Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

Matatizo mengine ni ya kujitakia tu, hata kama hao wazungu wametekwa hivi wakenya wenyewe hawawezi kuwateka hao wazungu mpaka wawasingizie al shabaab? Nairobi na ujambazi ule wote jamani. Mtu unashuka airport jamaa anakushikia mfuko wa kinyesi live anataka fedha ukikataa anakobonda na kinyesi, jamani wale ni alshaabab???

Ningeshawishika kama alshaabab wangelipua kenya na ku kukubali kutekekeleza tendo hilo. Haya mengine matatizo ni ya kujitakia jamani, watu kenya wanakufa na njaa harafu nyie mnatumia mifedha mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Aiss Waafrika tutaacha ujinga lini?

Wewe mzungu? Hata sijaelewa hapa unashabikia kitu gani maana suala la kinyesi airport na ugaidi unaofanywa na al-shabab havihusiani! Pia ukiandika uwe na hakika maana airport ya kenya siyo Manzese wala Kibera wala Kambi ya fisi. Nina shaka nawe kama unaifahamu Kenyatta Airport iliko! Umeshazoea hii ambayo hadi Twiga wanaibiwa na kusafirishwa bila kuonekana pamoja na ukubwa wote wa twiga.
Poa lakini una haki ya kuweka chochote hapa! Tatizo ni watakaosoma cjui wanakuelewaje
 
Uliza maswali yako tutajaribu kuyajibu.

Kama ni kujaribu kujibu namshauri asijisumbue kuuliza! Jibu analo tayari. Hapo hakuna swali maana kila kitu kinaeleweka, pia hata lingekuwepo swali? majibu ni ya kujaribu, yaani kubahatisha.
 
Hii ya kupeleka ndege zote hizo na chopa zote hizo,bado vifaru vingi hivyo si tu kwaajili ya Al-shabab, bali ni nafasi ya kenya kushow off power, kuonesha kuwa jeshi lake lina vifaa na nguvu, ni njia ya kutuma ujumbe kwa nchi zingine jirani hususani Uganda ambapo kuna mgogoro baridi wa kisiwa....

Hivi tanzania tuna vifaa vya kisasa kweli..? ooh no nimekumbuka hata mabomu tu hatujaupdate yamesha expire yanatulipukia wenyewe, wakati huo Shimbo anakula mitrilioni tu.

Helcopterer tuliuziwa za kiraia zikapakwa rangi ya jeshi! Maskini Tanzania yetu, ina jeshi makini lakini vifaa wanabaniwa. mungu bariki jeshi letu maana ni wavumilivu sana.
 
Mtajuta kuzaliwa - Al Shabaab wawaonya wakenya
*tutalipuwa vikwangua anga vya Nairobi
*tutatibuwa biashara yenu ya utalii
*tutawaonyesheni tulivyowafanya waganda
*sasa mtaonja uchungu wa shaba (risasi)


Al-Shabaab warns Kenya of reprisals if Somalia deployment continues

Kenya will become the target of fresh terror attacks unless it pulls its troops out of Somalia, Islamist insurgents warned on Monday.
rage_2029273c.jpg

Sheikh Ali Mohamud Rage, centre, al-Shabaab's spokesman Photo: REUTERS

By Mike Pflanz, Nairobi

3:58PM BST 17 Oct 201

Large numbers of Kenyan forces have pushed deep inside Somalia to hunt down al-Shabaab cells said to be behind a series of kidnappings of Westerners in the last month.

Sheikh Ali Mohamud Rage, al-Shabaab's spokesman, warned that his fighters would retaliate against the military mission by hitting targets inside Kenya.

"We say to Kenya: Did you consider the consequences of the invasion? We know fighting more than you and defeated other invaders before,"
Sheikh Rage told reporters in a town south of Mogadishu.

"Your attack to us means your skyscrapers will be destroyed, your tourism will disappear. We shall inflict on you the same damage you inflicted on us. You have to see what happened to the other aggressors, like (Uganda President Yoweri) Museveni and his country when they invaded us. We hit them in their country."

He was referring to twin suicide bomb attacks on football fans watching the World Cup final in pubs in the Ugandan capital last June, which killed 76 people.

Habari kamili


NB: Huyo Sheikh Mohamud Rage hana undugu na Ismail Aden Rage, mbunge wa Tabora mjini na mwenyekiti wa klabu ya Simba
 
Tanzania go and help Kenyans. Finish these mujahidinas. They don't deserve life since they are in harry to go and meet those 72 fictitious Vgs.
 
Tanzania go and help Kenyans. Finish these mujahidinas. They don't deserve life since they are in harry to go and meet those 72 fictitious Vgs.

Sisi matatizo yetu nani anatusaidia? Hao nyang'aus ndio wana-support uharamia kwenye utalii na kupora mali zetu kwa mgongo wa chupa ni makuwadi wa Western countries ambao wanawatumia kama tambala bovu.
 
Mkuu Majoja

Kwa matusi au kejeli sitakuzidi. Hasa kwa mtu ambaye ana siasa laini au wastani.
Lakini kama unataka kujifunza kitu, pitia uzi huu https://www.jamiiforums.com/international-forum/125362-ugaidi-wa-serikali-ya-marekani.html

Humo utakutana na hao wa siasa kali wasiokubali kuwa kondoo wa kasumba na uongo wa US gvt.

Baada ya kuzipitia makala na video za humo ,fanya hiyo sound reasoning yako! Ukibahatika kupata muda rudi na feed back.
Bwana mukubwa, tangu lini kuelezwa ukweli ambao hauupendi imekuwa matusi na kejeli.
Mtu ukienda as far as kusema Dar na Nairobi US Embassy bombings(1998) ni kazi ya Serikali ya Marekani wakati Al Qaeda(Osama ) alikwisha jigamba kwa kazi hiyo basi sijui kundi la kukuweka.
Ndugu zetu , ninyi mmesha kuwa mind controlled kiasi ya kuona kuwa kuua kwa ajili ya imani yako is fair game.
Tatizo mtu akijitetea mmnaona sasa ndio jihad yenyewe, in the meantime watoto wenu na wanawake wanakufa kwa utapiamlo.
Please change
 
Jamani tuwekeni ubinafis pembeni; swala la hawa wahuni wa Al shaabab ni la kibinadamu; tuwaunge mkono majirani zetu katika jitihada zao na katu tusijidanganye kuwa eti halitugusi...................wahenga walituambia kama hujui kufa tazama kaburi
 
sasa raia wanne wa ulaya watasababisha wanajeshi hata mia wa kenya kufa na kisasi cha alshabaab hakiishi maana ni imani. Mi naona kama wanatengeneza bomu tu ambalo litawatafuna kama Hiroshima for the rest of their lives...tena mbaya zaidi wasomali wamejaa kenya, watakua wanajilipua kila kukicha na wanachi wa kenya watakuwa victims...Ingekuwa vema kuwaacha wazungu wadeal nao hao alshabaab wenyewe maana wana resources za kutosha na time ya kuengage kwenye vita...ila kwa kenya... i dont see any good in it
 
Kenya imechukua uamuzi mzuri lakini umechelewa. Ni uamuzi unaopaswa kuungwa mkono na nchi zote jirani ya Somalia na Afrika Mashariki kwa maslahi ya kiuchumi na biashara,lakini pia kurudisha amani ktk Somalia.
 
