Kenya doubles Tanzania in agriculture

Nilitaka nisikujibu lakini nimeona nikupe nafasi huenda ukaelimika. Hivi wewe unayeleta mawazo yako ya kuipinga Serikali unalipwa na mabeberu?. Kwanini wewe unapotoa mawazo yake unahisi unatoa kwa utashi wako, lakini wengine wenye kuwa na mawazo tofauti na wewe unadhani sio utashi wao ila wanalipwa?, wacha kuwa mjinga kiasi hicho, duniani kila mtu ana maono na mtazamo wake, lazima uheshimu mawazo ya wengine hata kama hukubaliano nayo.

Kama utafuatilia kauli za Magufuli na kauli za Bashe, wamerudia Mara nyingi kwamba KILIMO ni biashara, hawatozuia Chakula kuuzwa nchi za nje wala kuwapangia bei ya kuuza masoko yao, kwamba ni wakati muafaka kwa wakulima kufaidika kutokana na jasho lao. Unaposema endapo Serikali haitofungua mipaka wakulima watapata hasara, lini Tanzania imefunga mipaka?.

Tatizo lako wewe unadhani Kenya ni soko kubwa na muhimu kwa Chakula cha Tanzania, Fanya utafiti kidogo utagundua kwamba, Kenya inanunua chakula kidogo sana toka Tanzania, nchi zinazonunua chakula cha Tanzania kwa wingi ni Zimbabwe, DRC, Msumbiji, Malawi, Rwanda na Commoro, Kenya ni kelele zaidi, hawana kitu hao.
 
kabla ya kunishambulia ungesoma vizuri maelezo yangu,nchi ulizozitaja wewe zinanunua mazao ya nafaka zaidi lakini mazao ya horticulture tunategemea Kenya.Umewahi sikia tunasafirisha avocado au nyanya zimbabwe? au mbao au chai? Wewe hauko kwenye kilimo tulia hivo hivyo mkuu
Mimi sipingi kila kitu cha serikali lakini sisifii kila kitu cha serikali kama wewe na wenzio kwa nini nisiamini unalipwa kwa kazi hii maana hata kwenye ukweli huwa hukubali yaani hata hili utapinga.
 
Fungua thread ya hiyo tutacontribute. Anyway what happened to we produce more agricultural products than Kenya?😂😂😂
Ebu linganisha ulicho andika na akili zako.
Mfano mtu mwenye mbuzi 100 na mwenye ng'ombe 50 wote wana mifugo, ila linapokuja suala la kuuza mwenye ng'ombe atapata pesa nyingi kuliko mwenye mbuzi. Hii haimaanishi mwenye mbuzi kuwa ana mifugo michache.
Rudi shule ukasome hesabu.
Ukitaka tukuelewe, weka tani za mazao kwa kila mazao makuu yanayozalishwa.
Hivi unajua maana ya agricultural products na agricultural output?
 
Mimi sikukushambulia kuhusu soko, nimekushambulia alivyosema watu wanalipwa. Nimekuambia hapa ni kijiweni, kila mtu anasema na kutapika anayotaka, pinga uwezavyo, unga mkono uwezavyo kwa kadri unavyojisikia, mbona wewe unapinga kila jambo la Serikali hata kama ni jambo la wazi kabisa na hakuna mtu anayesema unalipwa na mabeberu?.

Kuhusu soko la nyanya, vitunguu na mbogamboga, tatizo wewe una mtazamo finyu sasa, wewe tulitegemea nyanya zinazolimwa Mbeya zikauzwe Kenya, au zinazolimwa Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Mara zikauzwe Zambia na DRC?. Biashara hufamywa karibu na inapozalishwa ili kupunguza gharama za usafirishaji na ili zisiharibike.

Kwanza hao wakenya wananua nyanya na vitunguu vikiwa bado havijaongezewa thamani, lengo ni kuhakikisha tinasindika hizo Tomato kama zinavyofanyika kule dabaga Iringa, kwahiyo bado soko la Kenya kwa hizo bidhaa linawanyonya wakulima wetu, sio soko la kulifurahia sana, muhimu ni kujenga viwanda ili kuongeza thamani ya mazao ya mkulima badala ya kushabikia soko la Kenya.
 
Ukweli mtupu.
 
Kenya 73% ni janga. Kasikazini mwa Kenya akufai kabisa kwa kilimo. Kusini ndiko angalau. Na kote huko ni mshamba ya wakina Kenyatta na Moi. Tanzania wana 87% za kulima. Kusini magaribi mashariki kasskazini karibu ya Kenya kote ni sehemu za kulima
 

Mkuu hebu niambie wakishanunua nyanya na maparachichi wanayaongezea thamani gani hapo kenya ndio yaweze kuuzika?

Kenya imetuzidi connection tu kwenye soko la nje. Na ni gap ambayo tayari tumeshaiziba. Hivyo now kila mtui auze kile anachozalisha.

Na najua wewe ni nyang`au..a contact person kwa nyanda za juu kusini huko.. mtaalam feki wa kilimo ndio una facilitate hizo biashara za kilimo kwenda kenya.
 

Ni nyang`au huyo asikuchoshe.
 
Kenya 73% ni janga. Kasikazini mwa Kenya akufai kabisa kwa kilimo. Kusini ndiko angalau. Na kote huko ni mshamba ya wakina Kenyatta na Moi. Tanzania wana 87% za kulima. Kusini magaribi mashariki kasskazini karibu ya Kenya kote ni sehemu za kulima
wacha uongo kaka, mashamba makubwa ya Kenyatta na Moi yapo Rift Valley na huko wao ni baadhi ya wakulima wanaolima huko,
they own a very small percentage of the total land.
sijaona plantation yeyote Mt Kenya region ya Kenyatta au Moi
Kenya mashamba mengi ni freehold ...
Huu ndiyo ujinga mnaofunzwa na CCM ikiwatapeli
 
The day TZ will stop obsessing over maize and beans and focus on high value crops wataenda mbali sana............... for now ir is war ir is 🙂 !!!!!! Kenya Agricultural output is twice TZ, facts are stubborn.
 
ati plenty! Hiyo plenty umeitoa wapi nyang'au weye?

Linchi lenu likame hilo. The only thing which is "plenty" in Kenya is cholera and poverty.
Hakuna chakula cha bure[emoji1787][emoji1787]
Ukitaka lia
 
Wewe ni mkenya, usijifanye unaongelea Kenya as if you're a Tanzanian
 
Which agricultural products apart from buying from neighboring countries and rebranding and export them to Europe and other parts of the World?
If that's true, then it only shows how clever a d creative we are. Sisi sio mibongolala kama watu wengine
 
Wakenya bhana wao wanafanya mabishano...wakati sisi tunaboresha Maisha ya Wananchi huku tukiikaribia nafasi ya kwanza automatically
 
If that's true, then it only shows how clever a d creative we are. Sisi sio mibongolala kama watu wengine
Nini kutokana na ardhi yenu yote kuwaachia wazungu, hamns njia nyengine zaidi ya kutegemea nchi Jirani, acheni kudanganya kwamba mnaongoza katika Agriculture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…