FuturePresident
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 321
- 56
Yes waambie Wakenya wazidi kukomaa....maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge....kumbuka Uganda ipo leo shwari baada ya Watanzania kujito...na kukubali yote!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau...hali c hali huku.......
Baada ya Kenya kuzindu Operation ya "LINDA NCHI" inayolenga kuwadhibiti Al Shabab kutoingia Kenya na Kuondoa utekaji nyara wa watalii huko mombasa na u-pirate pia,hali imekuwa c hali....mpaka jana milipuko mitatu imetokea ndan ya nrb,maeneo ya OTC na Mfangano Street,yote ikisemekana ni kazi za AL-Shabab.
Ktk milipuko yote hiyo,amefariki mtu mmoja na majeruhi ni zaidi ya 24.
Sidhani kama tuko salama kwakweli.................................
Cha msingi na sisi tujihadhari na Al-Shaabab wasije wakatuletea matatizo pengine watakapochagua kukimbilia huku Dar es Salaam mara baada ya kutambua kuwa huko Mombassa, Nairobi, Kampala, Mogadishu na Kismayu si maeneo salama tena kwao.
[h=3]Somali President Warns Against Kenya RaidLete ushahidi basi!Believe me, these forums have got US fundings and there are several of their agents in.One of them is this Askari.They are bent to inflame the fighting in the region...
Lete ushahidi basi!
Nadhani hapa Ami atakuwa amekurupuka, kama kawaida yake!Mie binafsi sina wasiwasi na Askari Kanzu!
But if u convince me with evidence then will appreciate..

I don't concur with the assertions that the Kenyan army acted impetuously in their decision to attack El-Shabaab thugs deep inside their "Safe heaven" as they had no option apart from the one they opted.The mindless Kenyan leaders will unwittingly subject their state to needless Al-Shabaabs retaliation assaults. It was rather an impetuous decision to invade Somalia and launch those attacks against the insurgents in order to wipe them out.
I just came to understand that Kenya has very little military experience when it comes to inter-state battles and has never had involved in any of such fightings before. So despite being provoked, they should re-think on their current campaign in Somalia before things turn even worse against them.