Kenya Election 2007: Outcomes

Newsroom

LATEST POLLS

Presidential Candidate %

Mwai Kibaki 43.3

Raila Odinga 43.6

Kalonzo Musyoka 11
 
Newsroom

LATEST POLLS

Presidential Candidate %

Mwai Kibaki 43.3

Raila Odinga 43.6

Kalonzo Musyoka 11

Mkomboziufisadi,

Na wewe unataka kuwa fisadi kwenye hili?

Sisi tunajua Raila ana zaidi ya 50%. Wewe endelea kupika matokeo yako, lakini leo hayataiva.
 

Seriuosly, Inakera sana, ati Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ni Mh. Iddi Azzan,,, check nondo/profile ya mheshimiwa hapa


Kitila tunahitaji kufanya kazi ya ziada hii ni dhihaka kubwa sana!!! yaani this was the best kutoka kwa wakazi wa jimbo la Kinondoni?
 
Quote: mkomboziufisadi
Newsroom

LATEST POLLS

Presidential Candidate %

Mwai Kibaki 43.3

Raila Odinga 43.6

Kalonzo Musyoka 11

Mapishi yako ya data umeyakosea, maana hata total yake haifiki 100, rudia tena.

Bora Shy wa watu aliyebadili dini
 

http://www.eastandard.net/news/?id=1143979607
 
hongera raila you keep wanna!!!

hongera tena sana sasa njia yetu iko nyeupe kibaki hakika akishinda kuna mkono wa mtu!!
 
mkomboziufisadi
Newsroom

LATEST POLLS

Presidential Candidate %

Mwai Kibaki 43.3

Raila Odinga 43.6

Kalonzo Musyoka 11
Nafikiri watu tujaribu kuonyesha integrity kwenye habari tunazozitoa ili kudumisha credibility yetu ka JF. Wa2 wengi wanafuatiulia uchaguzi wa kenya kwa forum yetu sasa tukianza kufanya mzaha na matokeo tutapoteza heshima yetu. Naomba watu wanaoleta mapenzi kwenye polls results waache kwani ni kujivunjia heshma hata wao wenyewe.

Lets show maturity as JF
 
Seriuosly, Inakera sana, ati Mbunge wa Jimbo la Kinondoni ni Mh. Iddi Azzan,,, check nondo/profile ya mheshimiwa hapa


Kitila tunahitaji kufanya kazi ya ziada hii ni dhihaka kubwa sana!!! yaani this was the best kutoka kwa wakazi zaidi ya 700.

Kibaki pamoja na kufanya kazi nzuri kuliko alivyotegemewa bado anapigwa chini. Sisi Bongo JK anasema bado wanajenga msingi sasa then 2010 may be ndiyo kazi ya ukuta kupanda itaanza, sisi tunamchekea. CCM inabidi wapewe fundisho kali! Ndiyo sababu hawataki EAF, wanaogopa influence ya Kenya naona!!!
 

MBONA HUULIZI YA BENDERA ?

YEYE ANATEMBEA NA MTU AMBAYE KAZI YAKE NI KUSOMA EMAIL ZAKE NA KUZIPRINT KISHA KUMMWELEZEA KILICHOANDIKWA KATIKA WARAKA HUSIKA

NILISHANGAA HUYU JAMAA ALITEULIWA BUNGENI KWA VIGEZO VIPI ?

KWELI TUKO DUNIA TOFAUTI
 
Newsroom

LATEST POLLS

Presidential Candidate %

Mwai Kibaki 43.3

Raila Odinga 43.6

Kalonzo Musyoka 11

Tusimpige Makombora Mkomboziufisadi,,, maana haja sema ni newsroom ya chombo gani? may be ni ya kwake?
 

Watanzania waliambiwa na Mramba kuwa hata wakila Nyasi serikali itafanya inachotaka na wakakaa kimya. Tanzania itahitaji ccm iendelee kuwa madarakani, nchi yote iuzwe kwa wageni, vijana wakose kazi, vijijini watu wale nyasi ndio wakome kupewa vitenge na pombe na kuipigia kura ccm.

Maisha yasipokuwa magumu to the extent kuwa hakuna option watu hawawezi kuitoa ccm kama wakenya walivyofanya!
 
Mkomboziufisadi,

Na wewe unataka kuwa fisadi kwenye hili?

Sisi tunajua Raila ana zaidi ya 50%. Wewe endelea kupika matokeo yako, lakini leo hayataiva.

Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke

nimeongea na mdau mmoja wa JF ambaye yuko Nai.ananiambia Raila yuko Juu sana.
 
Watu weweeeeee!
Good job our neighbour Kenyans, I wish wabongo tungejifunza kutoka kwenu!
 
Mie natetea haki,hizo data nimezipata katika webiste ya mwai kibaki
www.kibaki.co.ke

Hiyo inabidi ifutwe maana haina kazi tena. Alipata ride ya Raila 2002 akaingia Ikulu akajifanya mjuzi, sasa naona jamaa wamempa fundisho. Lakini nisiseme sana ngoja nisubiri ECK watangaze matokeo!
 
KTN SAA 5.05PM


Waheshimiwa wenzangu,

Nashukuru kwa wale wanaona ninafaa pongezi lakini mimi sioni hilo. Ndio maana yake tupo pamoja hapa JF tujenge mawazo yetu na jamii zetu......ila napenda sana nyama choma sijui itakuaje au Kinywaji baridi hapo Arusha....


HAYA KAZI MBELE: Matokeo haya:

1. Raila anazidi kuongoza - millioni 2,976, 468, ambayo ni 58.7%
2. KIbaki anafuata na - millioni 1,93 Million votes ambayo ni 39.1%

MUHIMU a) Hizo percents zingine kama kumi hivi zimegawanywa na vyama vidogo vidogo.


Kufikia sasa kura million tano zimeshahesabiwa.

Nadhani Kibaki ataongeza kura zake sana results za Mkoa wao wa Central au KATI kama 700, 000 hivi zitaapoingia.

Wacheni tuvute kheri kwakuwa na subira.

____________________________________________

RIPOTI RASMI ZIMETOKA SASA KWAMBA RAILA ODINGA AMESHINDA LANGATA CONSTITUENCY!!

NGILU PIA AMESHINDA HUKO KITUI CENTRAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…