KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.

Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali

Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!

Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.

(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)

CHANZO: Citizen TV, Kenya
Nikiwa kama baba na mwanadamu asiye mkamilifu... Ningemsaheme binti yangu ili kuponya majeraha na maumivu ya pande zote mbili... Lakini pia kuikinga familia yangu na laana ya kusema uongo, kusingizia, roho ya tamaa, visasi na roho mbaya

Jr[emoji769]
 
Hata yeye alimsamehe...!duh inauma sana
 
Mzungu ni Mzungu tu...... Sisi ma black nigger tuna laana ya asili,
umenena vema. asili yake ni toka enzi za kuumbwa kwa dunia
tapatalk_1552979080378.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio za zaman kaka..mwaka 2012 rafiki angu ananiambia babake mdg huuu msiba mkewe anaujua...alikod majambaz yakamlenga shaba la kichwa mumewe wakt anasubiri afunguliwe geti. bado zipo
Ningehitaji kufaham zaid? 2012 sio mbali.
All in all naamini tamaa ya mali ipo kwa baadhi ya wanawake. Iwe mzungu mchina mbongo..
Yoyote yule akitamani anakusafirisha.. cha msingi ni kuwa makini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningehitaji kufaham zaid? 2012 sio mbali.
All in all naamini tamaa ya mali ipo kwa baadhi ya wanawake. Iwe mzungu mchina mbongo..
Yoyote yule akitamani anakusafirisha.. cha msingi ni kuwa makini tu

Sent using Jamii Forums mobile app

huyu mzee alikua ana maduka mengi ya spare hapa mjini...ndo hizo tamaa za mali... sasa huyo mama mdg akambonyeza huyu shogangu coz ni watu waloshibana...ali.chongea mchongo mumewe...sasa hv mama anaishi makongo juuu anahela had anaumwa
 
Back
Top Bottom