ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Haki ipi wakati lifestyle yake ishaaribika uyo Jaji na mwanamke wachukuliwe hatu ikibidi wanyongwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Story ya huyo baba imenitoa machozi asubuhi,kama mwanamke na mama nimejiskia vibaya sana ila Mungu ni mwema na ana kusudi kumleta huyo binti kukiri na kusema ukweli kuwa baba yake hakumbaka,hopefully mzee atapata haki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app