Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Ingekuwa ccm hapo, matokeo yangetangazwa na kina raila wote sasa hivi wangekuwa ndani, wafuasi wao wangepigwa na jeshi na ffu na wale wengine wanaozidi wangeshapigwa risasi za moto long time.

Rais angeapishwa na mambo yangeendelea long time! inabidi Kikwete na Kingunge wamfundishe Kibaki cha kufanya maana inaonekana the guy hana idea ya namna ya kuiba kura kwa nguvu na kisha kupiga watu wako risasi za moto!
 
RAILA ANATOA KAULI:

KIBAKI AND THE ELECTORAL COMMISSION OF KENYA (ECK) MUST GIVE KENYANS WHAT THEY WANT!!

MKUTA5 UMEISHA
 
Damn! Whats goin on buddies? Huyu Kibaka namna gani vipi?
 
Jamani

Wakenya wajue nilisha sema kumuondoa Rais aliyeko madarakani kwa nchi za kiafrica ni shughuli nzito sana.

Ikulu kwa nchi zetu ni patamu mno.
 
KIKATIBA NI KWELI CHIEF JUSTICE ANAWEZA KUSHIKILIA HATAMU YA UONGOZI HADI PAPATIKANE MSHINDI.

ILA, UKWELI NI KWAMBA JAJI MKUU HUYU NDIO MMOJA WA WANDANI AU WAPAMBE WA KIBAKI. ANAITWA EVANS GICHERU NA PIA YEYE NI MKIKUYUTENA RAFIKI WA KIBAKI SANA. SHERIA ZA KENYA ZINASEMA JAJI MKUU ANAPASWA ASIWE NA MIAKA ZAIDI YA 75. ILA KIBAKI KAMPATIA KAZI JAJI GICHERU AWE JAJI MKUU MIAKA MIWILI IILIYOPITA EVAN HUYU AKIWA NA MIAKA 78. WAKENYA NA WANASHERIA WALIPIGA KELELE LAKINI KIBAKI KAPENDUSHA USO PANDE MWINGINE NA LIFE IKASONGA MBELE. SITASHANGAA KAMA YEYE PIA YUKO HUKO STATE HOUSE SASA HIVI.

1. VITA VYA WANANCHI WALIOIBIWA KURA ZAO NA KINA KIBAKI

frontins301207.jpg

2. THE MAN OF THE MOMENT: BWANA KIVUITU SAMUEL, ECK CHAIRMAN
elecfrntkivuitu.jpg

WAKUU NIMEWEKA ATTACHIMENTI YA LIST IONYESHAYO WABUNGE WOTE WALIOCHAGULIWA NA VYAMA VYAO. IIDAWNLODI NA KUIPITIA HUKU MKIVUTA SUBIRA.

WATU WANSUBILI TU KICC NA INASEMEKANA KIVUITU AMEKATAA HADI SASA KUTANZANGAZA MATOKEO YASIYO HALALI BASI ECK IPO MKUTANONI TU.

WENU,

KENYAN-TANZANIAN

Nimeanza kuona Kenya kama ile Movie ya Hotel Ruanda. Mungu epusha haya yote yasiendelee
 
Duh kweli kazi hii. nimeona BBC news sasa hivi wanaanza kuifuatilia kama kawa. Pengine Kibaki na wenzake wataanza kuona moto hizi nchi zote zimekuwa kimya lakini sasa wameanza kusema tusubiri tuone.

Kenyan - Tanzanian vipi kuhusu Raila na uhusiano wake na USA na UK kama alikuwa ameanza kujiandaa ukoje kama unafahamu, hasa shadow foreign minister kama alikuwa anajishughulisha vyovyote vile? Maana naona hii itakuwa ngoma nzito sana.
 
Bado tunaagalia live kutoka kenya. ODM wameshinikiza matokeo ya mwisho yasisomwe. Yes RAILA ndani ya Nyumba(KICC) wamekubali wanatoka kwenye chumba cha kusoma matokeo. Wamewaacha waandishi wa habari wengi ndani. Ok Hapo KICC Wanasoma amtokeo ya majimbo 20 yaliyobaki..then ndio watoe majibu ya Mwisho ya Prez.. Lakini Odinga na wenzie waliingia a kupinga yasiendelee kusomwa. OPPPPP!!!!! TVT wamekata hawaonyeshi tena live wamesema wataunganisha tena kama matokeo yataendelea kusomwa..... Ni kama wakina Odinga wameshajua kuwa wakizubaa matokeo yakisomwa watatemwa kwa hila..ndio maana wameleta fujo na nikama wameweza kusimamisha ....

