UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Afadhali chama Chao cha wanasheria (kls) bado kina ubavu wa kuwatetea wanasheria bila itikadi za vyama. Hapa kwetu tls imeshatekwa na rais wake amekifanya kuwa kitengo cha propoganda za chama chake.