Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes




UKWELI MTUPU MH. ZITTO (MB) MTU ANAWEZA SEMA WEWE UMEIELEWA SIASA YA KENYA KINDANI. HIVI NDIVYO MAMBO YATAKAVYOKUWA. FROM NOW ONWARDS TUNAINGIA KATIKA KIPINDI KIGUMU SIO MCHEZO. AND TUSISAHAU KWAMBA RAILA NI SUNGURA MJANJA HATUJUI PLAN B AMBAYE AKO NAYO AKILINI AKIIBIWA UHALALI WAKE KUWA RAIS WA NNE WA KENYA...RAILA IS RAILA WAKENYA HUSEMA....

LAKINI KENYA SIO SAWA NA BONGO, UCHUMI ULE NI MKUBWA UNAWEZA ENDELEA TU!!! NGOMA KAMA HII IKIIKUTA TANZANIA NDIO MWISHO WA TAIFA HILI
 
Zitto hata watanzani tunahitaji mabadiliko,la msingi ni kuhakisha opposition mnaungana alafu muondoe ubinafsi kisha mtuletee mtu mwenye nguvu na ushawishi(ungekuwa 40 u could do) na tupige kampeni ya kufa mtu
 


NEWS BRIEF FROM KTN, PERSONAL OBSERVATIONS NA SMS KUTOKA KWA WATU WANGU WALIOSEHEMU TOFAUTI TOFAUTI NCHINI


ALL PLANS ARE BEING FINALISED TO ANNOUNCE AND SWEAR IN THE NEW DICTATOR OF AFRICA: MWAI EMILIO KIBAKI.

MAJESHI WAMEIVIRINGA STATE HOUSE

MIJI YOTE MIKUBWA IMEBADILIKA RANGI NA KUWA KIJANI KIBICHI TOKANA NA MAGWANDA YA VIKOSI TELE VYA MAJESHI YA POLISI ZILIZOTUMWA HUKO USIKU WA LEO: ELDORET, BUNGOMA, KITALE, NAKURU, MOMBASA, NAIROBI, KISUMU.

RAILA AMESEMA HAWEZI KAMWE KUKUBALI MATOKEO YA KURA KAMA KIBAKI ATASHINDA. AMEWAAMBIA WANANCHI WAWE NA UTULIVU. AMEMUAMBIA KIBAKI AKUBALI KUSHINDWA NA ATAPEWA HESHIMA KUBWA KENYA

DURU ZA RAFIKI YANGU KWENYE POLISI ANASEMA ECK ILIMALIZA KUSABUA LEO ASUBUHI NA RAILA AMESHINDA KWA 200, 073 VOTES LAKINI POWERFUL PEOPLE AROUND KIBAKI AND IN STATE HOUSE WAMEMWAMBIA KIBAKI ASIKUBALI KUONDOKA MAMLAKANI. W INASEMEKANA KIBAKI MWENYEWE AMEKUBALI LAZIMA AONDOKE ILI NCHI ISIPATWE NA JANGA LAKINI HAWA WANDANI WAKE, ADVAISAS, MAMINISTA WALIOANGUKA NA WALIOSHINDA VITI VYAO WANAMSHINIKIZA AWE MWANAUME NA ASIKUBALI MATOKEAO JILI BADO YEYE NI RAIS HIVI SASA NA ANAWEZA TUMIA MAMLAKA YA KIJESHI KAMA AMRI KUU WA MAJESHI. WATU WANASEMA HAWA WANDANI WA KIBAKI WANAOGOPA RAILA AKIKUBALIWA KUWA RAIS ATAWAFANYIA REVENGE.

ECK CHAIRMAN AKO CHINI YA PRESURRE HUKU AKIWA MTU MZURI ILA MAKAMISHENA WENZAKE PAMOJA NA WANDANI WA KIBAKI WAKIMUAMURU ATANGAZA KIBAKI MSHINDI HATA KAMA KURA ZINAONYESHA RAILA KASHINDA

RAILA AMEINGIA KICC SASA

KALONZO AME ACCEPTI KUSHINDWA NA ANAOMBA PANDE YA ODM NA PNU ZIKUBALI UAMUZI WOWOTE ULE WA ECK UTAKAOFANYIKA MDA USIO MREFU TOKA SASA

KICC IMEVIRINGWA NA VIKOSI ZAIDI VYA SPECIAL POLICE WANAITWA GENERAL SERVICE UNIT (GSU) NI KAMA WALE WALIOZIMA GHASIA HUKO ZANZIBAR 2005.

