KENYA: Dr. Roselyn Akombe’s resignation letter as IEBC Commissioner

KENYA: Dr. Roselyn Akombe’s resignation letter as IEBC Commissioner

Kenya rushwa, ukabila hauwez kwisha. Maana watu wana dhiki ya ajabu
1. kupata baadhi ya huduma kwake anaona favour, so malipo ni kuwa kibaraka wa huyo aliyempa "favour".
eg. Ajira, scholarships, teuzi zinafuata mkondo wa ukabila/rushwa.
 
Uhuru kama Mkuu wa nchi alipaswa kuongoza but yeye na yule mpwa wa Moi kutwa wanacheza ngoma ya RAO full vijembe
washauri wa Odinga kwenye mbinu za kuvuruga mambo wapo vizuri sana ingekua wanatumia mbini hizo kuwavutia wapiga kura naamini tarehe uchaguzi uliofanyika mwezi wa 8 Raila angeingia Ikulu mapema sana.
Uhuru amekuja kukumbuka blanketi kumekucha na mpaka sasa Raila kamkata pazuri sana...kila akijaribu kuchomoka anakutana na haya mara kesi hii,mara huyu kajiuzulu,mara kaede Ulaya kuwaeleza ya kwake n.k....
kwa maslahi mapana ya Kenya ingebidi ifike mahala waweke umimi pembeni na kusema Kenya kwanza.
 
Ndani ya Tume ya IEBC kuna Moto mkubwa unawaka na nadhani hata Wafula Chebukati , Mwenyekiti anatamani ajiuzulu lakini inamuwia vigumu kwa kuwa aliishapokea rushwa kutoka Serikali Kuu! Ngoja avune alichopanda!
25d81392db57b4b09c46e5e9288040e4.jpg


d382f1aeffd29f3aff3013db27ceb2e2.jpg


c03ea8bfe543571a575a40c7fa96acb7.jpg

6ab87cf79f32fd44fbdf6e51c91bfd12.jpg
 
Sahauuhilo kamishna asaidii kubadilisha uchaguzii. MJALUO APEWI IKULU DAIMA SAMAHANI KAMA N MJALUO N KAMA TANZANIA WACHAGA WASHASAHAU HATA IKULU IKOJE NDIO MAANA TUNAJARIBU MAJIRANI WA ARUSJA AMA SAME WAINGIE PALE
Dhana yako ni ya Kijinga, ya kizamani sana na ni ya kupuuzwa.
 
Sahauuhilo kamishna asaidii kubadilisha uchaguzii. MJALUO APEWI IKULU DAIMA SAMAHANI KAMA N MJALUO N KAMA TANZANIA WACHAGA WASHASAHAU HATA IKULU IKOJE NDIO MAANA TUNAJARIBU MAJIRANI WA ARUSJA AMA SAME WAINGIE PALE
Acha ujinga,TZ kuna zaidi ya makabila 124 kwa,ww umewaona wachaga tu na sio wengine wanaostahili kuingia ikulu.ukabila na mkenya ni sawa na samaki na maji vile.
 
ewe mtanzania mwenzangu uliepo huko nakuomba/nakushauri urudi nyumbani tu

mtu anatuma barua ya resignation akiwa dubai [emoji3][emoji3][emoji3]
na kutokomea marekani[emoji3][emoji3][emoji3]
wewe bado umekaa tu huko
 
its horrible especially having kitchen cabinets who eliminates threat through murder and intimidation etc.

As its said politics is a dirty game man and when stakes are high guys go those extent of doing anything dangerous to have gains. that why murdering connected to political motives are not solved amicably.
 
Back
Top Bottom