Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TVT wanasema je, asipotangazwa Rais itakuaje? maana Kibaki muda wake unaisha leo.... Ulinzi ni mkubwa haijawahi kutokea tokea Uhuru, wanakumbuka jaribio la Mapinduzi ya 1982, unafanana na ulinzi wa jaribio la mapinduzi. Kuna mtu kutoka Nairobi anasema inawezekana hata kuna majeshi kutoka nje ya Kenya
Kuna kila dalili kwamba Kibaki atatangazwa kuwa Rais... hali ya ulinzi na mambo yalivyo yanaonyesha wamejiandaa kutangaza kura za wizi.. Inawezekana ndugu yetu K-T anakusanya data ama yumo katika mikakati ya kulinda ushindi wa UMMA
Inawezekan security ni maslahi ya pande zote maana hata Kibaki na wenzie wansupporters ambao hawampendi Raila so bothe scenario inawezekana kulindwa. Je Raila amewekewa na yeye ulinzi wa kutosha?
Ningekuwa mimi Kikwete kama nimepewa mwaliko nisingeenda
Sijui kama na overestimate security concern, lakini kama ECK isipokuwa makini Genocide/massacre na hata assisnation itatokea
Wala usiwe na shaka Mh. Mzalendo,
Wee njoo tu. Unakaribishwa tena with open hands.
Wee njoo ntakunulia tusker lakini mimi ntakunywa nyongo siku zote hadi this tribal king atoke ikulu.
Bado tunasubiri