Kenya doubles Tanzania in agriculture

Kenya doubles Tanzania in agriculture

Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.

[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji118][emoji23][emoji23] wamesema chokora au chakula
 
Mimi pia nimeinvest Kwa ovacados pia,
Nmepanda 4,000 trees upper Melili,Narok county,
Now ziko almost two years old...
Na iyo area yote mashamba karibu zote zilizonunuliwa ni ovacados tupuuuuu
una hadhi ya kumiliki ardhi wewe? Tengeneza kwa choo apo kwa slum
 
First you have to know that Kenya produces more ovacado than Tanzania, more mangos. In fact most agricultural products we produce more.
nini? 😂😂😂

Hivi hata mna kiwanda kidogo cha natural juice huko shithole?

Angalia hayo mapipa ya mango pulb yapo kwa mamilioni na viwanda kama hivi Tanzania vipo 7 vinazalisha organic mango pulb na bado we got plenty of mangos for other neighbors and table mangos 😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌

Note hizo juice zinauzwa worldwide


 
sisi ni number 1 and 2 simultaneously sababu 99.9% ya Parachichi za Kenya zinatoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂

Akili punguani wewe, hamuoni ujinga mnaandika mitandaoni ...
 
mko na shida ki-akili kaka, from cooking economic data to cooking international trade facts..
yani a whole media house pushing nonsense, aliona avocado anadhani TZ ndiyo tu avocado inamea?

But there is no point arguing with an idiot.
Hamna ubavu wa kujilinganisha na Tanzania kwenye kilimo, yaani hilo sahau kabisa 😂😂😂
 
Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.

Sio kila kitu kuwaamini wazungu vingine wanachemka mfano walisema waafrica watakufa na kukuta miili imezagaaa kila Kona, imetokea kwani.
 
There is one thing I like about internet. It reveals every lies around. Hile kelele ya produce more than Kenya I hope imeisha. Or is there anything you can add?
Bandiko lako ni la agricultural output siyo production bro.
Mimi nikitaka kuuza nje mahindi si lazima niyatoe Tz pekee, kama Kenya yapo mengi nitayanunua huko halafu nitayauza ulaya.
Sasa ikitokea kuwa mimi ndo muuzaji mkubwa wa mahindi ulaya haimaanishi kuwa mimi ndo mzalishaji mkubwa wa mahindi.
Mzalishaji mkubwa atakuwa ni Kenya kule ninakoyanunua lakini mimi ndiye nitakuwa muuzaji mkubwa.



Nadhani umeelewa bro.
 
Bandiko lako ni la agricultural output siyo production bro.
Mimi nikitaka kuuza nje mahindi si lazima niyatoe Tz pekee, kama Kenya yapo mengi nitayanunua huko halafu nitayauza ulaya.
Sasa ikitokea kuwa mimi ndo muuzaji mkubwa wa mahindi ulaya haimaanishi kuwa mimi ndo mzalishaji mkubwa wa mahindi.
Mzalishaji mkubwa atakuwa ni Kenya kule ninakoyanunua lakini mimi ndiye nitakuwa muuzaji mkubwa.



Nadhani umeelewa bro.
Umelijibu vizuri ila subiri lirudi
 
Hamna ubavu wa kujilinganisha na Tanzania kwenye kilimo, yaani hilo sahau kabisa 😂😂😂
hatujilinganishi kaka, tunashaliza mazao ya pesa nyingi kuwaliko...

Our products are top exports in the world...

Hatuko level moja na nyinyi... nyinyi endeleeni kulima korosho

1591331024703.png


1591331062643.png


1591331103296.png


1591330989678.png
 
Hapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia? Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?

Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
Ukweli ni kwamba pamoja na ulichoeleza,Wakenya wanazalisha agricultural produce nyingi tuu na za kiwango kuliko Tzn na wanasoko huko nje,sisi huku bongo mazao yetu ni hafifu kuweza kuuzika nje ya nchi hasa ughaibuni so tunategemea zikaongezwe thamani Kenya ndio ziuzike
Mwaka huu tzn kuna mpunga kila kona kg ya mchele ni tzsh.800 na serikali isipofungua soko la nje kwenye mazao tutakula hasara maana tunategemea kenya na drc but nyie wazee wa propaganda mnaolipwa kwa kazi hii ndio mnafurahia kufungiwa mipaka ,the same na kwenye parachichi
 
Nyanya ya lushoto yote unaenda Kenya
sio tu nyanya ya Lushoto hadi nyanya ya Kilolo na parachichi la kusini,point hapa ni kwamba wao wana teknologia ya kuongeza thamani na connection ya soko la nje so waki fell sie huku tunakula hasara.Kumbuka pia wanacho ki import ni kufidia pengo huko kwao na si kwamba hawazalishi kabisa
Kingine uzalishaji wao ni quality based tofauti na huku bongo tuna quantity lakini poor quality na hatuna soko thus why post harvest losses kwetu ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom