Matatizo mengine ni ya kujitakia tu, hata kama hao wazungu wametekwa hivi wakenya wenyewe hawawezi kuwateka hao wazungu mpaka wawasingizie al shabaab? Nairobi na ujambazi ule wote jamani. Mtu unashuka airport jamaa anakushikia mfuko wa kinyesi live anataka fedha ukikataa anakobonda na kinyesi, jamani wale ni alshaabab???
Ningeshawishika kama alshaabab wangelipua kenya na ku kukubali kutekekeleza tendo hilo. Haya mengine matatizo ni ya kujitakia jamani, watu kenya wanakufa na njaa harafu nyie mnatumia mifedha mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Aiss Waafrika tutaacha ujinga lini?
Wewe mzungu? Hata sijaelewa hapa unashabikia kitu gani maana suala la kinyesi airport na ugaidi unaofanywa na al-shabab havihusiani! Pia ukiandika uwe na hakika maana airport ya kenya siyo Manzese wala Kibera wala Kambi ya fisi. Nina shaka nawe kama unaifahamu Kenyatta Airport iliko! Umeshazoea hii ambayo hadi Twiga wanaibiwa na kusafirishwa bila kuonekana pamoja na ukubwa wote wa twiga.
Poa lakini una haki ya kuweka chochote hapa! Tatizo ni watakaosoma cjui wanakuelewaje