NI KWELI. ANGEPEWA NAFASI AONGE NA AMALIZE KUSOMA BASI YA ODM INGEKUWA KWISHA...WANGOJE TUU MAHAKAMA! LAKINI KINA ODM KAMA JANA TUU WAMEWEZA KUTOA MAYOWE MPAKA AKANYAMAZA NA KUTOLEWA CHINI YA ULINZI WA MKALI WA FFU UKUMBINI

HATUJUI SASA INAENDAJEE WAKUU

HII IMEKUWA AIBU AMBAYE VIJUKUU WA VIJUKUU WA AFRIKA MASHARIKI NA ZAIDI KENYA WATAAMBIWA NA WALIMU NA WAZAZI WAO. UPUZI MTUPU

NAWAOMBA WALIO NA MA TV TAZAMENI KTN. IKO NEUTRAL.

KBC NI SAUTI YA SERIKALI.

ODM WASICHOKEE HAWA WAOGA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI!!!
PUSH ON OUR ODM HEROES! PUSH ON!
 
BREAKING NEWS: I WILL NOT ACCEPT RESULTS; RAILA
The ODM leader Raila Odinga is now saying he will not to accept the outcome of the elections results.

Raila who is currently addressing a press conference at the pentagon house has vowed not to accept ECK's verdict and is now calling for fresh tallying of the entire 210 constituency.

This comes after the ECK suspended the vote counting as a result of accusations and counter accusations of rigging between presidential contenders and their supporters at the commission's headquarters in Nairobi yesterday.
 
Duh kweli kazi hii. nimeona BBC news sasa hivi wanaanza kuifuatilia kama kawa. Pengine Kibaki na wenzake wataanza kuona moto hizi nchi zote zimekuwa kimya lakini sasa wameanza kusema tusubiri tuone.

Kenyan - Tanzanian vipi kuhusu Raila na uhusiano wake na USA na UK kama alikuwa ameanza kujiandaa ukoje kama unafahamu, hasa shadow foreign minister kama alikuwa anajishughulisha vyovyote vile? Maana naona hii itakuwa ngoma nzito sana.

OBSAVA WA EU WAMESHATOA KAULI YAO LEO KWAMBA HAWAJARIDHISHWA NA UHESABUAJI WA ELECTION INGAWAJE WALIWAPONGEZA WAKENYA KWA AMANI YAO KWA KUPIGA KURA KWENYEWE NA MSIMU WA KAMPEINI.

UK LEO ASUBUHI IMESEMA WAKENYA LAZIMA WAPEWE HAKI YAO...YAANI WANAONGEA KIDIPLOMASIA WAKISEMA ODM IMESHINDA
 
ODM WASICHOKEE HAWA WAOGA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI!!!
PUSH ON OUR ODM HEROES! PUSH ON!

Mzee kupata madaraka siyo mchezo wapigane wapigane mpaka Kibaki akimbie nchi.

Wezi lazima waondolewe Africa Nzima ametutia aibu sana huyu mzee anazeeka vibaya sana.

Itakuwa kama Kibanga kampiga Mkoloni
 
Karen ana-report sasa BBC News

Duh hii imenifurahisha sana yaani kuna jamaa aliambiwa abadili matokeo na alikuwa tayari kumwaga upupu ndio maana fujo ikatokea.
 
SARAKASI INAENDELA SASA !!!!!!!!!!!!!

ALIYEKUWA MBUNGE WA JUJA HUKO CENTRAL AMBAYE NI MKIKUYU PIA ANAONGEA KWA WAKENYA LIVE KWA KTN

ANASEMA KURA ZILIIBIWA NA KIBAKI ALIAPATA 48, 000 HUKO JUJA NA ALISHUHUDIA MWENYEWE NA MACHO MABOXI YAKIINGIZWA NA KURA HARAMU HADI ZIKAFIKA 103, 000 YA KIBAKI

AMESEMA PIA ANAOGOPEA MAISHA YAKE LAKINI AMEONA NCHI INAINGIA TABU YA KIRWANDA NA AMEKUJA KUSEMA UKWELI ULIOFANYIKA
ANAITWA WILLIAM KABOGO NA NI MILIIONAIRE MWENYE HELIKOPTA YAKE NA AMEAPA WIZI WA KURA ULIFANYIKA KWA ENEO BUNGE LAKE!

STIMA IMEPOTEA KICC

SASA CARDINALI JOHN NJUE AMBAYE PIA NI MKIKUYU NA ALISAPOT KIBAKI KWA KAMPEINI ANAONGEAA SASA KWA MEDIA

ANASEMA AMANI KWA WAKENYA WOTE
 
Kwakweli inatia huruma na hasira sana! Hapo CCM wapo macho yamewatoka kama mijusi wakijua nao zahama yao inakuja 2010! ''Wapeni wananchi kitu ile inataka!''
 
