Kenya budget Vs Tanzania budget estimate financial year2017/2018

Kenya budget Vs Tanzania budget estimate financial year2017/2018

Wakenya mnachekesha sana, bajeti yenu inatumia 40% kulipa madeni ya nje na ndani. Bajeti ya 2017, ya kulipa madeni ya Kenya imeongezeka 242%. Nusu ya bajeti ni kenya ni PPP, sasa mnawashindana nini Tanzania?

Tehehehee... Hata umechekesha zaidi..... Cut me a drink
 
Kwani Tanzania ilitumia kiasi gani cha bajeti yake katika eneo hilo ?
Kwa mwaka Jana na sisi tulikiwa maeneo hayo hayo asilimia 40-45, ndio maana nasema wanatucheka nini?
 
Linganisha mshara wa daktari wa Kenya na Tanzania.... Kenyan doctors are 3rd most paid in Africa
Are we to take your word for it? Ebu tupe link ya ulikotoa mishahara ya madaktari wote wa Africa hadi ukaona Kenyan doctors are third most paid.
 
Back
Top Bottom