matokeo yametangazwa na kibaki amepata 4.5 milioni wakati Raila amepata 4.3 million
Mh. Zitto,
Kwa kuwa wewe una mawasiliano ya karibu wa team ya ODM, je, umeishawauliza what is their next move just in case Kivuitu ataamua kwenda kutangaza matokeo ya uchaguzi kwenye kituo cha KBC? Maana jana nilimsikia akisema kwamba hata kutangaza matokeo hapo ni kama favor, anaweza kwenda kuyatangazia popote pale.
Mwafrika tupe source
matokeo yametangazwa na kibaki ameshinda
Azimio Jipya Unafikiri Fujo Na Vitisho Ndio Suluhisho La Kupata Democrasia Makini Na Haki Zako ?
Nipo ndugu yangu naomboleze haya ya wenzetu ambayo ni taswira halisi ya viongozi waliopigania uhuru Africa. Wanafikiri kwa kuwa walikuwepo wakati wa uhuru basi wataendelea kuwepo milele madarakani hata kama wananchi hawawataki.
Ninatiwa moyo na hamasa na ujasiri wanaonyesha wenzetu wakenya, kushuhudia hadharani jinsi kura zilivyoibwa-hii si bure ni Mungu tu anawaongoza. Watching and reading keenly and intriguingly.
Halo tupe source please maana huku hatujapata kitu hiki
Wapambe wa Kibaki ndio wanakataa matokeo.Mzee kachoka keshakubali kupigwa nao.
Basi wanapatikana hivi sasa. Simu zote hata hotline zao wanazo wasaidizi tu. Kwa hali hii ninaelewa. Ninahisi UKRAINE way! ninahisi na kwa kwlei sina anything about Plan C. But they had plans A, B na C.