Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
............ hakuna watu wanaitwa ''muhammadan'' wewe kafiri mzushi ! ndio maana mnasema Mungu ana mtoto kwa uzushi wenu ! sijui alizaa na nani na mke wa mungu sijui na yeye Mungu ? hovyo kabisa hata akili za kukopa huna !Mkuu ni matendo yao ndio nachukia, I have no problem with people as muhammadans and vice versa.
............... unapiga pale panapo uma! ukiunga mkono ........... basi una hatia!Mkuu nadhani siku wakiweka bomu sokoni likaua ndugu zako utaacha kuwakubali..., hawa jamaa vita wanavyopigana vya kuweka terror kwa watu sio vya kuvikubali hata kidogo.., hawafai kabisa hawa watu..., kama ni kupigana pigana na adui yako na sio kuua watu ambao hawana hatia
............ Inshaallah !! hakika kwa ALLAH hili ni dogo kwake, alimshushia Muhammad S.A.W, Askari Wasioonekana kupigana na Makafir ! Dini imesimama mpaka leo, hakika hataweza kuzima nuru ya ALLAH S. WHii ndio dalili kwamba unachangia ukiwa na ulevi kichwani na ikiwa ndio msimamo wa serikali yako basi uhakika umepatikana kwamba kuna ajenda dhidi ya waislamu wa Somalia halafu itafuata ndani ya Kenya na kwengine Afrika mashariki.
Mimi nilitaraji ikiwa kifo ni kibaya basi yeyote anayesababisha ashughulikiwe kisheria; kumbe tatizo ni pale muuwaji anapokuwa Alshabaab tu.Inatosha kutoa jeshi zima kumtafuta muuwaji ambaye wala hajulikani alipo.Zaidi ni kwamba wala si mauwaji bali ni utekaji nyara tu kama ni kweli..........Wapuuzi wakubwa,Yaa Allah! wape uwezo wa ajabu Alshabaab kuzima ujinga wa Kenya kwa faida ya waislamu wa Afrika Mashariki na kati.
............... WT****in'comments ??!!Jamani kama mnataka kulumbana na hiyo midini yenu hebu nendeni kwenye jukwaa husika. Mnatia kichefuchefu na akilini zenu za kitumwa zilizojaa ukristo na uislamu koko.
Tatizo letu sasa watanzania liko hivi: badala ya kujadili vipi tutajenga daraja au barabara tunaanza kujadili imani za makandarasi, WTF!
kwa hiyo kwako waliyofanyiwa Kenya ni sawa? Kila mujahideen wakishambuliwa ni marekani?
Ungetangaza maslahi tu badala ya kujificha nyuma ya mask!
............ Inshaallah !! hakika kwa ALLAH hili ni dogo kwake, alimshushia Muhammad S.A.W, Askari Wasioonekana kupigana na Makafir ! Dini imesimama mpaka leo, hakika hataweza kuzima nuru ya ALLAH S. W
Kwa lugha hii dini imekushinda. Wewe ni kanjanja aka mwislamu koko! A true muslim does not speak like that................ WT****in'comments ??!!
Na wanachofanyiwa Waislaam na majeshi ya Kiafrika kwao ni sawa?
75 Al-Shabab Insurgents Killed by Kenyan Forces in Lower Juba
Kenyan military in Somalia killed on Tuesday, 75 Al-Shabab fighters in lower Juba region of Somalia and captured four strategic towns controlled by Al-Shabab militants in an operation against the group.
Al-Shabab deported fighters near Af-madow town which is experiencing another mobilization and deployment from Transitional Federal Govermnet (TFG) forces supported by Kenyan military units and combatants from Ras Kamboni Brigade, according to residents in Af-madow town, 620 Kilometers south of Somalia's war torn capital- Mogadishu.
Tabto and Qoqani towns were the frontlines of Tuesday's battle. Kenyan troops are using warplanes, tanks and heavy weapons in these areas according to residents.
Jeff Nyaga, commander of Kenya's military against Al-Shabab confirmed the death of 75 insurgents. He said the towns recovered are now administered by the Somali government.
On Tuesday, Kenyan delegation in Mogadishu said they have reached an agreement of cooperation with Somalia's government.
"The two sides agreed to jointly work together in dealing with Al-Shabab's danger in the region. We have agreed to work together in areas of politics, military, economy and other areas." Said Husein Arab Esse , Somalia's defense minister.
Kenyan defense minister denied the presence of Kenyan troops in Somalia.
"There are no Kenyan troops entered in Somalia. It is only TFG trained soldiers in Kenya are fighting with Al-Shabab" said Kenya's defense minister.
"Al-Shabab now came to Kenya's border with Somalia and Kenya has the right to fight with them" he added.
On Tuesday, Kenyan troops supported by helicopters and tanks entered 100 Km in Somalia, in an attempt to fight Al-Shabab insurgents who are accused of the kidnapping of two humanitarian aid workers from Spain.
75 Al-Shabab Insurgents Killed by Kenyan Forces in Lower Juba
Its good what Kenyans are doing. But first they should seek an advice from Tanzania(the most strongert Army hn east Africa and the 9 strongest army in Africa as per wikipedia). Tanzania army knows and are exparts in how to invade an enemy in different country. Msiende kichwakichwa mazee...mtafanywa kama wale wa Black Hawk Dawn...
You are entitled to your own opinions. I may sound nuts, but I once again stand by my statement based on the economic facts: If Kenya goes down, so does Tanzania, Uganda and the rest of EAC.
Thanks and be blessed!!
mkambodia, your source is highly bogus. In fact if you read the comment posted by the owner of the video it reads like this:Its good to support your assertions with evidence!