Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

Yes waambie Wakenya wazidi kukomaa....maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge....kumbuka Uganda ipo leo shwari baada ya Watanzania kujito...na kukubali yote!!!!
 
hapo ndo utamkubali mwalimu, aliliona hilo kwa ug na mapema tu tukamng'oa amini ili tuwe na amani. hapo hamna namna zaidi ya kuingia vitani kuwang'oa hao a-lshabab. or else jirani zetu hawataishi kwa amani tena.
 
Hapo wazungu wanafurahia tu! Bahati mbaya Somalia hakuna mafuta wala madini
 
Wadau...hali c hali huku.......
Baada ya Kenya kuzindu Operation ya "LINDA NCHI" inayolenga kuwadhibiti Al Shabab kutoingia Kenya na Kuondoa utekaji nyara wa watalii huko mombasa na u-pirate pia,hali imekuwa c hali....mpaka jana milipuko mitatu imetokea ndan ya nrb,maeneo ya OTC na Mfangano Street,yote ikisemekana ni kazi za AL-Shabab.

Ktk milipuko yote hiyo,amefariki mtu mmoja na majeruhi ni zaidi ya 24.
Sidhani kama tuko salama kwakweli.................................

Kama umeshasikia neno 'kuvaa mkenge' ndio kile ambacho kimewatokea Kenya. Walitakiwa wafikiri sana kabla ya kuvaana na Somalia. Possibly wangebadlisha baadi ya sheria zao za uhamiaje na mengineyo.

Wasomali wako wengi wengi sana Kenya na ndio ambao kwa makadirio wanashikilia uchumi wa Kenya kwahiyo influence yao ndani ya Kenya ni kubwa na inaweza kuidrug Kenya ktk vita ya muda mrefu na ikaathiri hata kukua kwa uchumi wa wao kwa miaka kadhaa.

Ni vizuri Kenya wakafikiria msimamo wao upya kama wanatumiwa. Ilikua ni kosa kubwa sana Kenya kuwaachia wasomali kua wengi possibly Tanzania inaweza ikaingia ktk same situation kama hawatakua makini.
 
Cha msingi na sisi tujihadhari na Al-Shaabab wasije wakatuletea matatizo pengine watakapochagua kukimbilia huku Dar es Salaam mara baada ya kutambua kuwa huko Mombassa, Nairobi, Kampala, Mogadishu na Kismayu si maeneo salama tena kwao.
 
Cha msingi na sisi tujihadhari na Al-Shaabab wasije wakatuletea matatizo pengine watakapochagua kukimbilia huku Dar es Salaam mara baada ya kutambua kuwa huko Mombassa, Nairobi, Kampala, Mogadishu na Kismayu si maeneo salama tena kwao.

Hawawezi kuja Dar...
Wataenda Tabora
 
[h=2][/h]
Kutokana na ukweli kwamba ni Tanzania pekee ambapo Al-Shaabab hawajawahi kusababisha madhara yoyote kwa jamii yetu zaidi tu ya ripoti za hapa na pale kwamba baadhi yetu waliwaona fursa nzuri ya kuwakodisha kuondoa roho za wengine, hali hii pekee ya kuwa na amani peke yake kunatufanya tusiwe salama sana na ujio wa 'wageni' hawa kwa wingi au waliopo miongoni mwetu kugoma kutupisha kwa jinsi wanavyo sakwa hivi sasa juani na gizani.

Cha msingi na sisi tujihadhari na Al-Shaabab wasije wakatuletea matatizo pengine watakapochagua kukimbilia huku Dar es Salaam mara baada ya kutambua kuwa huko Mombassa, Nairobi, Kampala, Mogadishu na Kismayu si maeneo salama tena kwao.
 
October 24, 2011[h=2]Grenade Attacks Rock Downtown Nairobi After Al-Shabab Warning[/h] Gabe Joselow | Nairobi
  • icon-email.gif
  • icon-printer.gif
  • https://www.jamiiforums.com/#

reuters_nairbobi_kenya_explosion_480_24oct2011.jpg
Photo: REUTERS
Policemen secure the scene of a deadly grenade explosion in Kenya's capital, Nairobi, October 24, 2011.


