Kenya doubles Tanzania in agriculture

Kwa hivyo pesa zinazopatikana kutokana na uuzaji wa hiyo chai kutoka hizo nchi ulizotaja pia zinakuja Kenya? The problem with you Methuselah is that you pretend to know so much while in real sence hakuna unachojua. We've always told you that Kenya is the gateway to this region, something that you have refuted time and again on this forum.

These countries are using our port because we have the resources and market connections, something that they don't have, danganganyika included. Hata parachichi yenu inauzwa nje kupitia Mombasa. Does that mean that pesa zinazotokana na uuzaji wa hizi parachichi za Tanzania zinakuja Kenya just because you are using our resources? Think before yapping
 
Wacha ujinga wewe, parachichi za Tanzania zinazokuja Kenya hununuliwa na wafanyabiashara wa Kenya, zikifika huko ndio husafirishwa nje kama products za Kenya.
 
Wacha ujinga wewe, parachichi za Tanzania zinazokuja Kenya hununuliwa na wafanyabiashara wa Kenya, zikifika huko ndio husafirishwa nje kama products za Kenya.
Because that is what you want to believe. Why would Kenya source for avocados from Tanzania while we are already one of the world's largest producers of the same? We are already producing more than enough to care about Tanzania
 
Because that is what you want to believe. Why would Kenya source for avocados from Tanzania while we are already one of the world's largest producers of the same? We are already producing more than enough to care about Tanzania
Do you know the meaning of business?, why does China buy gold from Africa, while China is among top three biggest gold producers in the World. Why still America buys oil from Arabic countries while it is the World largest oil producer?
 
Wakenya wabishi kweli
Leo nimepakia mbao zinaenda Kenya wakija hapa watabisha kweli huku misitu kwao wemesimamisha kuvuna hahahaha
 
wabongo muwache ujinga! mbona msijitafutie hizo solo za ulaya wenyewe? mnakaririshwa upuuzi na kuamini.
 
Ndio maana wazungu wanatumia akili zao kirahisi kwakuwa wanapenda sifa sana.
 
Biashara kati ya Tanzania na Kenya ni Muhimu sana kwa kila mmoja wetu.....Sidi Tanzania tunataka uchumi wetu uende mbio ...na hilo liko wazi...Wakenya njoeni tufanye kazi jamani....boresheni maisha yenu kupitia sisi na sisi tuboreshe yetu kupitia nyie...hiyo ndio Bilateral
 
Vilijengwa lini??
 
Tumeanza kuuza nje sisi wenyewe, huo unyonyaji wenu unakaribia mwisho. Mazao mnayouza mengi yetoka Tanzania. Mnachojua ni processing na kuweka lable za Kenya
Kenya's output worth in agriculture is twice that in Tanzania. Even after so many Tanzanians have been bragging here that they produce more agricultural products than Kenya, luckily the truth is out.

 
Kenya can feed itself, but it knows tukijilisha na mazao yetu tuu ya quality bei itakua juu sana and can hurt the lower income population. Kwa hivyo tuna import from Uganda and Tanzania to keep prices low. Na pia we export high value agricultural products and imports basics from EAC, kwa vile, mbona ulime ya kijilisha tuu na unaeza lima ya export to Europe alafu ununue cheap food kutoka Tanzania
 
Ukweli ni kwamba sisi tunazarisha Vitu vingi kuliko Kenya, Mfano huwezi kusema Nazi itoke Mombasa peke yake ilishe Tanzania, wakati Mikoa ambayo hulima Nazi Tanzania ni zaidi 8.
Huwezi kusema Kenya inalima Maembe zaidi au Chakula chochote kuliko Tanzania....

Ila Ukweli ni kuwa Wakenya wanauza zaidi nje kuliko SISI, na hiyo imesababishwa na Ujinga wetu kama Watanzania, pamoja na Viongozi wetu.... Kwa kushindwa kufanya mambo yawe rahisi.... Nchi Iko Very complicated......

Hata Ukitaka Kuuza Mavi ya Panya nje, mpaka Waziri atoe Kibari..... Na kuja kupata hicho kibari......

Ilhari Kenya kuna Baadhi ya Vitu wameruhusiwa Kuuza nje bila hata Documents, coz Mwisho wa siku Pesa inarudi Kenya, ni the same ukienda Nigeria, hata Zambia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…