Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
hahahahahaha..................................na huu ni mwanzo wa ile hadithi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa nini hapo Toyo?Israel+U.A.E=?
Unashangaa nini hapo Toyo?
Kumbuka UAE na USA ni rafiki...
Israel+U.A.E=?
The UAE is one of the very few Arab countries that Israelis can visit and do business, recognition of Israel has always been conditional on Israel solving the Palestinian issue. The UAE,Oman,Bahrain,Kuwait and Saudia have even gone further that they are willing to invest heavily in Israel and Palestine once they resolve their 60year plus conflict.Good question!!
The thing is thatthe United Arab Emirates does not recognize Israel as a state, and the two countries do not have diplomatic relations.
Follow it here: Israel
U.A.E = U.S.A and U.S.A = ISRAEL! Then it will be: Kenya U U.A.E U U.S.A U Israel! Equation balanced.
Kenya naona wameamuwa kabisa...Hivyo Somalia ikifanikiwa watachukua credit.
Naona wako kwenye process ya ku full occupy Somalia?
Kenya ina wasomali wengi sana na kama wakiwatumia vizuri,basi wanaweza kuplay part kubwa sana kwenye ukombozi wa Taifa lao hence go back there for rebuilding.
Nadhani efforts hizi za Kenya ni za kuungwa mkono provided wako honest kwenye kutatua mgogoro huo.
This whole expedition including Uganda/Burundi's involvement is paid for fully by the US,EU, & Arab league.Hivi Kenya wamekwenda kwa utashi wao tu na si kwa msukumo wa mshiko wa CIA??
Somalia walishindwa Wamerekani wataweza wa Kenya, wewe subiri tu uone. Kumbuka kitu kimoja kuhusu Somalia na hicho hakina ufumbuzi mpaka leo, wapigane wao kwa wao, hakuna tatizo, lakini mtu wa nje anapokuja kupigana na mmoja wao, wao huacha kupigana na wanakuwa kitu kimoja, wote watamshambulia aliyeingilia, wakimalizana na huyo aliyeingilia, wanaanza tena vita vyao vya kikabila.
Somalia ni moto wa kuotea mbali.
Mi nakwambia Kenya haikupaswa kuingia vitani na Somalia,ni kosa ambalo litaidhoofisha Kenya yenyewe na wala sio kudhoofisha waislamu wa Somalia.
Vita yenyewe ilikwishakupigiwa kelele kwamba si halali kisheria za nchi.Ilikuwa ni kukurupuka tu kwa mkuu wa majeshi na wapambe wake.Sasa tena waziri Raila naye kakurupuka kivyake bila kushauriana na waziri wa ulinzi na bila kupata kibali cha kuomba msaada kwa taifa ambalo vita ndio uhai wake.Sifichi hii ni hukumu ya uchokozi wao kwa Somalia.
Somalia walishindwa Wamerekani wataweza wa Kenya, wewe subiri tu uone. Kumbuka kitu kimoja kuhusu Somalia na hicho hakina ufumbuzi mpaka leo, wapigane wao kwa wao, hakuna tatizo, lakini mtu wa nje anapokuja kupigana na mmoja wao, wao huacha kupigana na wanakuwa kitu kimoja, wote watamshambulia aliyeingilia, wakimalizana na huyo aliyeingilia, wanaanza tena vita vyao vya kikabila.
Somalia ni moto wa kuotea mbali.
hahahahahaha..................................na huu ni mwanzo wa ile hadithi!
Wewe mwenyewe unayo .......:eyebrows:..... bahati mbaya hujijui !!!Somalia wamelaaniwa ni kuwaombea tu hiyo laana iishe