Kenyan officials said Monday that one person has been killed and at least eight others wounded in a second suspected grenade attack in downtown Nairobi in 24 hours. The attacks follow recent threats against Kenya from the Somali militant group al-Shabab, but police have not yet named any suspects in the attacks.

The attack Monday night was near a crowded bus terminal in downtown Nairobi. The area is full of small businesses and often is packed with people traveling in and out of the Kenyan capital.

A witness described the attack through a translator. "He says he was standing here and then a small vehicle passed by, and then there was a loud bang. He thought it was a tire burst but, unfortunately, it was a bomb, a hand grenade," he said.

Another witness said it appeared that the attacker tried to lob a grenade into a bus window but missed, and the explosion struck those standing on the street nearby.

The bus terminal is not far from the scene of another attack on Sunday night that injured 13 people at a working class bar. No suspects have been identified.

The al-Qaida-linked militant group al-Shabab has threatened to strike Nairobi as Kenyan troops push into Somalia in pursuit of the group's fighters, who have been blamed for recent cross-border kidnappings.

Nairobi Provincial Commissioner Njoroge Ndirangu, on the scene of Monday's attack, said it is too soon to attribute the violence to al-Shabab. "You have heard there have been various and several threats from all areas. For now, we are saying it's criminal. It doesn't matter which group. But exploding a device on innocent people is a crime and that crime will be dealt with when we establish who was behind it," he said.

Kenyan police have urged the public to remain vigilante and to report suspicious activity.

The U.S. embassy in Nairobi had issued an alert on Saturday, warning of "an imminent threat of terrorist attacks" aimed at Kenyan targets, including nightclubs and places where foreigners gather.


[h=4]Related Articles[/h]
 
Believe me, these forums have got US fundings and there are several of their agents in.One of them is this Askari.They are bent to inflame the fighting in the region...
Lete ushahidi basi!
 
Rais wa somalia bwana sharif hataki wanajeshi wa kenya kuendeleza oparasheni za kuwasaka al shaabab nchini mwake.anasema alichoomba yeye ni mafunzo kutoka kwa jeshi la kenya.
 
Hapo chini ni mauaji ya kutisha yaliofanywa na Al-Shabaab siku chache zilizopita dhidi ya sehemu ya vikosi vya serikali dhaifu ya mjini Mogadishu (pengine kutokana na ukweli kwamba serikali hiyo imeonyesha kukumbatia majeshi ya nje ya taifa hilo linaloongozwa tu na wababe wa koo mbalimbali kwa misingi isiyo halali) na kwa ujanja wao na pengine kutokana na propaganda za kivita, wakaamua kuwaanika utumbo nje wakidai kwamba ni mafanikio yao dhidi ya jeshi la pamoja la Umoja wa Nchi Huru za Afrika.

Japo kwa uchache tu,
watu tuyafahamu mabaya kundi hili la Al-Shabaab tunalolisikia sana hivi sasa wakisakamwa kote Afrika Mashariki na Kaskazini ambapo hadi sasa mataifa kama vile (1) Ethiopia, (2) Kenya, (3) Uganda, (4) Serikali ya Mpito ya Somalia, (5) Serikali ya Somaliland (Hoteli Tansoma / Hoteli Tanzania-Somali) na (4) Rwanda ni miongoni mwa mataifa yalioko mstari wa mbele hivi sasa kupatia suluhisho la kudumu changamoto zao:

800_ap_fake_bodies_somalia_111021.jpg


Al-Shabab militants display the bodies of dozens of men they claimed were African Union (AU) peacekeepers, in Elasha Biya, 20km from Mogadishu, in Somalia Thursday, Oct. 20, 2011. (AP Photo)

SOURCE: http://www.ctv.ca/CTVNews/World/20111021/somali-fighting-insurgents-111021/

 
Somalia: Heavy fighting erupts between troops and militants

Updated 10/10/2011 8:27 AM

MOGADISHU, Somalia (AP) – Heavy fighting broke out in Somalia's capital on Monday after pro-government forces attacked militant positions following what the African Union force said were the deaths of at least 12 Somali civilians because of militants' mortars.


