Bure kabisa, kwani wazayoni walimtuma kuvamia nchi ya watu?
By BERNARDINE MUTANU mutanu06@yahoo.com
Posted Tuesday, November 15 2011 at 19:21
The Ministry of Justice has decried the blanket condemnation of some Kenyans as sympathisers of Al-Shabaab militia.
He said by the fact that people are either Muslims or Somalis, it does not mean that they belong to Al-Shabaab. "Anybody can be Al-Shabaab, we have people like Ndung'u, Mwangi, Wanyonyi and Bwire.
"Some sections of Kenyans feel that a certain religion is being subjected to uncomfortable situations, they think that it is Somalis involved in these activities, which is not the case," he said in Nyeri during a public forum on the policy.
He implored on the government to ensure that the operation in Eastleigh, Nairobi, does not target people from a specific ethnic group.
"People who are closing their businesses in Eastleigh for fear of being attacked on suspicion they could be members of the group should not do so because up to now there is no one who has been threatened.
The government is interested in Al-Shabaab adherents and not Somalis or anyone doing genuine business," he said.
Read more: Source Drop unfair Somalia labels, warns team*- News*|nation.co.ke
Nelson mandela pia ni myahudi!Vita Si Lelemama Wawaache Wasomalia Wapiganie Nchi Yao al-shaaba ndio Peoples Power kama Hamjui wanapata support kubwa sna ndani ya somalia ila kuna mambo fulan fulan ndio wamekosea na pia nchi yenyewe ina njaa so hawathaminiwi na watu wa nje.
Kenya Mnali hilo mmelivaa Vita ya kupigana na watu wasiovaa Combat ni ngumu so wameona Obama kateseka na hali yake mbaya kasababisha hadi Peoples Power imeshaanza kujitokeza New York Hawaii na inaendelea States zinataka kujitenga au madai yao yatimizwe..
Bado kwetu Lowassa Keshaona Kikwete kafumba Macho na masikio kaziba Tutamhukumu Hata Gadaffi alijidai mwisho wakamsodoma.
Israel hawezi kujiingiza Somalia ndio kamuambia Odinga atamsapoti kwa kumpa mbinu za kulinda mipaka..
Israel yenyewe ipo roho juu juu sababu ya Iran na yupo Mbioni kumlipua ili apumue Huyu Amhadinejad Asili yake ni Myahudi lakini anawanyima Usingizi wayahudi wenzake
By [B said:Zawadi Ngoda[/B]
Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.
Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.
...sio kuja hapa na kuweka data za uwongo,hivi wewe unaijua $480 billion au unaongea tuu?hata vita ya Iraq na wanajeshi zaidi ya laki moja,warships,hundrelds of jet fighters,tankers etc na almost ten yrs hawakutumia hiyo pesa au ni close...sasa leo vita ya less than 6 month na ndege tuu bila wanajeshi unataka kutuambia ni $480billion...ACHENI UWONGO!
