana kosa hilo linweza kujirudia kizazi cha tano hadi cha sita. Kilangila.Nikiwa kama baba na mwanadamu asiye mkamilifu... Ningemsaheme binti yangu ili kuponya majeraha na maumivu ya pande zote mbili... Lakini pia kuikinga familia yangu na laana ya kusema uongo, kusingizia, roho ya tamaa, visasi na roho mbaya
Jr[emoji769]
siku zote nasema,mshauri wa wanawake ni kipofu.
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.
Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali
Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!
Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.
(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)
CHANZO: Citizen TV, Kenya
Hahaaa... nilikuwa nachangamsha genge tu Mama la Mama, samahani ikiwa nimekukwaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
koma..nani kakuambia kwrtu Mbeya[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]..ovyooo...
Kwa dunia ya leo uovu kama huu hauna uhusiano wowote na kabila, utaifa wala rangi ya mtu. Shetani akimwingia mwanadamu, anaweza kumuongoza afanye lolote. Kilangila.Jamii ya Wachaga-Kikuyu.
Aiseee...samahani tena kwa mara ya pili maana wawezakuwa hata ndugu yangu wala usinichukie kihivyo dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]kusingiziwa kusikieni tuu, mbaya zaidi na shahidi wa uongo awepo.... utatamani Jua liwe Camera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira, hasara. Kilangila.Yaani kama mimi ndio huyo mzee, siku nikiachiwa namchinja kabisa huyo mama ili nirudi nilipokuwa [gerezani] nikaendelee na maisha yangu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu sasa, ukisingiziwa kweli bila hata kuujua mchongo husika mara nyingi unasamehe, ukiona mtu analipiza kisasi ujue kwenye mchongo alikuwepo au anaujua ila hakushiriki watu wakamuweka na yeye.hhaahaahahaa kunauma sana...sana sana
C' men, nilivyo ongelea hivyo nimemaanisha mambo mengi sana, ikiwemo "Haki"Na wale waliomhukumu kofii olomide Miaka miwili kwa ubakaji nao weusi?
Je waliomshitaki christian Ronaldo kwa ubakaji Miaka kumi iliyopita nao weusi?
Mnaowaita wanajua haki za raia usa wamempeleka R. kelly mahakaman kwa ubakaji nao ni weusi?
Hakuna haki duniani, haki ni kwa Mungu pekee.
Hasira sio siku zote zinakuwa hasara, kwani unajua roho ya huyo mzee ilivyokuwa baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha? Binafsi hata mtu aninyang'anye 10,000 mbele ya ushahidi uliotolewa kuwa ni hela yake wakati ni yangu kihalali then baada ya muda aje nayo anirudishie siwezi kubali.Hasira, hasara. Kilangila.