  • By Farah Abdi Warsameh, AP
    African Union peacekeeping forces run to take up positions during clashes with Islamist militants in Mogadishu.
By Farah Abdi Warsameh, AP
African Union peacekeeping forces run to take up positions during clashes with Islamist militants in Mogadishu.

Residents in Mogadishu's northern neighborhoods fled explosions and gunfire as African Union and Somali troops made a push toward positions held by al-Shabab militants.

Al-Shabab fled Mogadishu in August in what its leaders said was a tactical pullout. But the militant group returned in a big way last week, setting off a truck bomb that killed more than 100 people as students tried to learn if they had won a scholarship to attend school in Turkey.

The African Union force on Monday said the latest military battle was launched to push militants back from a range where their mortars can hit civilians. Spokesman Lt. Col. Paddy Ankunda said 12 civilians were killed Sunday from such attacks.

The force commander, Maj. Gen. Fred Mugisha, said that a "small number" of al-Shabab militants remain a threat in northern Mogadishu.
Al-Shabab "will be judged harshly for the lives they take and the atrocities they commit. We need the support of all peace-loving Somalis to help us restore peace and stability to the city," Mugisha said.

Ali Haji, a Mogadishu resident, said he saw Somali soldiers stationed near the fighting. He said residents were fleeing. Thousands of Somalis on Sunday poured into the city's sports stadium to protest last Tuesday's vicious truck bombing by the al-Qaida-linked al-Shabab. The Somali president, Sheik Sharif Sheik Ahmed, spoke at the rally, calling al-Shabab "religious thugs."

"We have to retaliate against them for burning our people to death. Somalis fought colonialists before and al-Shabab is a new colonialist," the president said to loud applause.

Under tight security, the protesters waved Somalia's blue flag as the national anthem pulsated through the stadium. Al-Shabab, mimicking the Taliban regime of Afghanistan in the 1990s, has forbidden music in areas under its control.

"They are not Muslims. They are misinterpreting the religion and have made our blood their business!" said Zaynab Ali, a protester. "They don't even spare students. We need no more patience, but to kill and fight them. Down with al-Shabab!"

Last week's attack was not the first time the insurgents targeted students seeking an education that could better the country. In December 2009 a suicide bomber attacked a graduation ceremony for medical students in Mogadishu. The area struck by Tuesday's truck bomb was near several government ministries, including the Ministry of Education.

"They killed our students to prevent them from being educated and serving their country," said Mohamed Ahmed Nor, Mogadishu's mayor. "We are not deterred by their terror acts, and our young men will continue to learn and still go abroad to learn."

The attacks and battles with al-Shabab come as the Horn of Africa nation continues to suffer through its worst drought in 60 years. Tens of thousands of Somalis have already perished. The U.N. says more than 750,000 are at risk of starvation in the next several months.

SOURCE: Somalia: Heavy fighting erupts between troops and militants
 
[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD]
nhcap241011_02.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Somalia's Transitional Federal Government forces patrol the street of Kokani as they await orders to advance to Kismayu - an Al-Shabaab stronghold. [PHOTO: MAXWELL AGWANDA/STANDARD]




[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Somali President criticised for anti-Kenya comments

REUTERS | 25 October, 2011 13:20
000_Par2911548.jpg

Somali president Sheikh Sharif Ahmed. File photo.
Image by: AFP PHOTO / YASUYOSHI CHIBA


Somali President Sheikh Sharif Ahmed came under fire on Tuesday for casting doubt on the government's support for a Kenyan incursion into the south of the Horn of Africa nation to take on Islamist rebels.

Ahmed said on Monday the Somali government was not happy with the deployment of Kenyan soldiers across the border because the incursion went beyond an initial agreement for logistical support for Somali soldiers.

