Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Kwa hivyo pesa zinazopatikana kutokana na uuzaji wa hiyo chai kutoka hizo nchi ulizotaja pia zinakuja Kenya? The problem with you Methuselah is that you pretend to know so much while in real sence hakuna unachojua. We've always told you that Kenya is the gateway to this region, something that you have refuted time and again on this forum.Hapo hawajaonyesha mnachozalisha, wameonyesha pesa mnayopata kutokana na mazao ya KILIMO, hivi hujui kwamba mnada wa chai pale Mombasa unakusanya chai toka nchi zote za EA, ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia? Ili hiyo chai yote inapopelekwa nje ya toka Kenya inahesabika ni Agricultural produce toka Kenya?
Sasa kama Kenya inauwezo wa kuzalisha Agricultural produces, vipi inategemea Tanzania na Uganda katika chakula kama mahindi, mchele, tomato, Matunda, maharage na vyakula vingine?
These countries are using our port because we have the resources and market connections, something that they don't have, danganganyika included. Hata parachichi yenu inauzwa nje kupitia Mombasa. Does that mean that pesa zinazotokana na uuzaji wa hizi parachichi za Tanzania zinakuja Kenya just because you are using our resources? Think before yapping