Ninyi watanzania munajoto hata kuliko jua ya ziwa magadi nchini Kenya. Wengi wenu mnao zungumza hamna hata experience ya vita wala hamjaona wala hata kuwa katike vita. tuanze na facts hakuna jinsi vita inashindwa na fedha bali ni tacts. serikali ya mpito ya somalia imeshindwa na walishindwa na kero la alsahaabab na ICU tangu 1993. wale waamerika ambao watanzania mnaoabudu pamoja na mandugu zao kutoka canada na kutoka ethiopia walishindwa kuwa himidi wanamgambo hawa, basi ebu tukome kupiga domo na muone au mujifunze jinsi ambavyo alsabaab wananyamazishwa kwa msimu huu wa 'OLN'
You and your UG war-warmongering brothers jueni kwamba Kenya haiombi msaada wa wanajeshi waje bali ni support ya international community kutoka Isreal na maitaifa ya jumuia ya mataifa UN ilitusije tukalaumiwe baadaye. Military cooperation ni kitu cha kawaida sababu its for the long term benefit. Kwenye vita vya dunia ya pili kulikuwa na cooperation ambayo iliitwa NATO kundi hili linaendelea kuexist na iliwajibika kumwondoa Hitler na makafara wake barani Uropa all because of military cooperation. Lakini kwa sababu watu hawakuwi objective katika hizi forums ndiposa naona this is just a waste of time. mambo ya kulinganisha KDF UPDF na wengine ni bure. referencing CIA world factbooks on military statistics si kitu chema because countries huwa na military budgets kila mwaka CIA factbooks do not have updated websites on africa military budgets. Ikiwa unataka real-time figure on kenyan military budgets and acquisations, tazama mtandao huu
http://www.armyrecognition.com/kenya_kenyan_army_land_ground_forces_uk/kenya_kenyan_army_land_ground_armed_defense_forces_military_equipment_armored_vehicles_intelligence_.html
Ni kitu cha kawaida kuwa na military cooperation kama vile tanzania wanavyopewa msaada na Ujerumani katika mambo mengi kama kuchimba mabwawa ya maji na hata ujenzi wa kiliniki za afya hapa na pale. Tena kumbuka ni Kitu ambacho ni cha kawaida jeshi la tanzania hukopa vyombo vya kivita za second hand kama mashua, magari, na hata sare za jeshi na AK47's kutoka ugerumani. There is much hype of kenya being "untested" sawa hatujakata lakini watanzania kitu ningewasihi musitamani vita hata hata siku moja na nchi yeyote. Hivi karibuni, jeshi la tanzania watatumika na US kuwaondoa wale LRA kutoka congo ambao wanasumbua Uganda usiku na mchana maana wale sio jihadist hawajilipui ovyo ovyo kwa hivyo hiyo itakuwa rahisi kwenu. Hivyo basi hakuna amani ila kwa upanga
Spokesman for al-Shabab militant group says Kenyan PM recently visited Israel to seek aid in 'destroying Muslim people and their religion.'
By The Associated Press
A spokesman for the Somali militant group al-Shabab said that Kenya's prime minister recently visited Israel to seek assistance in "destroying Muslim people and their religion."
Sheik Ali Mohamud Rage on Tuesday also warned Kenya that it still has a chance to withdraw its forces from neighboring Somalia because "things have not begun in earnest," a likely reference to threats to carry out terror attacks in Nairobi, Kenya's capital.
The office of Kenya's prime minister said Monday that Kenya received the backing of Israeli leaders to help Kenya fight what it called "fundamentalist elements." Kenyan Prime Minster Raila Odinga visited Israel Sunday and Monday and sought help building the capacity of his country's security forces.
Kenyan troops last month moved into Somalia to fight al-Shabab militants who in turn promised reprisal terror attacks in Nairobi.
"We tell Kenya that things have not began in earnest yet and it is now a month on. You still have a chance to go back to your border," Rage said.
Kenya said in a statement that President Shimon Peres and Prime Minister Benjamin Netanyahu promised the East African nation help in securing its borders with Somalia.
A statement from the Odinga's office said Netanyahu promised to help build "a coalition against fundamentalism," bringing together the countries Kenya, Ethiopia, South Sudan and Tanzania. Kenya said that Peres said Israel was ready to make "everything available to Kenya" for internal security.
The Israeli government did not confirm any of statements made by Odinga's office. Israel said the meetings were a continuation of the deepening of Israel's relations with African countries.
Israeli security forces are among the best in the world in dealing with terror threats, making it logical for Kenya to seek security assistance. But al-Shabab could view Kenya's request as a provocation.
In 2002 militants bombed an Israeli-owned luxury hotel on Kenya's coast near the city of Mombasa, killing 13 people. The militants also tried to shoot down an Israeli airliner at the same time.
- Huyo Rage hapo kwenye red ni ndugu yake yule wa Tabora nini maana hawa jamaa koo zao huwa ni moja.
- Hapo kwenye Blue Mkuu wa kaya mbona huwa hatuambii kama huwa tunaombewa misaada Israel?
