YoungD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,275
- 1,332
sawa, fungeni mpaka uliofungwa kisha ninyi muuze njee. #akilizaldcTufunge mipaka, tuone kama kenya watauzi nini? Mazao yate wanachukuwa Tanzania na kuhuza njee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa, fungeni mpaka uliofungwa kisha ninyi muuze njee. #akilizaldcTufunge mipaka, tuone kama kenya watauzi nini? Mazao yate wanachukuwa Tanzania na kuhuza njee.
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji118][emoji23][emoji23] wamesema chokora au chakulaKenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.
una hadhi ya kumiliki ardhi wewe? Tengeneza kwa choo apo kwa slumMimi pia nimeinvest Kwa ovacados pia,
Nmepanda 4,000 trees upper Melili,Narok county,
Now ziko almost two years old...
Na iyo area yote mashamba karibu zote zilizonunuliwa ni ovacados tupuuuuu
We endelea kula mchuzi wa mawekula albino ndiyo uweze kusemezana na mimi , bonobo
😂😂😂😂😂😂😂Top Avocado producers in Africa.
- Kenya: 28%
- Rwanda: 20%
- South Africa: 14%
- Cameroon: 8%
- DRC: 8%
- Ethiopia: 7%
- Côte d’Ivoire: 4%
- Morocco: 4%
- Madagascar: 3%
- Others: 4% (Tanzania is here with all the other countries combined)
ndio zinatoka Tanzania kwani uongo?mimi ni mkulima wa hass variety pia, wakulima wamepanda hass kwa kiasi cha haja huku..
endeleeni kujidanganya eti parachichi inatoka TZ,
sisi ni number 1 and 2 simultaneously sababu 99.9% ya Parachichi za Kenya zinatoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂Soma hapa chini halafu uende ulambe Magufuli Matako .... ndiyo uwatangazie wananchi morogoro
View attachment 1468875
😂😂😂😂😂 we lead AfricaHata Nazi ,in fact Nazi zinatoka Mombasa na kuuzwa tanzania.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
nini? 😂😂😂First you have to know that Kenya produces more ovacado than Tanzania, more mangos. In fact most agricultural products we produce more.
sisi ni number 1 and 2 simultaneously sababu 99.9% ya Parachichi za Kenya zinatoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂
ndio zinatoka Tanzania kwani uongo?
Hamna ubavu wa kujilinganisha na Tanzania kwenye kilimo, yaani hilo sahau kabisa 😂😂😂mko na shida ki-akili kaka, from cooking economic data to cooking international trade facts..
yani a whole media house pushing nonsense, aliona avocado anadhani TZ ndiyo tu avocado inamea?
But there is no point arguing with an idiot.
Sio kila kitu kuwaamini wazungu vingine wanachemka mfano walisema waafrica watakufa na kukuta miili imezagaaa kila Kona, imetokea kwani.Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.
Bandiko lako ni la agricultural output siyo production bro.There is one thing I like about internet. It reveals every lies around. Hile kelele ya produce more than Kenya I hope imeisha. Or is there anything you can add?
Umelijibu vizuri ila subiri lirudiBandiko lako ni la agricultural output siyo production bro.
Mimi nikitaka kuuza nje mahindi si lazima niyatoe Tz pekee, kama Kenya yapo mengi nitayanunua huko halafu nitayauza ulaya.
Sasa ikitokea kuwa mimi ndo muuzaji mkubwa wa mahindi ulaya haimaanishi kuwa mimi ndo mzalishaji mkubwa wa mahindi.
Mzalishaji mkubwa atakuwa ni Kenya kule ninakoyanunua lakini mimi ndiye nitakuwa muuzaji mkubwa.
Nadhani umeelewa bro.
hatujilinganishi kaka, tunashaliza mazao ya pesa nyingi kuwaliko...Hamna ubavu wa kujilinganisha na Tanzania kwenye kilimo, yaani hilo sahau kabisa 😂😂😂
Bibi yangu ana mashamba ya miembe, Bibi yako anayo?Kenya produces more mangos than Tanzania.
Ukweli ni kwamba pamoja na ulichoeleza,Wakenya wanazalisha agricultural produce nyingi tuu na za kiwango kuliko Tzn na wanasoko huko nje,sisi huku bongo mazao yetu ni hafifu kuweza kuuzika nje ya nchi hasa ughaibuni so tunategemea zikaongezwe thamani Kenya ndio ziuzikeHapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia? Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?
Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
Kenya, Biggest producers of Cloves in East Africa 😀 😀 😀 😀 ukiwaambia wakuoneshe mkarafuu ulivo hawaujui!
sio tu nyanya ya Lushoto hadi nyanya ya Kilolo na parachichi la kusini,point hapa ni kwamba wao wana teknologia ya kuongeza thamani na connection ya soko la nje so waki fell sie huku tunakula hasara.Kumbuka pia wanacho ki import ni kufidia pengo huko kwao na si kwamba hawazalishi kabisaNyanya ya lushoto yote unaenda Kenya