Bwana mukubwa, tangu lini kuelezwa ukweli ambao hauupendi imekuwa matusi na kejeli.
Mtu ukienda as far as kusema Dar na Nairobi US Embassy bombings(1998) ni kazi ya Serikali ya Marekani wakati Al Qaeda(Osama ) alikwisha jigamba kwa kazi hiyo basi sijui kundi la kukuweka.
Ndugu zetu , ninyi mmesha kuwa mind controlled kiasi ya kuona kuwa kuua kwa ajili ya imani yako is fair game.
Tatizo mtu akijitetea mmnaona sasa ndio jihad yenyewe, in the meantime watoto wenu na wanawake wanakufa kwa utapiamlo.
Please change

Ni wazi kwa uandishi huu hujaipitia ile thread ukajiridhisha ugaidi wa US.
Kule kuna ushahidi wa CIA kutengeneza fake videos za Osama.
Kama ni mind control basi hili wamefanikiwa kwako mkuu.

Pia hizo red, sina uhakika kama tunafahamiana. Phobic?. Hilo nakuachia mwenyewe.

Lakini kwa wote wanaoshabikia Kenya kwenda "kumtwanga " Al shabab wanashindwa kuelewa kuwa Somalia kuna serikali iliyo na backing ya AU na (international community) na kuna vikosi vya AU ambavyo vinapigana na Al shabaab. Kenya wangeingia mazungumzo na hii serikali na wao kupeleka vikosi vyao kuunga mkono ile serikali iliyopo katika kuishughulikia Al shabaab.

Kenya kwa kwenda kivyake ni kuwa inaivamia Somalia na kupigana na kikundi ambacho hakifungwi na sheria zozote au hakijali matokeo ya matendo yao.

Uganda na Kenya wana nafasi ya kuwaadabisha Al shabaab kupitia serikali ya Somalia na sio kwenda kila mmoja na operations zao. Hili ni kosa watakalolijutia kama US na NATO wanavyojutia kujipeleka Afghanistan. Wataifanya hali ya Somalia kuwa more complicated.

Tukumbuke, Huyu kiongozi wa serikali ya Somalia alishafanikiwa kuiweka Somalia katika kuelekea utulivu, lakini tunaelewa nini kilitokea. On the second thought, "international community" waliamua kumrejesha madarakani. Ilisemwa yeye ni muislamu wa siasa kali lakini baada ya kumuondoa ndio wamekuja hao siasa kali na sasa kila mtu anapiga mayowe na kufurahia kuongeza utata na kuifanya Somalia kuwa tete zaidi.

Hata hivyo, yanakuja na hapa kwetu.Tujitayarishe.
 
Kenyan forces target third Al Shabaab town

Posted by BERNARD MOMANYI and AFP on October 18, 2011


NAIROBI, Kenya, Oct 18 – Kenyan military forces are poised to take control of a third Al Shabaab controlled town inside Somalia, on day three of an offensive that aims to crash the rag tag militia that has terrorised Somalia and recently started spreading its tentacles to Kenya.

By Tuesday morning, Defence headquarters in Nairobi said its forces were advancing some 120 kilometres deep inside Somalia to seize the rebel-held town of Afmadow.

“Our troops started moving to Afmadow last evening, this is where activities will be concentrated today [Tuesday],” Military Operations Information Officer Major Emmanuel Chirchir said. Major Chirchir said dozens of Al Shabaab militants have been gathering around the town since Monday but no clash between them and Kenyan forces had been reported.

“So far, our mission is going on well, there have been no incidents reported at all since last night,” Major Chirchir told Capital News on telephone.

Source
 
Tutawatandikeni, hata msemeje - Wetangula awajibu Al Shabaab.
*Hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke
*Hebu jaribuni na tutawakomesha
*Uwezo wa kuwapeni kichapo tunao


Offensive unstoppable, Kenya tells Al Shabaab

Posted by BERNARD MOMANYI on October 18, 2011


Kenya's Foreign Affairs Minister Moses Wetangula/ File

NAIROBI, Kenya, Oct 18 – Foreign Affairs Minister Moses Wetangula has dared Al Shabaab militants to execute their threats of reprisals in Kenya following a military offensive that is currently underway in Somalia.

In an interview with BBC's Focus on Africa, the minister said he was confident the Kenyan military would succeed in its mission in Somalia "because we have the capacity." He said Kenya would not be cowed by threats issued by the Al Qaeda-inspired militant group which has vowed to engage the Kenyan military on a full scale war as well as hit main targets in the capital, Nairobi.

"Let them try… Kenya has the capacity, ability, and the will to defend its people and its territory. Let them try; the consequences will be dire for anyone who thinks that they can now walk in and out of Kenya to lay mischief with impunity," he said in the BBC interview aired on Monday.
Wetangula said Kenya was well equipped to deal with any incursion on its territory, and would not be cowed by the threats issued the Islamist rebels.

"I don't think Al Shabaab have the capacity to engage Kenya in an open-ended conflict, I don't think so at all," he said and sought to assure "our intention is to have a secure frontier with Somalia."

"The end will justify the means," he boasted, in reference to the military offensive in Somalia.

Capital FM
 
Tutawatandikeni, hata msemeje - Wetangula awajibu Al Shabaab.
*Hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke
*Hebu jaribuni na tutawakomesha
*Uwezo wa kuwapeni kichapo tunao


Offensive unstoppable, Kenya tells Al Shabaab

Posted by BERNARD MOMANYI on October 18, 2011


Kenya's Foreign Affairs Minister Moses Wetangula/ File

NAIROBI, Kenya, Oct 18 – Foreign Affairs Minister Moses Wetangula has dared Al Shabaab militants to execute their threats of reprisals in Kenya following a military offensive that is currently underway in Somalia.

In an interview with BBC’s Focus on Africa, the minister said he was confident the Kenyan military would succeed in its mission in Somalia “because we have the capacity.” He said Kenya would not be cowed by threats issued by the Al Qaeda-inspired militant group which has vowed to engage the Kenyan military on a full scale war as well as hit main targets in the capital, Nairobi.

“Let them try… Kenya has the capacity, ability, and the will to defend its people and its territory. Let them try; the consequences will be dire for anyone who thinks that they can now walk in and out of Kenya to lay mischief with impunity,” he said in the BBC interview aired on Monday.
Wetangula said Kenya was well equipped to deal with any incursion on its territory, and would not be cowed by the threats issued the Islamist rebels.

“I don’t think Al Shabaab have the capacity to engage Kenya in an open-ended conflict, I don’t think so at all,” he said and sought to assure “our intention is to have a secure frontier with Somalia.”

“The end will justify the means,” he boasted, in reference to the military offensive in Somalia.

Capital FM
well said na mimi sasa hivi naanza kuwa trust wakenya
 
Wakenya wajinga kweli! wakotayari kufa kwa ajili ya raia wa 4 wa Ulaya!
haya wasubiri faida ya ujinga wao.
 
As Shabab watishia kukabiliana vilivyo na vikosi vya Kenya huko Somalia
As-Shabab200811.jpg
Wanamgambo wa as Shabab wa Somalia leo wameonya kuwa watakabiliana vilivyo na vikosi vya Kenya vilivyoingia Somalia ili kuwatafuta raia wanne wa kigeni waliotekwa nyara na wanamgambo hao. Sheikh Hassan Turki kiongozi wa ngazi za juu wa as Shabab sambamba na kuahidi kuwa watavirejesha nyuma vikosi vya Kenya, amewataka wapiganaji wote wa kundi hilo na wananchi wa Somalia kuilinda nchi yao dhidi ya askari wa Kenya aliowaita kuwa ni vikosi vya adui. Askari wa jeshi la Kenya jana waliingia kilometa 100 kaskazini mwa nchi jirani ya Somalia kwa lengo la kupambana na wapiganaji wa as Shabab ambao hivi karibuni walishambulia maeneo ya mpakani mwa Kenya na kuwateka nyara raia wa kigeni.
Maafisa wa Kenya wanasema kwamba hatua hiyo imechukuliwa kwa lengo la kulinda ardhi na mipaka yake pamoja na kuimarisha usalama.
 
wacha huo ujinga soma tena tanzania ni nchi ya tisa kenya ya nane na uganda inashika nafasi ya kumi
 
Back
Top Bottom