Mwai Kibaki should know that unity of Kenya is greater than corrupt leadership, and every tribe in Kenya will lead. He was defeated by the ballots of kenyan votes. he should foresee the future of the country he lead for five years
 
Jamani kaka Yangu Kitila Mkumbo amezimia!!! mbona simsikii!!!

MIMI NINA IMANI MUNGU ATATUEPUSHIA MAUAJI YA RWANDA, WAKENYA NI WATU WEREVU!!! NA MFULULIZO WA MASHUDA KUTOKA PNU NA ECK WANAOTOKEA WAMETUMWA NA MUNGU ILI HAKI ITENDEKE...
KWA IMANI ZETU WOTE TUSEME AMEEN/AMIN
 
SARAKASI INAENDELA SASA !!!!!!!!!!!!!

ALIYEKUWA MBUNGE WA JUJA HUKO CENTRAL AMBAYE NI MKIKUYU PIA ANAONGEA KWA WAKENYA LIVE KWA KTN

ANASEMA KURA ZILIIBIWA NA KIBAKI ALIAPATA 48, 000 HUKO JUJA NA ALISHUHUDIA MWENYEWE NA MACHO MABOXI YAKIINGIZWA NA KURA HARAMU HADI ZIKAFIKA 103, 000 YA KIBAKI

AMESEMA PIA ANAOGOPEA MAISHA YAKE LAKINI AMEONA NCHI INAINGIA TABU YA KIRWANDA NA AMEKUJA KUSEMA UKWELI ULIOFANYIKA
ANAITWA WILLIAM KABOGO NA NI MILIIONAIRE MWENYE HELIKOPTA YAKE NA AMEAPA WIZI WA KURA ULIFANYIKA KWA ENEO BUNGE LAKE!

STIMA IMEPOTEA KICC

SASA CARDINALI JOHN NJUE AMBAYE PIA NI MKIKUYU NA ALISAPOT KIBAKI KWA KAMPEINI ANAONGEAA SASA KWA MEDIA

ANASEMA AMANI KWA WAKENYA WOTE

Naona hii mbaya zaidi maana inachochea vurugu zaidi na kwa hakika matokeo yakitoka vurugu lazima either wapambe Raila waanzishe kwa kushindwa au wapambe wa kibaki wataanzisha kwa kushindwa.

Jeshi la Ulinzi linatakiwa kuwa makini sasa. International communities President wa Tz, Uganda na kwingineko nadhani ni muda wao kutumia muda huu mfupi uliobakia kumwomba kibaki

Vinginvyo wakimbizi na athari zake zitakuwa kubwa kwao kabla ya Westrn countries kujitokeza
 
SARAKASI INAENDELA SASA !!!!!!!!!!!!!

ALIYEKUWA MBUNGE WA JUJA HUKO CENTRAL AMBAYE NI MKIKUYU PIA ANAONGEA KWA WAKENYA LIVE KWA KTN

ANASEMA KURA ZILIIBIWA NA KIBAKI ALIAPATA 48, 000 HUKO JUJA NA ALISHUHUDIA MWENYEWE NA MACHO MABOXI YAKIINGIZWA NA KURA HARAMU HADI ZIKAFIKA 103, 000 YA KIBAKI

AMESEMA PIA ANAOGOPEA MAISHA YAKE LAKINI AMEONA NCHI INAINGIA TABU YA KIRWANDA NA AMEKUJA KUSEMA UKWELI ULIOFANYIKA
ANAITWA WILLIAM KABOGO NA NI MILIIONAIRE MWENYE HELIKOPTA YAKE NA AMEAPA WIZI WA KURA ULIFANYIKA KWA ENEO BUNGE LAKE!

STIMA IMEPOTEA KICC

SASA CARDINALI JOHN NJUE AMBAYE PIA NI MKIKUYU NA ALISAPOT KIBAKI KWA KAMPEINI ANAONGEAA SASA KWA MEDIA

ANASEMA AMANI KWA WAKENYA WOTE

Mkuu hakuna uwezekano wa kuwafungulia mashitaka ya uhaini na wizi akina Kibaki?
 
Mh. Zitto,
Kwa kuwa wewe una mawasiliano ya karibu wa team ya ODM, je, umeishawauliza what is their next move just in case Kivuitu ataamua kwenda kutangaza matokeo ya uchaguzi kwenye kituo cha KBC? Maana jana nilimsikia akisema kwamba hata kutangaza matokeo hapo ni kama favor, anaweza kwenda kuyatangazia popote pale.
 
Back
Top Bottom