Kenya budget Vs Tanzania budget estimate financial year2017/2018

Kwahyo mmeamua kupigana vijembe ?embu rudini kwenye hoja
 
Kenya ina bajeti ndogo kutokana na ukubwa Wa Nchi yake the same to Tanzania lakini even though our Budget Tanzania haisadifu realities of life expectancy
Wewe umesoma Tsh. 31tr alafu ukaona Ksh 2.6trn ukadhani ya Kenya ni ndogo. Unakumbuka shuleni tulivyokua tunagawa meters into centimeters? Lazima zote ziwe unit moja ya cm kabla ya kugawa. Sasa tukitumia mantik hiyo hapa, tunazidisha ksh. 2.6trn mara 21.5 (exchange rate ksh 1~ Tsh 21.5) tutapata kama Tsh 56trn.
Kwa maana hiyo, Kenya wangekua wanatumia hela ya Tanzania budget yao ingekua ni ya Tsh 56trn na Tanzania Tsh 32trn.
Nawasilisha.... budget ya Kenya ndo kubwa
 
Bibiye unafahamu honest mistake?
 
If both countries and the rest in E.A were to use all the billions they allocate for the intended purposes then tungekua mbali sana in all areas...tatizo hapa pesa nyingi zitaishia in corrupt pockets, shadow worker etc,...
 
Enyewe wewe ni mjinga... Sasa kwa sababu figure ya tz ni kubwa kuliko ya Kenya that's y unasema ni uwongo.....
 
Huyo dem shidake ni gani ? Mwenyewe hana macho aone it's not Ksh 26trn but Ksh 2.6trn.
Acha kucomment while u're having orgasms. Maliza kwanza ndo uzungumze.
P.S. Unyoe hiyo maneno hapo chini, hehehe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hehehe leo mama una mzuka balaa, wanaume wote humu wamejaribu kupuuza hizo nyege zako lakini unang'ang'ania kupita maelezo.
Tutaendelea kukupuuza tu labda ujipige punyeto.
Hahahahaha
 
mi sina wasiwasi na tz yangu najua magufuli atawanyosha hawa wakenya na tutakuwa na 1,

wakenya kaeni chonjo, madaktari tu mmeshaanza kuazima kutoka tz, so mnaweza mkajitathmini wenyewe....

"watch it, not to that extent".................... is coming..
 
African countries are all the same in terms of upumbavu ujinga n.k...


Kenye bajeti kubwa ila madaktari mmeshindwa kuwalipa


Tanzania bajeti kubwa ila implementation ya FYB 2016/17 haikuzidi 30%


Ushenzi mtupu
mkuu unaskia na matako,kashaelezwa mbona madoctor waligoma.
 

Hata wewe huwezi fikiria zaidi ya hapo?? Ratio ya madaktari Kenya ni safi sana, ya Tanzania mbovu sana, lakini serikali yenu haiajiri madaktari, Kenya tumeajiri wameisha tunatafuta wengine ilikuboresha maisha yetu, wewe mtanzania unakuja hapa ukidhani sasa nyinyi ndio mmepiga bao, kweli??? Huwezi hata fikiria???
 
Kondaa=konda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita tu

Konda au kondaa ni jina la mtaa, kwa mfano mitaani Kenya tunaita kondaa, lakini bongo ni konda.
 
Konda au kondaa ni jina la mtaa, kwa mfano mitaani Kenya tunaita kondaa, lakini bongo ni konda.
Hivi Kenya mnaongea kiswahili au kiswahili cha mwendokasi?
 
Wakenya mnachekesha sana, bajeti yenu inatumia 40% kulipa madeni ya nje na ndani. Bajeti ya 2017, ya kulipa madeni ya Kenya imeongezeka 242%. Nusu ya bajeti ni kenya ni PPP, sasa mnawashindana nini Tanzania?
 
Wakenya mnachekesha sana, bajeti yenu inatumia 40% kulipa madeni ya nje na ndani. Bajeti ya 2017, ya kulipa madeni ya Kenya imeongezeka 242%. Nusu ya bajeti ni kenya ni PPP, sasa mnawashindana nini Tanzania?
Kwani Tanzania ilitumia kiasi gani cha bajeti yake katika eneo hilo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…