babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Bro mbona uko hivo lakini si ungemuacha tu afurahie quote yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro mbona uko hivo lakini si ungemuacha tu afurahie quote yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka nisikujibu lakini nimeona nikupe nafasi huenda ukaelimika. Hivi wewe unayeleta mawazo yako ya kuipinga Serikali unalipwa na mabeberu?. Kwanini wewe unapotoa mawazo yake unahisi unatoa kwa utashi wako, lakini wengine wenye kuwa na mawazo tofauti na wewe unadhani sio utashi wao ila wanalipwa?, wacha kuwa mjinga kiasi hicho, duniani kila mtu ana maono na mtazamo wake, lazima uheshimu mawazo ya wengine hata kama hukubaliano nayo.Ukweli ni kwamba pamoja na ulichoeleza,Wakenya wanazalisha agricultural produce nyingi tuu na za kiwango kuliko Tzn na wanasoko huko nje,sisi huku bongo mazao yetu ni hafifu kuweza kuuzika nje ya nchi hasa ughaibuni so tunategemea zikaongezwe thamani Kenya ndio ziuzike
Mwaka huu tzn kuna mpunga kila kona kg ya mchele ni tzsh.800 na serikali isipofungua soko la nje kwenye mazao tutakula hasara maana tunategemea kenya na drc but nyie wazee wa propaganda mnaolipwa kwa kazi hii ndio mnafurahia kufungiwa mipaka ,the same na kwenye parachichi
kabla ya kunishambulia ungesoma vizuri maelezo yangu,nchi ulizozitaja wewe zinanunua mazao ya nafaka zaidi lakini mazao ya horticulture tunategemea Kenya.Umewahi sikia tunasafirisha avocado au nyanya zimbabwe? au mbao au chai? Wewe hauko kwenye kilimo tulia hivo hivyo mkuuNilitaka nisikujibu lakini nimeona nikupe nafasi huenda ukaelimika. Hivi wewe unayeleta mawazo yako ya kuipinga Serikali unalipwa na mabeberu?. Kwanini wewe unapotoa mawazo yake unahisi unatoa kwa utashi wako, lakini wengine wenye kuwa na mawazo tofauti na wewe unadhani sio utashi wao ila wanalipwa?, wacha kuwa mjinga kiasi hicho, duniani kila mtu ana maono na mtazamo wake, lazima uheshimu mawazo ya wengine hata kama hukubaliano nayo.
Kama utafuatilia kauli za Magufuli na kauli za Bashe, wamerudia Mara nyingi kwamba KILIMO ni biashara, hawatozuia Chakula kuuzwa nchi za nje wala kuwapangia bei ya kuuza masoko yao, kwamba ni wakati muafaka kwa wakulima kufaidika kutokana na jasho lao. Unaposema endapo Serikali haitofungua mipaka wakulima watapata hasara, lini Tanzania imefunga mipaka?.
Tatizo lako wewe unadhani Kenya ni soko kubwa na muhimu kwa Chakula cha Tanzania, Fanya utafiti kidogo utagundua kwamba, Kenya inanunua chakula kidogo sana toka Tanzania, nchi zinazonunua chakula cha Tanzania kwa wingi ni Zimbabwe, DRC, Msumbiji, Malawi, Rwanda na Commoro, Kenya ni kelele zaidi, hawana kitu hao.
Ebu linganisha ulicho andika na akili zako.Fungua thread ya hiyo tutacontribute. Anyway what happened to we produce more agricultural products than Kenya?😂😂😂
Wangu anayo maembe hadi korosho.Bibi yangu ana mashamba ya miembe, Bibi yako anayo?
Mimi sikukushambulia kuhusu soko, nimekushambulia alivyosema watu wanalipwa. Nimekuambia hapa ni kijiweni, kila mtu anasema na kutapika anayotaka, pinga uwezavyo, unga mkono uwezavyo kwa kadri unavyojisikia, mbona wewe unapinga kila jambo la Serikali hata kama ni jambo la wazi kabisa na hakuna mtu anayesema unalipwa na mabeberu?.kabla ya kunishambulia ungesoma vizuri maelezo yangu,nchi ulizozitaja wewe zinanunua mazao ya nafaka zaidi lakini mazao ya horticulture tunategemea Kenya.Umewahi sikia tunasafirisha avocado au nyanya zimbabwe? au mbao au chai? Wewe hauko kwenye kilimo tulia hivo hivyo mkuu
Mimi sipingi kila kitu cha serikali lakini sisifii kila kitu cha serikali kama wewe na wenzio kwa nini nisiamini unalipwa kwa kazi hii maana hata kwenye ukweli huwa hukubali yaani hata hili utapinga.