Somali militant blasts Israel-Kenya ties - Haaretz Daily Newspaper | Israel News
Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.
Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.
Wajinga ndio waliwao![/QUOTE
Zawadi ngoda wacha matusi wewe!! Waziri Mkuu Wa Kenya Raila Odinga yuko Israel kwa mkutano wa kibiashara na kuhiharifu serekali ya Israel jinsi kenya inavyoendelea na shughuli za kuleta amani na kuunda serekali ya kudumu Somalia,pia Kenya inatafuta kuungwa mkono wa kisiasa na nnchi za kiislamu.Hatutafuti msaada wa kivita..hapo tuko sawa vijana wetu wako gangari!!!.
Jambo la kushangaza ni kuwa ingawaje Tanzania ina watu werevu...-nafahamu hivyo kwa sababu nashirikiana na wengi wao kibiashara- Hii forum ime wavutia wapumbavu wengi kama wewe! mbona watutusi eti sisi wajinga ilihali vijana wetu wana sacrifice maisha yao kwa ajili yenu pia na chi zote za upembe wa afrika! raia wa kenya wamejitolea kuhatarisha maisha ya hata kilipuliwa na magurudedi za alshaabab kwa ajili ya usalama wenu pia..wajinga ndio nyinyi......Tuliingia Somalia kwa sababu tuna uwezo wa kupigana na kushinda vita hivyo na hatutoki Somalia hadi tuunde serekali ya kudumu huko....mutaropokwa kwa sababu hamuna akili..na itabidi tuvumilie upumbavu wenu kwa minajili ya usalama wenu pia....shame on you! Kenya si masikini kama nnchi zinazo tuzingira we have the cash because we work very hard..tafadhali tuheshimiane....next time check your notes before you parade your ignorance here!!! gd day
Haha haaa haaa haaaaaa. Hivi nyie mna Nguvu za kijeshi kuliko Ethiopia? Waliingia huko Somali na wameondoka.
Isitoshe hivi ulikuwa hujui kuwa Somali kuna Serikali ya kudumu Tayari? Hivi ni vioja, yaani akikusikia Rais wa Somali utaipata.
Ndugu yangu leo sina kiswahili mrefu, maana mpaka hamjabomoa zile Slams NA kujenga nyumba za kudumu bado ni vigumu kunishawishi kuwa KENYA NI NCHI TAJIRI. Hapa sijazungumzia zile flying toilets!
Poleni, mwaka huu mmeipata. Umoja wa Ulaya umeshawaonya Raia wake kutotembelea Kenya. Nchi inayotegemea watalii kwa pato lake, sijui mtakula ni nini.
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Utawala wa Kizayuni kuisaidia Kenya katika mashambulizi yake Somalia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]Viongozi wa Kenya wamesema kuwa, utawala wa Kizayuni umekubali kuisaidia nchi hiyo katika kampeni zake za kijeshi za kukabiliana na wanamgambo wa ash Shabab nchini Somalia.
Hayo yamekuja baada ya Raila Odinga, Waziri Mkuu wa Kenya kutembelea Tel Aviv na kuwaomba viongozi wa utawala wa Kizayuni waisaidie nchi yake katika kampeni hizo.
Wakati huo huo wanamgambo wa ash Shabab wamesema kuwa, wapiganaji wake wamefanikiwa kuua wanajeshi 27 wa Kenya na kuteketeza gari la kijeshi la nchi hiyo lililokuwa na silaha.
Kenya iliivamia kijeshi Somalia mwezi uliopita kwa ajili ya kupambana na wanamgambo wa ash Shabab na kusisitiza kuwa itaendelea na mashambulizi yake hayo hadi itakapohakikisha kuwa, mipaka ya Kenya iko salama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
My friend please stop war mongering here.can you give us the sources for 27 deaths of KDF officers?About the zionist regime helping us you are again misleading us because their help is in terms of training the kenyan police to enable them prevent terrorism before it happens instead of following the suspects after the attack.Be informed that we normally buy parts of our military hardware from israel and this was no more than a bargain.lastly we need more world support.