UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Una maanisha yule [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] ? Atapata wapi ubavu wa kuzungumzia maslahi wa wanasheria wakati TLS ameigeuza kuwa kitengo cha siasa cha chama chake?Angekua Lissu na TLS wameandika hivi zingejaa thread humu za "wazalendo"kumtukana
Hiyo kukubali kukosolewa tu kwa Kenyatta ni uthibitisho tosha kuwa jamaa anakubali sana uhuru wa mwanadamu katika kufikiri, ingekuwa Tanzania hao chama cha mawakili wangekoga matusi ya kufa mtu toka kwa Magufuli
HAWATATHUBUTU KWASABABU WALISHAONYWA NA TRUMPH KABLA HATA YA UCHAGUZI,KUA ATAKAE N'GAN'GANIA MADARAKA NA HAKUPITISHWA KIHALALI NA WANACHI KTK KURA HUYO NTAZAA NAE NA ATAKUA MFANO KWA WENGINE KWA BARA LA AFRIKA...Tsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!
Unanisoma vibaya napenda haki!! Hata hapa ningependa haki si hii tume ya wakurugenzi wa halmashauri za miji na wilaya,Wewe safarihii naona umeamua kurudi kwenye roots kumuung amkono mjombawako Odinga na kupingana na bosswako Lowassa...amakweli damu ni nzito kuliko maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huku wapi? Jecha alifuta hadi wajumbe wa baraza la uwakilishi na bado watu walimpongezaUbunge ni kama huku tu kila mwenye pingamizi anaweka kivyake, mbona rahisi hiyo Uhuru alikua anafurahisha wafuasi wake tu
Hii ndiyo shida ya genge la watu kujiona wao ni "so special".Ubunge ni kama huku tu kila mwenye pingamizi anaweka kivyake, mbona rahisi hiyo Uhuru alikua anafurahisha wafuasi wake tu
kkwakuzingaria hali ya aman nchini kenya, majaji waliweka hekima pembeni
wakenya hawahawa unaowafundisha manners nao wana manners zao, i can smell a ratHii ndiyo shida ya genge la watu kujiona wao ni "so special".
Kenya ni ya wote,misingi ya utawala waliiweka kwa ajili ya kuhakikisha haki inapatikana.Vitisho,uhuni na njama za kung'ang'ania madaraka zisipewe nafasi. Ni mfano mbaya kwa ukanda wetu huu,kwani nchi zingine zote zina tawala za "ajabu ajabu".Tulitegemea Kenya waonyeshe tofauti.
Wakenya mfundisheni kuwa Kenya ni zaidi ya individuals hasa kutoka Gatundu!
Ni muda mwafaka "manners"walizozizoea kuzipata na kuona ni haki yao zipokonywe na zionekane zilikuwa "privileges" tu.wakenya hawahawa unaowafundisha manners nao wana manners zao, i can smell a rat
wewe utaweza kuwapokonya utashi wao wa kuuana?Ni muda mwafaka "manners"walizozizoea kuzipata na kuona ni haki yao zipokonywe na zionekane zilikuwa "privileges" tu.
Siwezi kuwapokonya! Nashauri ili kuondoa dhana potofu kuwa "a certain group is an elite!"wewe utaweza kuwapokonya utashi wao wa kuuana?
JIKUMBUSHE ORODHA HII
Dedan kimath
john ouko
na yule IT specialist wa juzi
+
+