PROFESA NYONG'O AMESEMA KIBAKI WAKUBALI TU WAMESHINDWA NA NCHI IWE SALAMA AU WAKATAE NA YATAKAYOFUATA WALAUMIWE WAO. AMESEMA ANAWAPONGEZA WANANCHI KWA KUWA WATULIVU LAKINI ANASEMA KIBAKI NA KIVUITU WATALAUMIWA NA VIZAZI VYA KESHO CHOCHOTE KIBAYA KIKITOKEA

WATU WAMEFURIKA ( VIONGOZI, MEDIA NA WENGINE) KICC NA ANYTIME WATAMTANGAZA RAIS MPYA WA KENYA

RAILA ANAWAOMBA WAFUASI WAKE WATULIE NA WAPUNGUZE GADHABU ZA KUFANYA RIOTS

INASEMEKANA ECK NA ILE KAMATI TEULE YA WANAMALIZA RIPOTI YA UCHUNGUZI WALIOFANYA JANA USIKU WA JANA.

NAWALETEA MENGINE.
 
Zitto hata watanzani tunahitaji mabadiliko,la msingi ni kuhakisha opposition mnaungana alafu muondoe ubinafsi kisha mtuletee mtu mwenye nguvu na ushawishi(ungekuwa 40 u could do) na tupige kampeni ya kufa mtu

Ndugu yangu, tatizo la Tanzania tunataka mambo yatokee hapo hapo,,, "ukiuna vyaelea jua vimeundwa"


Nakuuliza Raila hajaanzia uchaguzi huu!!, fuatilia vizuri ndio utajua m unahitaji vision na determination ya hali ya juu ili kushinda uchaguzi na kuwa Rais, Of course na Network ya mpaka kwenye grassroot CHADEMA hainayo leo!!!

Mimi sina Tatizo na Zitto Kwamba ni maarufu,,, lakini hata ukimuuliza mwenyewe atakuwaambia hata kama Katiba ingemruhusu ingekuwa mapema kwake kugombea 2010....

Tuwe na Vision na Strategy za Kutosha wakuu!!!

Ndio maana mimi nadhani Upinzani Ukichukua 2010,,, nchi itaongozwa na Mafisadi maana hata upinzani wenyewe hautakua na muda wa kujua nani anafaa nani hafai badala yake watu watafanyiwa interview ya Dakika Tano, unakwaa uwaziri, ukuu wa mkoa etc!!!

Kuipa CHADEMA 2010,,, maana yake unawapa mwaka mmoja tu wakujiandaa 2009,,, kwani 2008 ni uchaguzi wao, 2010 ni kampeni za Uchaguzi 2010...

Watanzania tuwe makini,,, Tunahitaji kwa sasa 30-40% ya Wabunge wa Jamhuri....

Maoni tu!
 
Kama mambo yako hivyo Kibaki ataondoka tu.

Mungu ampe nguvu aweze kuondoka Ikulu kwa aibu na ameweka historia
 
Wakenya andamaneni kwa amani mpaka muipate haki yenu.UKRAINE ndivyo walivyofanya mpaka kikaeleweka why not you guys?..malalamiko hayawezi kuwaletea haki zenu.

-Wembe
 
We are keeping our fingers crossed Kibaki akubali lawama na aibu kwa sasa kuliko fedheha siku zijazo kwa kung'ang'ani urais
 
Wakenya andamaneni kwa amani mpaka muipate haki yenu.UKRAINE ndivyo walivyofanya mpaka kikaeleweka why not you guys?..malalamiko hayawezi kuwaletea haki zenu.

-Wembe

Ukraine na Afrika ni tofauti sana, kwa Kenya polisi watatumia risasi wakati Ukraine polisi walikuwa wanalinda usalama wa raia.

Kenya raia wakienda mitaani kutakuwa na mauaji makubwa. Lakini je wana njia nyingine zaidi ya kwenda mitaani na kupigana? Hata ningelikuwa mimi Mkenya, ningelikuwa namba moja kwenda kutetea haki yangu isiibiwe.
 
We are keeping our fingers crossed Kibaki akubali lawama na aibu kwa sasa kuliko fedheha siku zijazo kwa kung'ang'ani urais

Are we saying that he is doing worse than KANU did during change of power in 2002?
 
MUNGU NDIO AJUAYO YATAKAYOFANYIKA BAADA YA KUTANGAZWA KWA MATOKEO

KWAO MAONI YANGU KIBAKI ATA DECLARE A STATE OF EMERGENCY KWA MAENEO YA UPINZANI AKIONA SHIDA YA FUJO ZINAENEA HUKO. HII INA MAANA ATATUMIA NGUVU YA POLISI, JESHI NA UJASUSI

KWA EMERGENCY HIO PIA ANAWEZA WAWEKA AKINA RAILA MBARONI AU UNDER HOUSE ARREST KWA OFFENCES ZA INCITEMENT OF PUBLIC AND "FOR NATIONAL INTEREST YA SECURITY"

BADO TUNASUBIRI. WABUNGE WAZAMANI NA WASASA, VIGOGO WA SIASA WANAZIDI KUINGIA KICC

MIMI NAONA KIBAKI AMECHAGUA A DIFFICULT ROAD TO TRAVEL

HII HAPA VIDEO YA SARAKASI ZA JANA ADHUHURI KICC

http://www.youtube.com/watch?v=nfT_qUoZfc8

RIGHT NOW AT THIS VERY MOMENT WANAONYESHA PICHA ZA STREETS NAIROBI. BIASHARA ZOTE CLOSED HAMNA MTU NJIANI ILA MAJESHI NA WANAHABARI WACHACHE NA MAGARI YA POLISI YAKIPITA HUKU NA KULE.....

