Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umesoma Tsh. 31tr alafu ukaona Ksh 2.6trn ukadhani ya Kenya ni ndogo. Unakumbuka shuleni tulivyokua tunagawa meters into centimeters? Lazima zote ziwe unit moja ya cm kabla ya kugawa. Sasa tukitumia mantik hiyo hapa, tunazidisha ksh. 2.6trn mara 21.5 (exchange rate ksh 1~ Tsh 21.5) tutapata kama Tsh 56trn.Kenya ina bajeti ndogo kutokana na ukubwa Wa Nchi yake the same to Tanzania lakini even though our Budget Tanzania haisadifu realities of life expectancy
Hawajashindwa kulipa wanadai nyongeza sio kama sisi tuliozoea kupunjwaBudget kubwa mnashindwa kuwalipa madoctor wenu!
Bibiye unafahamu honest mistake?Wewe unaonesha hata unachokisoma hukielewi, ona hii:
"Kshs 2.6 trn (about $26b if my conversion is correct)"
Ona na hii:
"Kshs 31.69 trn (about $14b if my conversion is correct)"
Zote hizo kaandika nyang'au @mk254.9
Sasa vipi Kshs 26 trn iwe $26b na figure kubwa ya Kshs 31 trn iwe only $14b?
Hivi huwa hamuangalii mnachokisoma au ni bongo zenu zimelala?
Punguani wahed.
If both countries and the rest in E.A were to use all the billions they allocate for the intended purposes then tungekua mbali sana in all areas...tatizo hapa pesa nyingi zitaishia in corrupt pockets, shadow worker etc,...Total Kenyan budget for FY 2017/2018 - Kshs 2.6 trn (about $26b if my conversion is correct)
Ksh 640bn set for development expenditure
Ksh 1.3trn set for recurrent expenditure
Ksh 329.3bn allocated to counties
Ksh 18.1bn goes to judiciary
Ksh 36bn taken by parliament
Major highlights
- No more VAT on maize flour and bread
- Hospital equipments will be VAT free too
- Corporate tax for vehicle assemblers reduced to 15% from earlier 30%
- Kenyans earning less than Kshs 13,486 have been exempted from income tax
The finance minister has gone for
- Alcoholics, has increased excise duty
- Gamblers, he has increased betting tax, lottery tax, and gaming tax
Total Tanzania budget for FY 2017/2018 - Tshs 31.69 trn (about $14b if my conversion is correct)
Am yet to get full analysis, but only 34% of development budget was released during the FY 2016/2017
Ok wadau tuendelee kudadavua
Enyewe wewe ni mjinga... Sasa kwa sababu figure ya tz ni kubwa kuliko ya Kenya that's y unasema ni uwongo.....Wewe unaonesha hata unachokisoma hukielewi, ona hii:
"Kshs 2.6 trn (about $26b if my conversion is correct)"
Ona na hii:
"Kshs 31.69 trn (about $14b if my conversion is correct)"
Zote hizo kaandika nyang'au @mk254.9
Sasa vipi Kshs 26 trn iwe $26b na figure kubwa ya Kshs 31 trn iwe only $14b?
Hivi huwa hamuangalii mnachokisoma au ni bongo zenu zimelala?
Punguani wahed.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo dem shidake ni gani ? Mwenyewe hana macho aone it's not Ksh 26trn but Ksh 2.6trn.
Acha kucomment while u're having orgasms. Maliza kwanza ndo uzungumze.
P.S. Unyoe hiyo maneno hapo chini, hehehe...
HahahahahaHehehe leo mama una mzuka balaa, wanaume wote humu wamejaribu kupuuza hizo nyege zako lakini unang'ang'ania kupita maelezo.
Tutaendelea kukupuuza tu labda ujipige punyeto.
Kondaa wa bodabodaHawa mungiki wa kenya wana kiswahili kibovu sana.
mkuu unaskia na matako,kashaelezwa mbona madoctor waligoma.African countries are all the same in terms of upumbavu ujinga n.k...
Kenye bajeti kubwa ila madaktari mmeshindwa kuwalipa
Tanzania bajeti kubwa ila implementation ya FYB 2016/17 haikuzidi 30%
Ushenzi mtupu
mi sina wasiwasi na tz yangu najua magufuli atawanyosha hawa wakenya na tutakuwa na 1,
wakenya kaeni chonjo, madaktari tu mmeshaanza kuazima kutoka tz, so mnaweza mkajitathmini wenyewe....
"watch it, not to that extent".................... is coming..
Kondaa=konda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita tuKondaa wa bodaboda
Kondaa=konda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napita tu
Hivi Kenya mnaongea kiswahili au kiswahili cha mwendokasi?Konda au kondaa ni jina la mtaa, kwa mfano mitaani Kenya tunaita kondaa, lakini bongo ni konda.
Kwani Tanzania ilitumia kiasi gani cha bajeti yake katika eneo hilo ?Wakenya mnachekesha sana, bajeti yenu inatumia 40% kulipa madeni ya nje na ndani. Bajeti ya 2017, ya kulipa madeni ya Kenya imeongezeka 242%. Nusu ya bajeti ni kenya ni PPP, sasa mnawashindana nini Tanzania?