Kenya sent thousands of troops and heavy weapons into Somalia 10 days ago in a campaign to push Somalia's al Qaeda-linked al Shabaab rebels away from the border, following a series of kidnappings by Somali gunmen on Kenyan soil.

Kenyan soldiers have advanced on several fronts along with Somali troops and allied militias but there has yet to be a serious showdown with al Shabaab. The first major confrontation is expected to be in the strategic transit town of Afmadow.

In the Somali town of Dhobley near the border with Kenya, hundreds of demonstrators took to the streets on Tuesday waving Kenyan and Somali flags and burning pictures of the president.


"We want Kenya and Somalia to fight al Shabaab in every corner. We do not have any other hope for life," Gedi Farah, an elder from the Dhobley area, told Reuters by phone.

"Kenya, do not believe the words of our weak, mad president. Please fight al Shabaab and go deep into Somalia. We want to return to our homes," he said.

Somali military officials and a spokesman for the pro-government Ras Kamboni militia urged the demonstrators to calm down, saying the president's remarks were not in line with the Somali government's position.

"The Somali government does not support al Shabaab. It is only the president and that will be solved," said Colonel Yasin Warfa, a government military official.


Times Live
 
[h=1]Dikteta Siad Barre, Tangu angolewe madarakani mwaka wa1991, taifa Somalia halijawahi kufahamu neno AMANI wala utawala rasmi wa nchi nzima hata kwa kipindi kimoja.[/h]
0,,3078159_4,00.jpg

Siad Barre followed an authoritarian socialist rule




[TD="class: lead_title, colspan: 2"][h=4] [/h]

[/TD]

[TD="colspan: 2"] [/TD]

[TD="colspan: 2"]
Kampala%20---%20Idi%20Amin,%20Mobutu,%20Said%20Barre%20at%20the%20opening%20of%20the%20OAU%20summit,%20July%2028,%201975.%20Photograph%20by%20Camerapix-20091124-080835.png
President Idi Amin (left) converses with Mobutu Sese Seko and Somalia's Siad Barre (middle) at the opening of the OAU summit in Kampala, July 28, 1975.
[/TD]

SOURCE: The Uganda Record: FRONASA's role in Ben Kiwanuka’s murder.
 
The mindless Kenyan leaders will unwittingly subject their state to needless Al-Shabaabs retaliation assaults. It was rather an impetuous decision to invade Somalia and launch those attacks against the insurgents in order to wipe them out.

I just came to understand that Kenya has very little military experience when it comes to inter-state battles and has never had involved in any of such fightings before. So despite being provoked, they should re-think on their current campaign in Somalia before things turn even worse against them.
I don't concur with the assertions that the Kenyan army acted impetuously in their decision to attack El-Shabaab thugs deep inside their "Safe heaven" as they had no option apart from the one they opted.
The Army and the government of Kenya anticipated beforehand such possibility of sporadic terrorist attacks from the group and were well prepared for them. One of the principles of war is to attack the enemy in depth and Kenya has just done that. As a a person with a background in military tactics I fully support the gallantry and brave action by the progressive Kenyan forces and I predict victory to them.
To say that the Kenyan Army has no or very little experience when it comes to inter state battles amounts to sheer absurdity for two reasons; one is that the Kenyan Army is not fighting any state in Somalia but a group of organized bandits and the state of Somalia that is also fighting them, and secondly Kenya as the national army has an upper hand against those thugs as they have only one front to fight, that is Al - Shabaab against their enemies who have several fronts to combat. The Al -Sahaab have the AU Army in one front, the Somalian Army in another and the determined and dedicated Kenyan Army in the Kenyan front.
My advice to Kenya authorities is that they must clamp groups that utter or show sympathy to these criminals as their country is now in the state of war. Their National assembly will do their country better if they will pass laws to discourage people and groups that overtly or covertly support their country's enemy - The El Shabaab thugs.
 
Back
Top Bottom