Usisahau kwamba kuna wakenya wengi wenye asili ya kisomali. Ni vigumu kujua mamluki.tatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban
Ajabu ni kuwa hili shambulio limetokea siku ile ile Ubalozi wa Marekani ilipotoa onyo na kusema ina taarifa ya shambulio linalonukia.
Ukiacha huo unaoitwa udini ambao mimi siuelewe vyema,tuje kwenye ubinadamu tu.Ndio kweli wewe na Smata akili zenu zimedumaa kiasi hiki mpaka munashindwa kuhoji vitu vya wazi.Munaogopa kuuliza ubalozi wa Marekani uliotoa onyo la Shambulio.Ami, udini utakumaliza yakhee!....unajizungusha kwa maneno hapo juu kumbe unalako kichwani.
Hivi wewe unaona raha gani kuona hawa Al-shabaab wakiua kila siku? tena wanaowaua ni waislaam wenzao!.
Unaacha kuwasema wauwaji,badala yake unawasema ubalozi wa marekani...sic!
Jeshi la Kenya ndilo jioga la mwisho.Haliwezi kupigana lenyewe mpaka lipate msaada wa nchi kadhaa litumwe kutoka nje.Kenyan troops will never be cowed by a grenade attack in Nairobi that left 14 injured.the gsu recce company will be providing security there while kenya army plan to take over kismayo in a major ground battle ever.lets wait and see coz am sure that leader of alshabab wil either be killed or captured.they hv nowhere to run cz we are attacking them from two fronts.we hv sent aproximately 4000 troops to somalia.both entered from diferent fronts while the navy is going to kismayo also fitted with heavy weaponry and with orders to bring down any boat with militias.no escaping this tym round.the air is manned by the KAF with orders to bomb any suspicious flying object.
tatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban
Ukiacha huo unaoitwa udini ambao mimi siuelewe vyema,tuje kwenye ubinadamu
hivi ninyi mnazijua "false flag" operations za wamarekani au mnazisikia?- wamarekani hawachelewi kufanya ishu halafu wakawasingizia kikundi fulani ili baadae malengo yao ya imperialism yatimie- WAKEUP GUYS!
Basi udini ndo huu mkuu AMI: Ni ugonjwa unaomfanya mtu aone baya kuwa ni zuri kisa tu ubaya huo umefanywa na mtu wa Dini yake and viceversa. Ni upungufu wa maarifa unaomfanya mtu aone kuwa anayeamini kama yeye ndiye anafaa kuwa kiongozi tu. Ni ujinga wakudhani kuwa yeye anayo haki ya kuamini yale aliyosimuliwa, iwe kwa kitabu au vinginevyo lakini mwingine hatakiwi kuamini yale aliyosimuliwa tofauti na yake. Wengine mnaweza kusaidia
Ngoja nikusaidie maana umesahau:Ukiacha huo unaoitwa udini ambao mimi siuelewe vyema,tuje kwenye ubinadamu
.Udini ni kuchukia dini nyengine isiyokuwa ukatoliki na ulokole kuongoza eneo lolote duniani kuanzia Iraq,Yemen mpaka Mogadishu.
.Udini ni tabia ya kusema uongo kusingizia waislamu kitu ambacho hawajatenda ili ipatikane sababu ya kuwapiga na kuwaua.
.Udini ni uchoyo wa kutopenda watu wengine watawale nyenzo za kiuchumi za maeneo yao na kulazimisha kuyapora halafu kugawa kidogo kwa wenyeji.
.Udini ni kupeleka jeshi lenye biblia na misalaba kupigana na watu wenye kuvaa vilemba na wanaofuga ndevu hata wakiwa rangi moja na yako.
.Udini ni kitu kibaya kinachoendelezwa kwa faida ya mabeberu na ambacho kitaifanya dunia iingie kwenye machafuko.
Jibu rahisi ni kutowaingilia Wasomali kule kwao. Alijaribu Clinton yakamshinda akachomoa. Bush aliwafadhili Waethopia, walikiona cha moto wakachomoa. Sasa Waganda na Wakenya. Haya sie yetu macho na masikio.Ingekuwa vema kama nchi zote zilizo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wangeungana na Kenya kuwasaka haw Al-Shaabab. Pia nahisi beneficiaricies wa hawa pirates wako nje ya Somalia. Kwa hiyo kama ni kupambana Al-Shaabab na pirates East Afican leaders wanatakiwa waangalie links kwenye nchi zao.
Jibu rahisi ni kutowaingilia Wasomali kule kwao. Alijaribu Clinton yakamshinda akachomoa. Bush aliwafadhili Waethopia, walikiona cha moto wakachomoa. Sasa Waganda na Wakenya. Haya sie yetu macho na masikio.