HATA MOI HAKUWAI KUTUONYESHA HAYA!
[/url]
 
97 to 38? hiyo ratio mbona haiko sawa na kura za uraisi...something fishy hapo wajomba,hope Kalonzo atakataa kujiunga na hii serikali just kwa sababu ya cheo tuu na kurudi kwenye table ili kufanya true changes ambazo ndio nia ya kujiunga na ODM from the beginning kabla ya hiyo ODM-K
 
Kibaki!
I pledge to you as mwana Afrika usituachie community yenye vurugu. Tumevumilia vya kutosha. Wacha ECK na maamuzi yake(ulifikiri waseme nini?)! Uamuzi wa wananchi umwalike Afrika kote! Usitake vurugu.

It is with wana Eastafrika. Concede!(you must give in)
 
Are we saying that he is doing worse than KANU did during change of power in 2002?

Issue hapa ni kuingia madarakani bila ridhaa ya wananchi kwa wizi wa kura na matokeo yake yanaweza kuwa vurugu na hata massacre
 
VIDEO YA JANA ADHUHURI IKIMUONYESHA DR. HENRY KOSGEY AKIMULILIA ECK CHAIRMAN SAMUEL KIVUITI ASIMAMISHE HESABU ZA KURA ZA MABOX YALIYOIBIWA NA SERIKALI YA MWAI KIBAKI NA PNU USIKU WA JUZI.

KOSGEY NDIE CHAIRMAN RASMI WA ORANGE DEMOCRATIC MOVEMENT (ODM) ILIYOMSIMAMISHA RAILA ODINGA KAMA MGOMBEA URAIS WAO. RAILA AMESHINDA ILA STATE HOUSE IMEKATAA KUWACHA HATAMU ZA UONGOZI. STALEMATE

TUNASUBIRI KICC

http://www.youtube.com/watch?v=fJMFjKk9GKk
 
VIDEO YA JANA ADHUHURI IKIMUONYESHA DR. HENRY KOSGEY AKIMULILIA ECK CHAIRMAN SAMUEL KIVUITI ASIMAMISHE HESABU ZA KURA ZA MABOX YALIYOIBIWA NA SERIKALI YA MWAI KIBAKI NA PNU USIKU WA JUZI.

KOSGEY NDIE CHAIRMAN RASMI WA ORANGE DEMOCRATIC MOVEMENT (ODM) ILIYOMSIMAMISHA RAILA ODINGA KAMA MGOMBEA URAIS WAO. RAILA AMESHINDA ILA STATE HOUSE IMEKATAA KUWACHA HATAMU ZA UONGOZI. STALEMATE

TUNASUBIRI KICC

http://www.youtube.com/watch?v=fJMFjKk9GKk

Naona na leo tunaweza kufika jioni bila matokeo kutangazwa.

Kama walikuwa hawajui kama kuna kushindwa kwa nini waliitisha uchaguzi?

Mambo mengine yanaudhi kweli.
 
DU! HAYO MATOKEO MNAPIKA MNOOOOO!!!, MBONA HAMTOI!!!!, MWISHOWE MTAISHIA KUSEMA KALONZO NDIO MSHINDI NA KWAMBA NDIYE RAIS WA AWAMU YA NNE!!!
kwi kwi kwi!!!
 
DU! HAYO MATOKEO MNAPIKA MNOOOOO!!!, MBONA HAMTOI, MWISHOWE MTAISHIA KUSEMA KALONZO NDIO MSHINDI NA KWAMBA NDIYE RAIS WA AWAMU YA NNE!!!

kwi kwi kwi!!!

Kilitime,

Subiri, matokeo hayajaiva, yakiiva, watatoa.

Afrika tuna safari ndefu mno. Tegemea 2010, CCM kuyapika ya kwetu kwa kutumia mkaa wa mawe.

Labda tuanze kutumia bakora kuwaondoa madarakani.
 
Kilitime,

Subiri, matokeo hayajaiva, yakiiva, watatoa.

Afrika tuna safari ndefu mno. Tegemea 2010, CCM kuyapika ya kwetu kwa kutumia mkaa wa mawe.

Labda tuanze kutumia bakora kuwaondoa madarakani.

Mkuu

Ucheleweshaji huu unatupatia experience nyingine miaka ijayo au chaguzi zijazo.

Kumbe kwenye sheria za uchaguzi kunatakiwa kuwepo na kipengere kinachozungumzia muda wa kuhesabu kura pamoja na kutangaza matokeo.
 
K-T

Wakati tunasubiria final moment kama unaweza kutupa brief summary hadi kufikia sasa. Nakumbuka jana ulisema kulikua na majimbo 18 leo umesema bado 9 ungetupa hali ilikuaje wakati tunajiandaa kunywa wine kwa uchungu au kwa furaha.
 
Back
Top Bottom