D Depay JF-Expert Member Joined Jun 22, 2015 Posts 6,562 Reaction score 3,905 Mar 31, 2017 #61 Mwanzi1 said: Wakenya mnachekesha sana, bajeti yenu inatumia 40% kulipa madeni ya nje na ndani. Bajeti ya 2017, ya kulipa madeni ya Kenya imeongezeka 242%. Nusu ya bajeti ni kenya ni PPP, sasa mnawashindana nini Tanzania? Click to expand... Tehehehee... Hata umechekesha zaidi..... Cut me a drink
Mwanzi1 said: Wakenya mnachekesha sana, bajeti yenu inatumia 40% kulipa madeni ya nje na ndani. Bajeti ya 2017, ya kulipa madeni ya Kenya imeongezeka 242%. Nusu ya bajeti ni kenya ni PPP, sasa mnawashindana nini Tanzania? Click to expand... Tehehehee... Hata umechekesha zaidi..... Cut me a drink
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,000 Reaction score 4,589 Mar 31, 2017 #62 rock17 said: Kwani Tanzania ilitumia kiasi gani cha bajeti yake katika eneo hilo ? Click to expand... Kwa mwaka Jana na sisi tulikiwa maeneo hayo hayo asilimia 40-45, ndio maana nasema wanatucheka nini?
rock17 said: Kwani Tanzania ilitumia kiasi gani cha bajeti yake katika eneo hilo ? Click to expand... Kwa mwaka Jana na sisi tulikiwa maeneo hayo hayo asilimia 40-45, ndio maana nasema wanatucheka nini?
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,000 Reaction score 4,589 Mar 31, 2017 #63 Depay said: Tehehehee... Hata umechekesha zaidi..... Cut me a drink Click to expand... Ndio mzigo huo serikali yako inakubebesha, huna ujanja happy jubilee gov. [emoji23]
Depay said: Tehehehee... Hata umechekesha zaidi..... Cut me a drink Click to expand... Ndio mzigo huo serikali yako inakubebesha, huna ujanja happy jubilee gov. [emoji23]
S Spenza Member Joined Mar 31, 2017 Posts 36 Reaction score 19 Apr 3, 2017 #64 pmuta said: Budget kubwa mnashindwa kuwalipa madoctor wenu! Click to expand... Linganisha mshara wa daktari wa Kenya na Tanzania.... Kenyan doctors are 3rd most paid in Africa
pmuta said: Budget kubwa mnashindwa kuwalipa madoctor wenu! Click to expand... Linganisha mshara wa daktari wa Kenya na Tanzania.... Kenyan doctors are 3rd most paid in Africa
H hydrogen JF-Expert Member Joined Nov 12, 2012 Posts 993 Reaction score 694 Apr 3, 2017 #65 Spenza said: Linganisha mshara wa daktari wa Kenya na Tanzania.... Kenyan doctors are 3rd most paid in Africa Click to expand... Are we to take your word for it? Ebu tupe link ya ulikotoa mishahara ya madaktari wote wa Africa hadi ukaona Kenyan doctors are third most paid.
Spenza said: Linganisha mshara wa daktari wa Kenya na Tanzania.... Kenyan doctors are 3rd most paid in Africa Click to expand... Are we to take your word for it? Ebu tupe link ya ulikotoa mishahara ya madaktari wote wa Africa hadi ukaona Kenyan doctors are third most paid.