Na korosho nazo.Kenya, Biggest producers of Cloves in East Africa 😀 😀 😀 😀 ukiwaambia wakuoneshe mkarafuu ulivo hawaujui!
Ukweli mtupu.sio tu nyanya ya Lushoto hadi nyanya ya Kilolo na parachichi la kusini,point hapa ni kwamba wao wana teknologia ya kuongeza thamani na connection ya soko la nje so waki fell sie huku tunakula hasara.Kumbuka pia wanacho ki import ni kufidia pengo huko kwao na si kwamba hawazalishi kabisa
Kingine uzalishaji wao ni quality based tofauti na huku bongo tuna quantity lakini poor quality na hatuna soko thus why post harvest losses kwetu ni kubwa sana
sio tu nyanya ya Lushoto hadi nyanya ya Kilolo na parachichi la kusini,point hapa ni kwamba wao wana teknologia ya kuongeza thamani na connection ya soko la nje so waki fell sie huku tunakula hasara.Kumbuka pia wanacho ki import ni kufidia pengo huko kwao na si kwamba hawazalishi kabisa
Kingine uzalishaji wao ni quality based tofauti na huku bongo tuna quantity lakini poor quality na hatuna soko thus why post harvest losses kwetu ni kubwa sana
Nilitaka nisikujibu lakini nimeona nikupe nafasi huenda ukaelimika. Hivi wewe unayeleta mawazo yako ya kuipinga Serikali unalipwa na mabeberu?. Kwanini wewe unapotoa mawazo yake unahisi unatoa kwa utashi wako, lakini wengine wenye kuwa na mawazo tofauti na wewe unadhani sio utashi wao ila wanalipwa?, wacha kuwa mjinga kiasi hicho, duniani kila mtu ana maono na mtazamo wake, lazima uheshimu mawazo ya wengine hata kama hukubaliano nayo.
Kama utafuatilia kauli za Magufuli na kauli za Bashe, wamerudia Mara nyingi kwamba KILIMO ni biashara, hawatozuia Chakula kuuzwa nchi za nje wala kuwapangia bei ya kuuza masoko yao, kwamba ni wakati muafaka kwa wakulima kufaidika kutokana na jasho lao. Unaposema endapo Serikali haitofungua mipaka wakulima watapata hasara, lini Tanzania imefunga mipaka?.
Tatizo lako wewe unadhani Kenya ni soko kubwa na muhimu kwa Chakula cha Tanzania, Fanya utafiti kidogo utagundua kwamba, Kenya inanunua chakula kidogo sana toka Tanzania, nchi zinazonunua chakula cha Tanzania kwa wingi ni Zimbabwe, DRC, Msumbiji, Malawi, Rwanda na Commoro, Kenya ni kelele zaidi, hawana kitu hao.
wacha uongo kaka, mashamba makubwa ya Kenyatta na Moi yapo Rift Valley na huko wao ni baadhi ya wakulima wanaolima huko,Kenya 73% ni janga. Kasikazini mwa Kenya akufai kabisa kwa kilimo. Kusini ndiko angalau. Na kote huko ni mshamba ya wakina Kenyatta na Moi. Tanzania wana 87% za kulima. Kusini magaribi mashariki kasskazini karibu ya Kenya kote ni sehemu za kulima
Mlilisha watu wa chato linimlisheni avocado huyu mzee asije kukata ringi!View attachment 1468833
Hakuna chakula cha bure[emoji1787][emoji1787]ati plenty! Hiyo plenty umeitoa wapi nyang'au weye?
Linchi lenu likame hilo. The only thing which is "plenty" in Kenya is cholera and poverty.
Wewe ni mkenya, usijifanye unaongelea Kenya as if you're a Tanzaniansio tu nyanya ya Lushoto hadi nyanya ya Kilolo na parachichi la kusini,point hapa ni kwamba wao wana teknologia ya kuongeza thamani na connection ya soko la nje so waki fell sie huku tunakula hasara.Kumbuka pia wanacho ki import ni kufidia pengo huko kwao na si kwamba hawazalishi kabisa
Kingine uzalishaji wao ni quality based tofauti na huku bongo tuna quantity lakini poor quality na hatuna soko thus why post harvest losses kwetu ni kubwa sana
If that's true, then it only shows how clever a d creative we are. Sisi sio mibongolala kama watu wengineWhich agricultural products apart from buying from neighboring countries and rebranding and export them to Europe and other parts of the World?
Nini kutokana na ardhi yenu yote kuwaachia wazungu, hamns njia nyengine zaidi ya kutegemea nchi Jirani, acheni kudanganya kwamba mnaongoza katika AgricultureIf that's true, then it only shows how clever a d creative we are. Sisi sio mibongolala kama watu wengine